mtandao

  1. M

    JamiiForums Tanzania TAARIFA RASMI: Maandamano ya Amani kwa Wasafirishaji wote Nchini, Sambaza ujumbe huu Kila Jukwaa na kila mtandao

    Ndugu Madereva wa Bodaboda, Bajaji, Daladala, Mabasi ya Mikoani, Wamiliki wa Magari, na Vijana wote wa Tanzania, Salamu za amani na mshikamano. 1. UTANGULIZI Hii ni taarifa rasmi kutoka kwa waandaaji UWADAR na vyama vyote vya wasafirishaji nchini kuhusu maandamano ya amani yatakayofanyika...
  2. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Leo Airtel wana matatizo gani mboni mtandao mwendo wa KOBE?

    Mtandao wa Airtel umekuwa wa shida sana leo yupo mwendo wa kobe yani upo chini sana Shida ni nini ? Na kuna mtu naye anapata changamoto hii?
  3. Walletking

    JamiiForums Tanzania Habari! Baada ya kuwa mbali na mtandao kwa muda, nimerudi tena nikiwa na mtazamo mpya wa maisha. Natafuta mwanamke mwenye heshima, uaminifu,

    Habari! Baada ya kuwa mbali na mtandao kwa muda, nimerudi tena nikiwa na mtazamo mpya wa maisha. Natafuta mwanamke mwenye heshima, uaminifu, maadili mema na nia ya kujenga uhusiano wa kweli unaoweza kuishia kwenye ndoa. Umri ninaopendelea ni miaka 20 hadi 32. Ninaamini uhusiano mzuri huanza...
  4. Mvinyo mpya

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa JF unapatikana bila VPN?

    Nashindwa kuingia mpaka niwashe VPN au ni wenge langu tu?
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Kenyalogue.com unaonesha kuwa wastani wa IQ barani Africa ni 60.16

    130+ Very Superior / Gifted Top 2% High IQ 120–129 Superior Top 9% High 110–119 High Average Top 25% Above Average 90–109 Average 25–75% Typical / Normal range 80–89 Low Average Bottom 25% Below Average 70–79 Borderline Bottom 9% Low Below 70 Extremely Low Bottom 2% Very Low (disability range)
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Buswelu Nyamadoke, Mtaa wa Ibinza Msikiti wa chini hatuna mtandao wa mabomba ya maji

    Sisi wakazi wa Buswelu Nyamadoke, eneo la Ibinza Msikiti wa Chini, Wilaya ya Ilemela Mkoa wa Mwanza, tunaomba Serikali na mamlaka husika kutusaidia kutufikishia mtandao wa mabomba ya maji ili nasi tuweze kuunganishiwa huduma ya maji safi na salama. Kwa sasa, eneo letu halina mtandao wa mabomba...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Umewahi kukutana na tukio la kuagiza kitu mtandao halafu ulicholetewa ni tofauti na ulichoagiza?

    Mimi niliwahi kuagiza nguo Kariakoo ilikuwa suti niliiona mtandaoni. Itoshe kusema nilichokiona nikakiagiza na nilicholetewa ni vitu viwili tofauti. Ile nguo ikabidi niigawe hata sikuivaa na ilikuwa ni ya tukio. Mpaka leo siwezi kuagiza nguo mtandaoni mpaka nikajihakikishie mwenyewe. Majibu ya...
  8. manyanga21

    JamiiForums Tanzania Dereva wa taxi mtandao (bolt,uber n.k)

    Mimi ni dereva mzoefu mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 2. Kwa sasa natafuta gari la mkataba au la hesabu kwa ajili ya kufanya kazi za Uber na Bolt.nina account ya bolt nk Pia niko tayari kufanya kazi kama dereva binafsi kwa mtu au kampuni. Kwa mawasiliano zaidi, tafadhali wasiliana nami kupitia...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania MTUWASA: Maeneo ambayo hawajapata maji Mbae Mashariki, Mkandarasi yupo site kuongeza Mtandao wa maji

    TAARIFA KWA UMMA Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mtwara (MTUWASA) inapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa iliyochapishwa kupitia ukurasa wa JamiiForums tarehe 01/06/2026 kuhusu maunganisho ya huduma ya maji Mbae Mashariki. Hoja ya Mdau ~ Wakazi wa Mbae (Mtwara Majini) tumeomba...
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa taifa lina mpasuko mkubwa sababu WanaCCM mtandao wamegeuza keki ya taifa kuea mali yao na kesi ya Lissu imeongeza chuki dhidi ya watawala

    Hakuna mtanzania anaefurahia huu utawala kwa amani. Wengi wanafurahia kwa shingo upande na unafiki. Angalia hata hao wanaCCM makabwela ambao hudanganywa kwa baiskeli na tisheti safari hii hawautaki huu utawala wa CCM. Kesi ya Lissu inazidi kuligawa taifa sababu kila mtanganyika mwenye akili...
  11. Bird Watcher

    JamiiForums Tanzania Mtandao Gani una Coverage nzuri Countrywide

    Wakuu natarajia kuwa na Safari almost TZ yote mikoani na wilayani! sasa based on experience je ni mtandao upo ipi miwili ambayo itani offer best coverage during my trip to Tanzania and probably pia naweza kufika na Nchi jirani za Africa mashariki wakuu
  12. X

    JamiiForums Tanzania Marekani ina mradi wa reli uliokwama zaidi ya miaka 10 + Daraja lililoanguka | China inajenga mtandao mpya wa miundombinu kila kukicha

    Tangu 2008 serikali ya Marekani kupitia jimbo la California, iliidhinisha ujenzi wa California High Speed Rail (San Francisco–Los Angeles) mpaka leo miaka 18 mradi haujakamilika. Zimejengwa km 192 tu kwa zaidi ya USD 100 billion. USD 100 billion China wanaweza kujenga km 1600-4000 ikitegema...
  13. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Msàada mtandao wa X (twiter )unagoma nikidownglod kwenye simu

    Tangu nimeflash simu huu mtando ndio pekee umegoma niki downglod pamoja na kutumia vpn lakini wapi Yani kuna mda kama unataka kukubali naingiza user name na pasward nalog in inazunguka kiasi alafu inakata yenyewe cm inarudi kawaida kama nime exit vile. Nifanyenye?
  14. Girland

    JamiiForums Tanzania Jinsi Aliko Dangote Alivyofanikiwa Kujenga Dangote Refinery na Nguvu ya Mtandao wa Mabilionea wa Nigeria

    Ujenzi wa Dangote Refinery si tu hadithi ya uwekezaji mkubwa—ni somo la kimkakati kuhusu uthubutu, mtaji, na nguvu ya mahusiano ya kifedha (financial networks). Mradi huu wenye thamani ya takriban dola bilioni 18–20 uligeuka kuwa refinery kubwa zaidi Afrika, lakini nyuma yake kuna simulizi la...
  15. Girland

    JamiiForums Tanzania SIRI-JINSI Aliko Dangote Alivyofanikiwa Kujenga Dangote Refinery na Nguvu ya Mtandao wa Mabilionea wa Nigeria

    Ujenzi wa Dangote Refinery si tu hadithi ya uwekezaji mkubwa—ni somo la kimkakati kuhusu uthubutu, mtaji, na nguvu ya mahusiano ya kifedha (financial networks). Mradi huu wenye thamani ya takriban dola bilioni 18–20 uligeuka kuwa refinery kubwa zaidi Afrika, lakini nyuma yake kuna simulizi la...
  16. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa JamiiForums kuleta feature mpya kuzuia Utapeli

    ecg Mtandao wa jamii forums ambao uliachiwa Toka mwaka 2006, imekua ni mtandao wa kipekee unaokutanisha vijana kujadili mambo mbalimbali kuhusu Teknolojia, Siasa, maisha, upendo nk. Sasa katika kuendana na Mitandao ya kijamii kisasa imekua ikileta feature mbalimbali za kisasa na kwa sasa iko...
  17. Dr PL

    JamiiForums Tanzania Wanaozuia mtandao mpaka sasa wamepata faida gani?

    Tangu mwaka jana jukwaa hili lilizuiwa kwa muda wa siku 90 na TCRA. Tulipitia wakati mgumu sana kwa sababu hili jukwaa lina manufaa mengi sana hasa kwa ustawi wa taifa letu. Ni kupitia jukwaa hili ambapo wananchi huwasilisha kero na changamoto mbalimbali zinazowakabili. Ni kupitia jukwaa hili...
  18. Etwege

    JamiiForums Tanzania Kwenu CCM mtandao

    Ni dhahiri sasa, kuwa unaweza kumunywesha sumu mtu lakini hauwezi kabisa kunywesha sumu ukweli aliokuwa anaufundisha. Unaweza kumteka mtu anayewafundisha watu ukweli lakini hawezi kuuteka ukweli uliowaingia mamilioni ya watu. Kwa Magufuli mlishangilia na kula nyama mkidhani mmeshinda, kiko...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Suala la Mfumo au Mtandao wa Uhamiaji kuwa chini muda mwingi ni kero

    Idara ya uhamiaji jamani pameshakuwa kero Tena zaidi ya kero.. Unaenda kufanya mchakato wa Passport ukifika huko wanakujibu kuwa hakuna mtandao Wiki nzima au muda mwingine wanakuambia eti taarifa zako zimeliwa na Virus like seriously 😳?
  20. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania miongoni mwa nchi zenye uhuru mdogo zaidi wa mtandao

    Kwa mujibu wa tafiti iliyofanywa na Cloudwards 2026 ikihusisha nchi 171 ikitathmini viwango vyao vya udhibiti wa mtandao kwa kutumia vigezo vya; matumizi ya majukwaa ya mitandao ya kijamii, upatikanaji wa maudhui mbalimbali ya kisiasa na kidini, kanuni zinazohusu matumizi ya VPN pampja na...
Back
Top Bottom