mtandao

  1. J

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma watakiwa kujilinda na Uhalifu wa Mtandao

    Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Arusha. Watumishi wa umma na binafsi wametakiwa kuwa makini na chochote wanachofanya mtandaoni ili kujilinda na changamoto za uhalifu wa mtandao ambapo katika zama hizi za kidijiti taarifa binafsi au za taasisi zimegeuka kuwa malighafi muhimu kwa wahalifu wa mtandao...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Serikali kuimarisha Usalama wa Huduma Mtandao

    SERIKALI KUIMARISHA USALAMA WA HUDUMA MTANDAO Na Faraja Mpina, WHMTH, DAR ES SALAAM SERIKALI kupitia Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari inaendelea kuhakikisha inaimarisha usalama wa huduma zinazotolewa kwa njia ya mtandao ikiwa ni pamoja na biashara mtandao ili wananchi...
  3. stineriga

    JamiiForums Tanzania Network mtandao wa Tigo unasumbua maeneo ya Kimara a hakuna kitu mnafanya

    Yaani nikiwapigia watu simu inakata Napigiwa na watu simu inakata Nilijiunga na bando ka Home internet gb 40 nimeshindwa kabisa kufanya chochote Yaani ningekuwa naweza ningewashitaki huu mtandao😡
  4. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Hili tatizo la mtandao wa tigo kusumbua ikifika saa mbili usiku ni mimi au ?

    Nimejaribu kuhamia mtandao huu kwa wiki ya pili sasa lakini sina hamu nao, yaani ikifika mida ya saa mbili usiku spidi ya internet inashuka sana kiasi kwamba hata kucheki video ni kwa kusua sua, mida hii ndio huwa napenda kutumia net lakini kwa hali nayokutana nayo ni mateso tu, si enjoy hata...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Wabunge kwenda Mahakamani kupinga sheria ya Mtandao

    Bunge la Uganda limepitisha Sheria ya Mtandao ikilenga watumiaji wa kompyuta Nchini humo. Baadhi ya Wabunge wamenukuliwa wakisema kwamba watakwenda kuipinga Mahakamani itawahusu watu wanaochapisha taarifa za uongo mitandaoni, taarifa ambazo hazijathibitishwa na wahusika, pia kuchapisha taarifa...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Albania: Taasisi za serikali zapigwa na shambulio la mtandao, Iran yatajwa

    Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Ndani imekiri kupata shambulio hilo lililolenga mifumo ya Utumishi wa Umma na Serikali nchini humo ikiwemo mifumo ya kompyuta ya Polisi. Waziri Mkuu Edi Rama ameishutumu Iran kwa kuelekeza mashambulizi hayo dhidi ya taasisi kadhaa yaliyotajwa kufanywa ili kulemaza...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Afrika waongea na wanaanga wa China walioko anga ya juu kwa njia ya mtandao

    Vijana kutoka nchi 8 za Afrika wameongea na wanaanga wa China walioko kwenye Kituo cha Anga ya Juu Tiangong kwa njia ya mtandao. Wanaanga hao wakiwemo Chen Dong, Liu Yang na Cai Xuzhe wamejibu maswali yaliyoulizwa na vijana hao kama vile wanaweza kuona Jangwa la Sahara na Mlima Kilimanjaro...
  8. Moselyn11

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mtandao

    Mambo vipi? Nimekuja kukuambia machache kuhusu mimi mpenzi wangu. Mimi ndiye ninayekufahamu wewe kuliko hata unavyojifahamu wewe, Naam. Mimi ndiye ninamjua mpenzi anayekufaa kuliko hata wazazi wako wanaokushauri kila siku, umesahau juzi ulikuwa una-gugo sifa za mpenzi bora? Ni mimi huyuhuyu...
  9. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Uhusiano ulioanzia kwenye Mtandao wa Craigslist wadaiwa kumfanya binti Mkenya apotee kusikojulikana

    Irene Gakwa ni binti aliyezaliwa nchini Kenya miaka 33 iliyopita ambaye mwaka 2019 alihamia nchini Marekani akiwa na ndoto za kusomea maswala ya afya. Irene alikutana na upinzani mkubwa kwenye hatua za awali za uamuzi wake huu kutoka kwa wazazi wake ambao hawakutaka ahamie huko, lakini kutokana...
  10. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Mtandao gani wenye kifurushi cha usiku?

    kuna wakati nilikuwa nikipata halotel gb 10 kuanzia saa sita hadi saa kumi na mbili, ila naona wanazingua siku hizi, ni mtandao upi wenye huduma kama hii.
  11. Candela

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwezesha digital payment kwenye Application yangu

    Habari wadau, Ninataka kujua namna ya kuzesesha Digital Payment kwenye application yangu. Yaani mtu alipie kutoka mtandao wa simu moja kwa moja kwa kuweka kiasi kwenye application halafu simu yake ipate alert aweke namba ya siri pekee. Kama wanavyofanya Sportpesa.
  12. mbinda_smartphones

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Tunauza simu aina mbalimbali

    Sony Xperia XZ1 || 4GB RAM || 64GB Storage || Free Cover & USB || Used From Dubai || Price 220,000/= Call: 0765 683 574 Instagram mbinda_smartphones
  13. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz ndio msanii namba mbili Afrika kwa kumiliki magari ya kifahari. Mtandao mkubwa duniani watoa orodha

    Kwa mujibu wa orodha iliyotolewa na mtandao maarufu duniani. Msanii namba moja Afrika Diamond Platnumz ameshikilia namba mbili kwenye bara ili lenye nchi zaidi ya 50 na wasanii zaidi ya million 70.....yaaani katika wasanii wote Africa Diamond Platnumz ndio namba mbili. Asante sana Mwenye enzi...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Airtel mtandao ovyo tangu jana hakuna hata taarifa rasmi wala apology

    Watu hawa hawaheshimu wanuka jasho kabisa. Huduma hovyo, mabando ghali (kwa wale wasiojua vpn) wanafanya wanavyojisikia sababu wnajuaa nape nnauye atawatetea kwa lolote lile keshakuwa msemaji wao. Tangu jana hadi sasa hivi connection ya airtel ni tiatia maji na wamenyamaza kimyaaa ukipiga...
  15. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Sensa na Changamoto ya Intaneti: Karani wa Sensa Akutwa Juu ya Mti akitafuta Mtandao Butiama, Mara

    Ni huko wilaya ya Butiama kwa Baba wa taifa hili Mwl J. K. Nyerere. Kwa jinsi ambavyo viongozi wetu wasivyopenda kukosolewa, si ajabu karani huyu wa sensa anafukuzwa kazi kwa kuposti picha hii na kueleza changamoto hii. Anaweza kuwa charged kuwa anahujumu zoezi la sensa. ======== Makarani wa...
  16. F

    JamiiForums Tanzania SoC02 Vijana, ajira mtandao vilio njia za malipo

    Peter ni rafiki yangu na ni kijana wa miaka 27, mjasiriamali na anatumia mitandao kujitaftia riziki. Vilevile ni mtaalamu katika masuala ya uundaji na uendelezaji wa tovuti(website designing and development), pia ni mtaalamu wa kuunda picha na uchoraji (graphic designing). Katika harakati za...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania WAZIRI NAPE: Tathmini gharama huduma za mtandao kufanyika 2022

    Mwaka 2022 Serikali itafanya tathmini ya gharama za huduma ya mitandao ya simu ndani ikiwa imepita miaka minne tangu kufanya hivyo. Hayo yamesemwa leo Jummosi Agosti 20, 2022 na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye kwenye kipindi cha Power Breakfast alipokuwa...
  18. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Pwani: 21 Washikiliwa kwa kuhusika na Mtandao wa Wizi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani llinawashikilia watu 21 kwa tuhuma za wizi wa mifugo. Akizungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa Agosti 19, 2022 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Pius Lutumo amesema kuwa watuhumiwa hao wamekamatwa kufuatia msako wa jeshi hilo iliyofanyika usiku na mchana baada...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania LATRA: Mabasi yasiyotumia tiketi mtandao mwisho Septemba 1

    Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra), imesema kuanzia Septemba 1, 2022, mabasi yanayofanya safari za mikoani na nchi za nje yasiyotumia tiketi za mtandao hayaturusiwa kufanya shughuli za usafirishaji wa abiria. Kauli hiyo imetolewa leo Alhamisi Agosti 18, 2022 na Mkurugenzi Mkuu wa...
  20. mfianchi

    JamiiForums Tanzania Mtandao gani naweza kutumia kwenye Smart Tv hapa TZ

    Wadau nisipoteze muda wenu, nauliza nje ya mkoa wa Dar Es Salaam ni mtandao wa kampuni ipi ya intaneti/simu ambao naweza kutumia kuangalia netflix au huduma za streaming kwenye smart tv hasa tulio wilayani, kwa jiji la Dar Es Salaam najua Zuku ndio wana unafuu kiasi bahati mbaya wilayani hatuna...
Back
Top Bottom