Ndio ilikuwa inasoma.nikiweka laini ya tigo inasoma halafu haisomi Tena.nikiweka laini ya halotel,Voda,Airtel haisomi kabisaaa.Zamani ilikua inasoma?
Kuna mawili hapo either ni lock ya mtandao (docomo ni mtandao wa simu) ama imekuwa blacklisted,
Kama ni network lock kuna mafundi walio specialise huko, ni KAZI ndogo Ila kama ipo blacklisted ukifuata Sheria ina mlolongo kidogo mpaka upate fundi alieidhinishwa na TCRA, upate IMEI ya Kihalali.
Inaweza kuwa blacklisted mkuu, Ila haidhuru jaribu Kwanza jamaa wa Kutoa lock angalau troubleshoot Tu ujue kama ni docomo wenyewe wmefunga ama mambo makubwa zaidi.Ndio ilikuwa inasoma.nikiweka laini ya tigo inasoma halafu haisomi Tena.nikiweka laini ya halotel,Voda,Airtel haisomi kabisaaa.