Baada ya picha zinazohusishwa na Kajala kusambaa mtandaoni, atoa tamko la kukanusha

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Wakuu X Wa Konde Boi Ametoa Tamko Lake Rasmi Kuhusu Kinachoendelea Huku Mtandano.

Screenshot_20210607-171716.jpg
 
Kajala kachemka hapo. Kama kafikia hatua ya kukubali hicho kichwa ni chake basi hio picha yote inamuhusu yeye.

Ukiangalia hio picha hapo chini ya kichwa kuna mikunjo inayoenda hadi shingoni. Mikunjo inaleta shadow fln kwa mbali ambayo inaendana kabisa na mikunjo yote ilio maeneo hayo (kichwani na mwanzoni mwa shingo)

Af anapoongelea mtoto wake kuwa na huo mwili mkubwa amesahau miaka kama miwili ilopita alijorekodi video yy na mtoto wake wanatingisha matackle ya huku wanacheka kabisa. Probably hio pic imechukuliwa mida hio coz paula ana mwili mkubwa toka zamani.

Muhuni tu huyo, ashamuharibu mtoto wake na anaendelea kusema uongo. Ngoja waliozivujisha wamwage nyingi zaidi ndo tuone atasema nn tena. Mara mia angekaa kimya

Hata deepfake haiwezi kutengeneza kitu yenye precision kiasi hiko. Huyu muhuni tu.. fullstop

Hapo aliposema yeye ANA HOFU YA MUNGU ndio pamenifanya nikaamini hiyo picha ni yakwake 🤣🤣🤣🤣
 
Kajala kachemka hapo. Kama kafikia hatua ya kukubali hicho kichwa ni chake basi hio picha yote inamuhusu yeye.

Ukiangalia hio picha hapo chini ya kichwa kuna mikunjo inayoenda hadi shingoni. Mikunjo inaleta shadow fln kwa mbali ambayo inaendana kabisa na mikunjo yote ilio maeneo hayo (kichwani na mwanzoni mwa shingo)

Af anapoongelea mtoto wake kuwa na huo mwili mkubwa amesahau miaka kama miwili ilopita alijorekodi video yy na mtoto wake wanatingisha matackle ya huku wanacheka kabisa. Probably hio pic imechukuliwa mida hio coz paula ana mwili mkubwa toka zamani.

Muhuni tu huyo, ashamuharibu mtoto wake na anaendelea kusema uongo. Ngoja waliozivujisha wamwage nyingi zaidi ndo tuone atasema nn tena. Mara mia angekaa kimya

Hata deepfake haiwezi kutengeneza kitu yenye precision kiasi hiko. Huyu muhuni tu.. fullstop
Dahh...
 
Back
Top Bottom