AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 12,236
- 20,507
Hivi ni mimi tu huku nilipo au na wengine huko mlipo mnakipata hiki kisanga ninachokipitia mimi? Yaan mtandao mzito sio poa. Halotel shida nini Wazee?
Sijajua shida nini ila leo tu ndio nimeshangaa tangu asubuhi mtandao unakua mzito sanaPole sana mimi nimeachana nao kabisa kwanini ujipe stress kwa kitu kinacho epukika
Duuh hio ipo kwenye mtandao gani?Hata kwenye sms ni mtihan muda mwingine simu azitok au watu wanakupigia wanaambiwa upatikan kumbe upo hewan
Kwanini mtandao unakua mzito yaan hapa nimeamua ku-switch Airtel ila Halotel mtandao mzito balaa shida nimeunga bundle this morning nifanye issue zangu naona mtandao mzito kwa hio issue zinasimama hawa jamaa vipi kwani?Hao wajinga wakati wanakuja around 2013/2014 walikuwa wanavimba kwamba wanakuja kuleta mapinduzi ya vifurushi vya mtandao, hasa Internet. Sijui ni mwanasiasa gani aliwaleta hao Vietnamese. 😁
Mara tunaunga mtandao vijiji vyote TZ, Internet itakuwa bwi kiduchu.
Hii bongo jau sana aisee.
Sio pembezoni mkuuHalotel ukiwa pembezoni mwa mji ipo hovyo sana
Kumbe ni Wavietnam? 😁Hao wajinga wakati wanakuja around 2013/2014 walikuwa wanavimba kwamba wanakuja kuleta mapinduzi ya vifurushi vya mtandao, hasa Internet. Sijui ni mwanasiasa gani aliwaleta hao Vietnamese. 😁
Mara tunaunga mtandao vijiji vyote TZ, Internet itakuwa bei kiduchu. Mara ziii... jero unapewa 200MB. 😁
Hii bongo jau sana aisee.
Kwanini mtandao unakua mzito yaan hapa nimeamua ku-switch Airtel ila Halotel mtandao mzito balaa shida nimeunga bundle this morning nifanye issue zangu naona mtandao mzito kwa hio issue zinasimama hawa jamaa vipi kwani?
Kumbe ni Wavietnam? 😁
Wewe ulikua unajua ni wakina nani?Kumbe ni Wavietnam? 😁
Ni line ya muda mrefu mkuu nimeendelea kujitathmini ndio maana nikaamua kuja kuuliza nini shida wazee mniambie2026 unatumia halotel ? Jitathimini
Kwa hio leo shida nini mboni mtandao km wa kulenga hivi yaan mzitoNdio, kabla hawaja switch kuijiita Halotel, walikuwa wanajiita Vietel..
Kampuni mama ni Vietel Tanzania, ambayo kimsingi ni kampuni ya Ki Vietnam. Ni ujanja tuu wa biashara.
Naona wamewake sawa sasa hivi naseleleka sijui shida ilikua nini Wazee halafu wamewasha turboDuuh hio ipo kwenye mtandao gani?
Mtandao sio powa, utajisumbua tu ! Mabando yao pia hayaeleweki, mb zinaisha tu yani bila kujua umetumiaje ? Hawa jamaa ni matapeli..... kitambo sana niliwatemea mbaliNi line ya muda mrefu mkuu nimeendelea kujitathmini ndio maana nikaamua kuja kuuliza nini shida wazee mniambie