mtandao

  1. mfianchi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtandao gani naweza kutumia kwenye Smart Tv hapa Tanzania

    Wadau nisipoteze muda wenu, nauliza nje ya mkoa wa Dar Es Salaam ni mtandao wa kampuni ipi ya intaneti/simu ambao naweza kutumia kuangalia netflix au huduma za streaming kwenye smart tv hasa tulio wilayani. Kwa jiji la Dar Es Salaam najua Zuku ndio wana unafuu kiasi bahati mbaya wilayani hatuna...
  2. cold water

    JamiiForums Tanzania Halotel wekeni mtandao wenu vizuri, mtandao unasumbua sana

    Tangu Jana hali sio shwari huku mkoani,bando zipo higher na mtandao wenu wa kimagumashi mmeona zile mb 330 kwa tsh.500 tunafaidi sana? Basi tunalipa izo higher bando lakini akikisheni mtandao wenu unakuwa vizuri basi,sio ela zetu mnapenda mtandao upo slowly."Haki sawa". Mtandao...
  3. Frustration

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Tigo kinaanza kuisha kifurushi cha leo badala ya cha jana.

    Mm ni mpenzi wa bando la wiki na natumia mtandao wa Tigo. Mara nyingi huwa sipendi kukatiwa salio na ilikuepukana na hili napenda kujiunga siku 3 au mbili kabla ya kufikia deadline. Maajabu ninayokuta na nilichelewa kuchunguza ni kuwa kifurushi kipya kinaanza kutumika na kile ambacho ulikuwa...
  4. Sebastian Oscar

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kesho ya Afrika ipo katika mtandao

    Africa, ni moja ya bara lenye rasilimali nyingi, licha ya kuwa na rasilimali nyingi Africa bado inatambulika kama bara lenye uchumi wa tatu. Moja ya sababu kubwa inayoifanya Africa ishindwe kukuwa kiuchumi ni kukosa muunganiko wa soko. Ukitizama mataifa yenye uchumi mkubwa duniani yote yanasifa...
  5. Willima

    JamiiForums Tanzania Kwa kua 'data ni mafuta mapya', watafiti lazima wawe na ujuzi katika usalama wa mtandao

    "Data is the new Oil", Goodman alihoji katika kitabu chake, future crime (2015), ambapo alionyesha jinsi data inavyo tumika kutengeneza mabilioni ya dola kwa makampuni yanayo kusanya data kwa kutoa huduma mbalimbali za kidijikali. Alicho sema Goodman ni sawa na kile alichoandika O'Connor (2004)...
  6. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Faida niliyopata kupitia mtandao wetu huu pendwa wa JamiiForums

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu wana JF wenzangu, leo ningependa niandike manufaa, au faida niliyopata kupitia mtandao wetu huu pendwa wa JF. Afu kama kuna mungine au wengine walionufaika na mtandao huu, basi walete...
  7. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa TANePS haupatikani nini Tatizo

    Mtandao wa Serekali TANepS hapatilani toka jana, mtandao huu ambao tender zote za serekali hupatikana kupitia mtandao huu imekuwa kero kubwa sana kwasababu wakandara na suppliers hutumia mtandao huu kupakuwa na kutuma tenda zao hali inayopelekea kuleta hofu. Kinacho nishangaza ni ukimya wa...
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KWELI TRA Wakanusha suala la Mtandao wao kusumbua nchi nzima

    TRA Wamekanusha Taarifa zilizoandikwa JamiiForums zilizodai Mtandao wao kusumbua. Wamesema ni taarifa ya Uongo na Uzushi. Kwani imelenga kupotosha na kuleta taharuki miongoni mwa Walipa Kodi pamoja na kuidhalilisha taasisi na Watumishi wake. Katika kipindi cha mwezi mzima, TRA haikuwa na...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wasambaza picha za ngono, wanaojiuza mitandaoni, waliojifanya mawakala wa Freemason wakamatwa

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na Timu Maalum ya Kuzuia na Kupambana na Uhalifu wa Mtandaoni, huku ikiwashirikisha Polisi Mkoa wa Morogoro, wamefanya Operesheni maalum kuanzia tarehe 18/05/2022 hadi 26/06/2022 katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam na...
  10. Action and Reaction

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napenda kujua app ipi nzuri ya kudowload video hatamkama mtandao uko weak!

    Waungwana hebu mnijuze app ya kudowload video youtube kwenye pc hatakama mtandao uliosetiwa hauna nguvu....
  11. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uingereza yaidhinisha kurudishwa Nchini Marekani kwa mwandishi na mwanzilishi wa mtandao wa WikiLeaks

    Waziri wa Mambo ya Ndani nchini humo ameidhinisha kurejeshwa kwa Julian Assange nchini Marekani ambapo mamlaka nchini humo zinamtafuta kuhusiana na nyaraka zilizofichuliwa na mtandao huo mwaka wa 2010 na 2011. Mnamo 2019 Marekani iliwasilisha mashtaka 17 dhidi yake kwa kukiuka Sheria ya Ujasusi...
  12. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Kenya: Mtandao wa Tiktok washutumiwa kwa uchochezi kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Katika utafiti uliofanywa na Odanga Madung, mtafiti kutoka Taasisi ya Mozilla, ulibaini kuwa watumiaji wa TikTok nchini Kenya wanaonyeshwa video ambazo ni za matusi, zinazochochea vurugu au habari za uwongo za kisiasa Inaelezwa kuwa zaidi ya video 130 zilizohusishwa na akaunti 33 zilitazamwa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Biashara ya bidhaa za Afrika kwa njia ya mtandao wa Internet kupanua mauzo ya bidhaa za Afrika nchini China

    Fadhili Mpunji Mwezi Aprili mwaka huu shughuli nyingi ya mauzo bidhaa za Afrika kwenye mtandao wa internet ilifanyika nchini China. Wateja wa miji mbalimbali ya China walitumia muda wao kwenye simu na kompyuta zao, wakitazama, kusikiliza, kuchagua na kununua bidhaa mbalimbali kutoka nchi za...
  14. Infopaedia

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Zoomtanzania na magari ya mnada

    Habari wakuu. Kwenye mtandao wa Zoomtanzania ambalo ni duka la mtandaoni, nimeingia na kukuta magari mengi ya mnada. Kuna gari nyingi naona zimeandikwa 'manada wa magari', kwa maana ya kwamba zinapatikana kwenye huo mnada. Wakuu, kama kuna mtu ana uzoefu na huo mnada, naomba anishirikishe...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Facebook imeendelea kuwa mtandao wa kijamii unaotumika zaidi duniani

    Takwimu zilizotolewa na Digital 2022 Global Overview Report zimeonesha mtandao wa kijamii wa Facebook ndio mtandao platform inayotumiwa na wengi Mbali na matokeo hayo mtandao wa WhatsApp umeonekana kupendelewa na wengi katika kufanya mawasiliano ukilinganisha na platforms nyingine za...
  16. 2019

    JamiiForums Tanzania Airtel mtandao wa ovyo sana, mawingu kidogo tu hakuna huduma

    Hata kama wamepata balozi mzuri wa kuwatangazia matangazo yao tatizo sio matangazo bali ni huduma. Airtel money changamoto,kama una haraka huwezi kutoa pesa fasta ukaondoka. Kupiga simu,wanatoa dk nyingi sana za kuwasiliana lakini unaweza kutumia dk mpaka 5 hamuelewani mnabaki kuulizana...
  17. Fohadi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majina yapo mengi, ila kwanini MTARO ulipewa jina la mtandao wetu pendwa.

    Ni jumanne nyingine, hali ya hewa ni rafiki na sio rafiki kwa namna moja ama nyingine. Inategemea na mtu na mtu. Nimeona sio vibaya nikiuliza na kujifunza kutoka kwa wanaofahamu. Nina amini baadhi ya majina ya maeneo yaliwekwa kutokana na matukio au shughuli ambazo ziliwahi kutokea kwenye...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mtandao wa kuteka, kubaka, kupora wanawake maarufu waanza kudakwa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watu wawili wanaodaiwa kuwa ni viongozi wa mtandao wa utekaji, uporaji na ubakaji wa wanawake maarufu jijini hapo. RPC wa Arusha, Justine Masejo amethibitisha kukamatwa kwa watu hao na kuongeza kuna wengine wawili wamekamatwa wakihusishwa na tukio...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Nilipoteza marafiki wengi, tuna Sheria mbovu ya Makosa ya Mtandao. Tuna haki ya kuhoji

    Maxence Melo ambaye ni Mkurugenzi wa JamiiForums, jana Aprili 25, 2022 alikuwa katika kituo cha E FM Radio akielezea mambo mbalimbali kuhusu taasisi yake, harakati, mijadala na mambo mengine mengi. Hizi ni sehemu ya nukuu ya yale aliyozungumza Maxence Melo: “Hitaji la Jamii Forums wakati...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa makampuni ya Simu, Tigo, Vodacom, Airtell, Halotel etc: Kama mnaweza tutengenezee VIBUBU vya kwenye simu/Mtandao

    My point is this: Tumezoea kuweka hela kwenye VIBUBU vya mbao ambavyo ikifika muda uliojipangia unakibomoa. SASA, ni imani yangu kuwa you can design a programme ambayo mtu anaweza akawa anaweka pesa zake (kama tunavyoweka kwenye M-pesa, Tigo pesa etc) na kuzitoa muda aliopanga ambapo kabla ya...
Back
Top Bottom