Siri iliyojificha kwenye mtandao wa Ebay na jinsi ya kutumia Ebay kutengeneza pesa

fokofu

Member
Oct 17, 2012
68
74
SIRI ILIYOJIFICHA KWENYE MTANDAO WA EBAY NA JINSI YA KUTUMIA EBAY KUTENGENEZA PESA.

Ebay?

Ndiyo ni Ebay!!!

Natumai umeshawahi kusikia au kukutana na kitu

kinaitwa EBAY katika makala hii nitakupa siri

iliyojificha kwenye mtandao wa EBAY na

nitakufundisha jinsi ya kutumia EBAY kutengeneza

pesa na jinsi gani unaweza ukapata bidhaa kama

simu na nyinginezo za matumizi binafsi kwa bei

rahisi

Ebay ni nini?

Ebay ni mtandao wa kimarekani unaokutanisha

wauzaji na wanunuzi wa bidhaa mbalimbali kama

simu,laptop,saa,nguo,viatu na n.k

Ni mtandao ambao unamuwezesha mnunuzi kuweza

kununua bidhaa mtandaoni bila ya kuonana ana kwa

ana na muuzaji.

JINSI YA KUTUMIA EBAY KUTENGENEZA PESA

1. kwa kununua kwa bei ndogo kutoka USA kisha

kuja kuuza kwa bei kubwa huku bongo.

Katika mtandao wa EBAY unapata bidhaa kama simu

kwa bei rahisi sana na unachofanya ni kununua

kutoka ebay na kuja kuziuza huku bongo kama

unavyoona hapo kwenye picha IPHONE 6 PLAIN

unapata kwa 105,000/= so unaweza kununua kwa

105,000 na kuja kuziuza kwa 180,000/= mpaka

200,000/= hapo unatengeneza faida ya kati ya

75,000/= mpaka 95,000/=

2. HII INA FAIDA ZAIDI ( kwa kununua simu mbovu na kuzitengeneza) INAHITAJI MZOEFU

Hii ni njia ninayoitumia kutengeneza faida kubwa

huwa nanunua simu zenye shida ndogo kama

zilizopasuka vioo na shida nyingine ndogo ndogo

ambazo zinatengenezeka kama mnavyojua wenzetu

waliopo majuu huwa hawatumii kitu mpaka kichoke

sana na wengi wao huwa hawamini kupeleka simu

kwa fundi mfano simu ikidondoka na kuweka

kampasuko kidogo kwa mzungu hiyo haifai tena

huwa wanaziuza kupitia mtandao wa EBAY na huwa

zinauzwa kwa bei ndogo sana mfano angalia picha

za IPHONE 8 ambayo naweza kununua kwa 200,000

kama mnavyoona kwenye picha namba 3 na 4 na

nikairekebisha kioo ambacho bei haizidi 40,000

mimi nakuja kuiuza kuanzia 300,000/= mpaka

400,000/= na kwa jinsi inavyoonekana kwenye picha

naweza nikaiuza hivyo hivyo bila ya kuirekebisha

maana crack yake ni ndogo sana.

NIMETUMIA MFANO WA SIMU MAANA NI RAHISI

ILA EBAY UNAWEZA UKANUNUA CHOCHOTE VITU

KAMA LAPTOP, SAA,NGUO, PLAYSTATION,

PRINTER,TV N.K

PIA NIMETUMIA EBAY MAANA NI MTANDAO

RAHISI KUTUMIA LAKINI UNAWEZA UKATUMIA

MITANDAO KAMA ALIEXPRESS, AMAZON, BESTBUY,

WALMART, SWAPPA, ALIBABA NA N.K

NAJUA BADO UNA MASWALI MENGI KICHWANI

1.Nitawezaje kufanya malipo?

2. Nitawezaje kuisafirisha kutoka marekani?

3. Siwezi kutapeliwa?

4. Mzigo unachukua siku ngapi kufika?

5. Jinsi ya kujaza anuani yangu?

6. Muuzaji hatumi mzigo bongo?

7. Bei ya kusafirisha kubwa?

SIWEZI KUANDIKA KILA KITU HUMU KWA MSAADA

ZAIDI UNAWEZA UKAKOMENTI, UKANICHEKI INBOX

NITAKUFUNDISHA STEP BY STEP PIA USISAHAU

KULIKE PAGE YANGU ILI USIKOSE MAKALA NYINGI

ZAIDI

KWA MAWASILIANO ZAIDI

0777821974 (call & whatsapp)
AddText_07-01-06.16.02.jpg
AddText_07-01-06.12.43.jpg
AddText_07-01-07.16.43.jpg
AddText_07-01-07.17.14.jpg
 
Kudadadeki yaani iPhone kwa laki moja na elfu tano tu...au nimelewa gongo wakuu sioni vzr
 
0777821974 (call & whatsapp)View attachment 1836344View attachment 1836345View attachment 1836346View attachment 1836347
Mbona unatudanganya mzee, hiyo pesa bado hujaweka gharama za shipment, sitaki kuamini kwa namna unaipiga hiyo faida ni chenga
 
0777821974 (call & whats
Mkuu kodi ya serikali imeikumbuka kweli hapo ikiimport huo mzigo
 
Back
Top Bottom