Igweeeeeee
Hii nchi ukiifikiria kiundani utaishia kulaani wazazi wako kukuzaa bongo
Nimepata kwenda kumtembelea rafiki yangu ana site yake huko goba, mji umepangika vizuri na watu wanaishi maisha standard ikiwa na ujenzi wa kisasa kabisa
Ajabu ya eneo hili goba mageti hususani upande huu wa...
Changamoto ya Mawasiliano ukiwa Karikoo katikati ya Soko ni kubwa mnoo kiasi kwamba inakulazimu utoke Dukani kwako au Ofisini kwako ukasimame nje barabarani ili uweze kupiga au kupokea simu. Mabali ambapo pana mzunguko mkubwa kipesa na tegemeo la biashara Ukanda huu
Tafadhari taarifa ziwafikie Hawa RITA Nini maana ya kuweka huduma ya kuomba cheti kwa njia ya mtandao kama mtu nimefanya maombii ya cheti cha kuzaliwa mwezi wa 12 mpaka sasa hakuna mibu ya aina yoyote tunapata tabu sana ukienda Ofisini shida tupu.
Hakuna haja ya kuwa na eRITA portal
Anonymous
Thread
cheti
cheti cha kuzaliwa
huduma
kuomba
kuweka
kuzaliwa
maana
mtandao
mtu
njia
rita
taarifa
Mambo yanakuwa mengi sana aisee, leo katika zurura yangu mitandaoni nimekutana na habari ya AI kuanzisha mtandao wa kijamii kwaajili ya AI agents kukutana, yaani humo ndani AI tofauti tofauti zinakutana na kupiga soga tofauti tofauti. Bila kusahau kutujadili binadamu.
Eeeeh bwana eeeeh, hivi...
Utangulizi
Kanuni za Tiketi Mtandao za Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini za mwaka 2024, zilizotangazwa na Serikali (Tangazo la Serikali Na. 23 la tarehe 12 Januari, 2024), zinaweka sharti kwamba mifumo yote ya Tiketi Mtandao inapaswa kujaribiwa, kuidhinishwa, na mmiliki wake kupata kibali cha...
Kila siku halopesa inasumbua yani imeshakua kawaida, halafu nao wamekua na tabia kama ya mbogamboga ya kuwalipa machawa wawasifie kwenye comment!
Naona leo mambo yamekua magumu machawa nao wamezidiwa nguvu wameona wafunge comment kabisa
TCRA wanaruhusuje watu kama hawa kutoa huduma kwa...
Sasa ndiyo huaminiki kabisa kabisa. Zile tuhuma kuwa huwezi kumchunguza aliyekuteua ndiyo umezidhihirisha!
Kitu gani hutaki watu wakisikie na kukiona? Kwa sababu ipi?
Labda kwa vile hii si TRUTH AND RECONCILIATION COMMISSION unaweze kuiendesha unavyotaka au waliokuteua wanavyotaka!
SIku zote mwovu huwa ni muoga wa uovu wake, hasa ukijulikana kwa wengi.
Toka mwanzo, Tume ile iliyoundwa na mtuhumiwa namba 1 wa Mauaji ya 29 Oktoba, wengi waliistukia na kusema ni tume bandia inayotaka kuwapumbaza wananchi na jamii ya kimataifa, lakini lengo lake kubwa likiwa kutafuta namna ya...
Inshort RITA mmekula KERO sana kwenye upatikanaji wa huduma kwa ufanisi na haraka zaidi. I wonder Watu wenu wa IT wanafanya nini!!!
Mtandao unasumbuaa wiki Nzima na hamtoi taarifa wala kufanya matengenezo..
Apa nimeweka Alarm Kila baada ya nusu Saa nijaribu kuingia lakini holaaa...
RITA...
Japo suala la Samia kufikishwa mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) bado halijafikia mwisho wake wala kujadiliwa. Je, Watanganyika tumejandaaje kama hii kitu itafanyika?
Je, Samia ataponyoka au kuzama? Kuna uwezekano anajiandaa kwa lolote kiasi cha kupanga mijitu kama...
https://x.com/NiohBerg/status/2009742024384147606
Ndugu zangu hakuna namna ya kuimboa Tanganyika, zaidi ya Kupandisha bendera ya Tanganyika,
hatutaki Muungano, Walizuia Sherehe za Muungano lakini wameenda kufanya sherehe za Mapinduzi
Kheri ya Mwaka Mpya!
1. Kwa heshima na taadhima. Ninapenda kuchukua nafasi hii.
2. Kuiomba serikali iufungulie mtandao wa Jamiiforum ili mambo mengine yaendelee.
3. Jamiiforum ni moja ya mambo ambayo serikali ya Tanzania inaweza kujivunia kwa wananchi wake.
4. Malumbano, mivutano na migogoro...
Kuna mtu anaelewa msemaji wa serikali Bwana Gerisoni huwa anampostia nani au watu gani wakati ambapo mtandao wa X wameufungia?
Haiwezekani akawa anawapostia diaspora au watu wa mataifa mengine ya nje wakati wajibu wake wa kwanza ni kwa raia wa Tanzania ambao mshahara wake unatoka kwenye kodi...
Baada ya kifungo cha zaidi ya mwezi moja, Mtandoo wa Tiktok umefunguliwa rasmi na mtumiaji anweza kutumia bila kutumia njia mbadala kama matumizi ya VPN.
https://www.jamiiforums.com/threads/tiktok-yafungiwa-tanzania-bila-vpn-uwezi-kutumia.2398433/
Mtandao wa Signal umefungwa Tanzania
Hivi sasa unafanya kazi nje ya nchi ya Tanzania lakini kwa watumiaji wa Tanzania wanapotuma meseji au Call zinashindwa kufika
Mtandao wa TikTok umetawaliwa na maudhui ya Ushoga
Umekuwa ni mtandao uliojaa maudhui ya vijana wa kiume wanaojihusisha na ushoga wakijipamba, kunengua viuno na kuonesha miondoko ya kike
Je umegeuzwa kuwa dating website ya mashoga?
Kinachonipeleka TikTok ni kupata elimu ya Magari
Baada ya...
Hivi mjawahi kujiuliza account ya raisi anatumia yeye au mtu maalumu kama sio mwanae,basi mtu wake wa karibu.
Tumeona account ya Dolnad trump na viongozi wengi. Hata wajibiwe vipi uwezi kuona wana kublock labda kuwepo na shida kubwa sana.
ila ya huyu yani ukimpa challenge na spana unaingizwa...
Anaandika Godbless J Lema
TAARIFA ZA UONGO NA MATESO NA MAUAJI YA RAIA.
Mwaka 2011, jijini Arusha, kulitokea sakata zito la mauaji yaliyosababishwa na Polisi kufuatia maandamano ya wananchi waliopinga uchaguzi Meya feki wa Arusha Mjini. Tukio hilo liliacha majeraha makubwa katika mioyo ya...
Baba yake kuwa madarakani muda mrefu na kumuweka jeshini na vyeo kwa umri aliopo na cheo chake ni kama anaishi kwa baba yake nawaza hilo.
Kejeli anazotoa kwenye mtandao X ,kudhihaki, kuleta taharuki ndani na nje ya nchi yake.
Sidhani kama mtu Rizi one angekuwa anafanya mada za ajabu akijua ana...
JamiiForums ni social media website ambayo inapokea User Generated Content
Katika mitandao ya Kijamii ulimwenguni, ina watumiaji wa aina mbili
Watumiaji wanaotii na wasiotii Sheria
Ili kuweka usawa ni kuwajibisha wale watumiaji wanaovunja Sheria huku wanaotii wakibaki salama
Hatuwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.