JamiiForums ni social media website ambayo inapokea User Generated Content
Katika mitandao ya Kijamii ulimwenguni, ina watumiaji wa aina mbili
Watumiaji wanaotii na wasiotii Sheria
Ili kuweka usawa ni kuwajibisha wale watumiaji wanaovunja Sheria huku wanaotii wakibaki salama
Hatuwezi...
Katika hali inayoashiria mtandao wa fedha haramu, familia moja yenye uhusiano wa karibu na vigogo nchini Tanzania inadaiwa kuteka mfumo mzima wa uagizaji wa magari ya mtumba kutoka Japan, na kuelekeza mabilioni ya fedha za Serikali katika mifuko yao, huku kukiwa na mgongano mkubwa wa kimaslahi...
Anonymous
Thread
japan
kifamilia
magari
mtandao
sekta
tanzania
uingizaji
Wakizma mtandao simu zita kuwa kam tochi tu umejipangaje andaa magem yako lakini pia story story ninazo sema utaka ipi ya kichawi kijsusi au chombezo nakutumia pm utajua wewe pakwenda kusav ili uwe una soma Leejay49 nina story zako 3
Majibu ya Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamira Akijibu kuhusu Kuzimwa kwa Mtandao Oktoba 29, Akiongea kwenye mkutano na Wahariri wa Vyombo vya Habari leo December 05,2025.
Kufungia account za wanaosema ukweli na wanaharakati kwenye mitandao ya kijamii kupitia Meta kunaonesha kujipoteza.
Mi navyo wafahamu warusi na nchi nyengine ambazo social media zao zijaweza kuwa watu wengi na hii ndio itakuwa njia yao sahihi kutembelea kitonga.
Kama wanaharakati wakipata...
Wakati nchi nyingine wananchi wanapigania uchumi Tanzania tumeingia kwenye janga la kupigania HAKI . Wapigania haki wamepata nguvu sana na haitaisha wanapigana na machawa na wana mitandao ambao wanataka rasilimali za nchi.
Raisi Samia , Kikwete na genge la machawa wa CCM lipo upande huo...
Habari wana JF nataka kufahamu kama kuna changamoto yeyote kwenye mtandao wa twitter X
! Maana Nafungua lakini inagoma, kama kuna mfungo wa huu mtandao naomba maelezo kutoka kwa wale watumiaji wa twitter X
Samia kamweka Mwigulu kumfunika Mchimbi (Kikwete mtandao) baada ya watu kuongelea Samia aondoke na kumpisha Nchimbi.
Hivyo Nchimbi na Mwigulu havitaiva. Hata Kikwete na genge lake la mafisadi wanamtaka Nchimbi zaidi ya Samia.
Lakini Mwigulu anapenda sana sifa na kila siku atahakikisha ni...
Tanzania ilipitia kipindi ambapo internet haikuweza kufunguka vizuri, jambo lililochangia kuchanganyikiwa kwa watumiaji wengi.
Utafiti na uchambuzi wangu wa kitaalamu kabla na baada ya kufungwa na kurudishwa kwa mtandao nimebaini kwamba tatizo halikuhusiana na kuzimwa kabisa kwa mtandao, bali...
Watu wanalalamika sana kuhusu uzito wa kutoa huduma
Kama mifumo imeshavamiwa watoe taarifa mapema
Pia nashauri BOT wasidharau sana maneno ya vijana , waanze kutafuta backup system .
TAhadhari ni muhimu
Ni Kampuni ambayo inaongoza kwa msgs za ile pesa tuma namba hii au kukumbushwa kodi. Ni mtandao ambao matapeli wanapiga sana simu wakitaka kukutapeli mwenye line yao.
Airtel ukiingizia tu pesa kwenye mtandao wao unaanza kupokea simu za matapeli wakitaka kukutapeli wakijifanya wanapiga simu...
Haijawahi kutokea tangu tumepata uhuru watu wakauoliwa kama mende kisa tu madaraka na ubinafsi.
Kama kiongozi unajua haukubaliki na wananchi hawakutaki ,kwa ninj utumie bunduki kuua raia?
Kwa nini usijiulize wananchi hawanitaki?
Naomba Marekani na mataifa yote makubwa waitenge Tanzania kwa...
Wajumbe wote wa Tume ni waliokuwa wateule wa JK na Mama Samia. Mtuhumiwa namba Moja ni Mama Samia mwenyewe tena akiwa hana uhalali wa kuunda tume yenyewe.
Mama anawadharau sana hadi Wana CCM wenzie wallah.
Wale wanaojiita wazalendo niliwaambia mapema kuwa kura zikipigwa tu wameshindwa vita...
Ukweli wa Ardhi House: ‘Mtandao unasumbua’ ni kificho — Nilijaribu kuingia kwenye mfumo, na mchezo ulianza!”
UZI:
Nimekuwa nikitoka HADI hapa na nikakutana na kitu ambacho siwezi kuziba mol. Huyu ni story ya jinsi ‘mtandao’ unavyotumika kama kificho ili watu wafanye ujanja katika ofisi za umma...
Wakuu,
Hatimaye Kampuni ya Mtandao wa Vodacom imeweka wazi kushughulikia Tatizo la kukatwa kwa bando wakati Mtandao ulipozimwa, imeeleza kuwa wateja wote waliofanya manunuzi ya Mabando watarejeshewa
Niliyogundua katika zoezi hili la maandamano ni mengi sana, lakini haya machache tunaweza kujadiliana.
1. Hivi wale wanaotuma meseji za tuma kwenye namba hii walikuwa wapi? Maana sijapata meseji hiyo mpaka nimeihamu.
2. Wakina baba ni wapishi wazuri sana tatizo la kujua vipaji vyao ndio...
Wasalaam Aleykhum,
Hatimaye nimefika nyumbani Zanzibar salama majira ya jana jioni na kuswali Isha nyumbani
Mie ni Muislam ninayeogopa Unafik kuliko Shirki (japo dhambi zote mbaya sana mbele ya Allah (S.A.W)
Nimeumizwa na vifo nilivyoshughudia huko bara kwasababu kikazi mi n maranyingi nakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.