mtandao

  1. JamiiForums Tanzania Gharama za maegesho kuanza kulipwa kwa njia ya mtandao

    Natumaini mko vizuri mnapambana kutafuta riziki Ngoja nijikite moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Leo trh 23 aug 21 kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa dar imetoa maelekezo ya kuanza kutumika kwa mfumo wa ulipaji gharama za kupaki magari kwa njia ya kielectroniki ambapo mitandao yote...
  2. A

    JamiiForums Tanzania SMS za Account Namba zimekuwa Blocked na Mtandao wa Tigo?

    Wakuu habari, Jana nilikuwa nahitaji kumtumia Mtu Account namba yangu ili anitumie pesa nikatoe, hii yote ni katika kupunguza gharama ya Makato. Nikamuandikia SMS, mimi natumia mtandao wa Tigo, niliandika Majina kamili, jina la bank husika na namba ya Account cha ajabu kila nikituma ile SMS...
  3. JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu imesitisha mabadiliko ya bei za Vifurushi

    Unajua hii haijakaa sawa kabisa na sio nzuri kibiashara. Haya ndio madhara ya kuchanganya siasa chafu za chama kisichojitambua uelekeo wake kiutendaji na shughuli serious za kiuchumi.
  4. JamiiForums Tanzania Quora mtandao pendwa duniani

    Naongelea mtandao wenye wafuasi wengi kote duniani. Sasa naomba tujuane wajanja wote tulioko huko Ni mtandao pendwa sana huu. unanifanya nifahamu mengi ya hapa duniani.
  5. JamiiForums Tanzania Watanzania wenye strong profiles kwenye mtandao wa LinkedIn

    Habari za Leo wakuu, Linapokuja swala mitandao, watanzania hawapo nyuma kwenye kutumia mtandao wa professionals wa LinkedIn. Naomba tujuzane watanzania wenye strong profiles kwenye mtandao wa LinkedIn.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Hizi Ndizo Albums Pamoja Na EP's Zilizo Sikilizwa Zaidi Katika Mtandao Wa Kusikilizia Muziki Wa Spotify hap hapa TZ

    Hizi Ndizo Albums Pamoja Na EP's Zilizo Sikilizwa Zaidi Katika Mtandao Wa Kusikilizia Muziki Wa Spotify 1. Diamond Platnumz – A Boy From Tandale (2018) 30M 2. Rayvanny – The Sound From Africa (2021) 24M 3. Navy Kenzo – Story Of The African Mob (2020) 3M 4. Mbosso – Definition Of Love (2021)...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Kabudi: RITA Kuanzisha mfumo wa usajili wa ndoa kwa njia ya Mtandao

    Prof. Kabudi alibainisha hayo jana jijini Dar es Salaam wakati wa maadhimisho ya nne ya usajili wa matukio muhimu ya binadamu yaliyoandaliwa na RITA na kusema mfumo huo utasaidia kutoa nakala mtandaoni kabla ya nakala ya cheti cha ndoa kutolewa. “Kabla mfumo huu haujaanza kufanya kazi, wadau...
  8. JamiiForums Tanzania Kiusalama kesi ya Mbowe iendeshwe kwa njia ya mtandao akiwa gerezani ili kuepusha mkusanyiko

    Teknolojia iko mbele sana na tunaipongeza mahakama kwa kuendesha kesi kimtandao. Kwa kuwa ugaidi ni jambo zito sana linalohatarisha usalama wa nchi, na hatuna uhakika kama magaidi wote wamekamatwa, ni vyema kesi ya mtuhumiwa wa ugaidi, Mbowe iendeshwe kwa njia ya mtandao akiwa gerezani. Naona...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Hii Ndio List Ya Wasanii Wenye Wafuasi (Subscribers) Wengi Zaidi Kwenye Mtandao Wa YouTube

    Hii Ndio List Ya Wasanii Wenye Wafuasi (Subscribers) Wengi Zaidi Kwenye Mtandao Wa YouTube 1. #DIAMOND 5.44M 2. #RAYVANNY 3.03 3. #HARMONIZE 2.68M 4. #MBOSSO 1.71M 5. #ZUCHU 1.44M 6. #ALIKIBA 1.03M 7. #LAVALAVA 1.01M 8. #NANDY 847K 9.#ASLAY 805K 10. #ROMA 442K CC @chartdatatz
  10. C

    JamiiForums Tanzania Orodha: Wasanii walitozamwa zaidi YouTube kwa mwezi Julai

    1. Diamond - Views Milioni 33.4 2. Rayvanny - Views Milioni 21.5 3. Zuchu - Views Milioni 19.1 4. Mbosso - Views Milioni 16.4 5. Harmonize - Views Milioni 16.2 6. Alikiba - Views Milioni 11.9 7. Nandy - Views Milioni 5.9 8. Rose Muhando - Views Milioni 5.2 9. Zabron Singers - Views Milioni 5 10...
  11. JamiiForums Tanzania Mtandao wa Zoom kulipa Dola Milioni 86 kumaliza madai ya faragha

    Kampuni ya Zoom imekubali kulipa Dola za Marekani Milioni 86 kumaliza Mashtaka ya Faragha yaliyofunguliwa mwezi Machi mwaka 2020 huko California. Zoom ilidaiwa kuingilia Faragha ya mamilioni ya watumiaji kwa kutoa Taarifa zao Binafsi kwa Facebook, Google pamoja na LinkedIn. Vilevile...
  12. JamiiForums Tanzania Tazama hapa kiwango cha tozo utakayokatwa kulingana na muda wa maongezi utakaoweka kwenye simu yako

  13. K

    JamiiForums Tanzania Kukuza mtandao na kuwa waaminifu kutatuepusha na madhila ya tozo mpya ya CCM

    Ndugu zangu tupo vitani kwa Sasa, Vita hii ni Kati ya watawala wanaolishwa na Kodi zetu dhidi ya watawaliwa. Familia chache zinazotawala nchi hii zimetuletea Kodi kubwa pamoja na tozo huku wakijinadi kwamba TUTAZOEA TU. Hatuna budi kushikamana na kupeana mbinu zakushinda Vita hii, nawaletea...
  14. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Uwezeshwaji wa vijana na wanawake kupitia kilimo mtandao (E- agriculture)

    Nitaanza na maana ya kilimo mtandao. KILIMO MTANDAO, hii ni huduma ya kilimo ambayo inatoa taarifa na kupokea taarifa kuhusu hali ya klimo, masoko ya mazao, hali ya hewa na mabadiliko ya nchi pamoja na matumizi mengine ya kiteknolojia kupitia mtandao. Hii inasaidia kurahisisha mawasiliano...
  15. JamiiForums Tanzania Mtandao gani una mabando mazuri ya usiku?

    Natafuta mabando ya usiku jamani kama lile la TTCL la GB 10 night, au lenye gb za kutosha kukarbiana na hilo kwa bei nafuu
  16. JamiiForums Tanzania Mtandao wa Airtel ninyi siyo wezi? Huduma zenu mbovu sana

    Huu mtandao umekuwa wa ajabu sana. Watu wanatuma Miamala sms hazirudi kwa wakati, wananunia LUKU sms hawazipati, Internet yao ni weak kupita maelezo. Mbaya zaidi customer care services simu zao hazipatikani kabisa. Mtando umekuwa wa hovyo sana, huku ni kupoteza wateja. Kama kuna tatizo la...
  17. JamiiForums Tanzania Ni Apps zipi za Mitandao ya Kijamii unamiliki kwenye simu yako na na kwanini?

    Mimi nina apps mbili tu Tuu ambazo Ninamiliki kwenye simu yangu nazo ni Twitter na WhatsApp. Facebook niliiacha kitambo kwa sababu ya kuwa na limited number of friends Kule Vichwa vipanga ni wachache mno kumejaa utopolo tuu. Hata ukiwa na followers Labda uwe unaandika kuhusu mapenzi, udaku...
  18. JamiiForums Tanzania Siri iliyojificha kwenye mtandao wa Ebay na jinsi ya kutumia Ebay kutengeneza pesa

    SIRI ILIYOJIFICHA KWENYE MTANDAO WA EBAY NA JINSI YA KUTUMIA EBAY KUTENGENEZA PESA. Ebay? Ndiyo ni Ebay!!! Natumai umeshawahi kusikia au kukutana na kitu kinaitwa EBAY katika makala hii nitakupa siri iliyojificha kwenye mtandao wa EBAY na nitakufundisha jinsi ya kutumia EBAY kutengeneza...
  19. JamiiForums Tanzania TCU rudisheni mfumo wa kudahili wanafunzi vyuoni kwa njia ya mtandao (CAS)

    TCU ni taasisi inayodhibiti ubora wa elimu ya juu. Inakagua, inashauri, inaruhusu Na kusimamisha au kufuta vyuo visivyokidhi vigezo vya ubora. Hivyo, vyuo vyote ambavyo vinatoa mafunzo vimefikia vigezo (minimum) vya ubora wa kumudu kutoa mafuzo yaliyokusudiwa. Ingawa ni kweli vyuo vinatofautiana...
  20. JamiiForums Tanzania Masomo ya sekondari kwa njia ya Mtandao kwa kila siku

    Kama mnavyojiua serikali inahimiza matumizi ya tehama katika kufundisha kwenye shule za msingi na serikali. Juzi nilipita katika shule moja ya sekondari nikakuta wao wamepata msaada wa vifaa vyote vya kuwawezesha kupata masomo hayo kwa njia ya mtandao lakini changamoto kubwa kwao ni akina nani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…