mtaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nina shahada ya ualimu, natafuta kazi itakayonipatia mtaji

    Wakuu kama kichwa kinavyojieleza, Nimejaribu kutafuta kazi katika fani yangu ya uwalimu, kwani nimehitimu shahada ya ualimu mwaka jana katika taasisi kubwa tu hapa nchini lakini mpaka sasa hivi bado sijapata kazi. Nimekuja kwenu wana JF kwani hapa kuna watu tofauti tofauti, hivyo naomba mtu...
  2. JamiiForums Tanzania Faida/hasara za kutaja mtaji mkubwa/mdogo wakati wa usajili wa kampuni

    Habari wana jukwaa, Naomba kueleweshwa: Natarajia kusajili kampuni na hivyo nimefuatilia taarifa zote za msingi kuhusu hatua za kufuata ili niweze kufikia lengo. Hatua mojawapo ni ya kulipia ada ya usajili ambayo inategemea kiwango cha mtaji nilichonacho; pasipo kujali ikiwa mtaji huo ninao in...
  3. JamiiForums Tanzania Step 10: Nilivyowekeza laki moja hadi kuanza kutengeneza milioni moja kila siku 3 (step by step)

    Disclaimer (cha kuzingatia): This is not a get rich quick scheme (hauto tajirika ghafla ndani ya masaa au siku kadhaa), imenichukua mwaka kufikia wakati ambapo naweza pata faida ya millioni moja na kadhaa ndani ya siku 3. Nimejifunza mengi hapo kati, hopefully haitokuchukua mda mwingi kama mimi...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Wakuu, Kutokana na wadau kadhaa kuja na mijadala anuai inayoonyesha kuwa wanayo mitaji yenye kuanzia kiasi cha TZS 100,000/= hadi TZS 999,999/=, tumeona ni vema tukawa na mjadala mmoja endelevu ambao utatoa mawazo mbalimbali ya jinsi ya kutoka kimaisha ukiwa na mtaji huo. Aidha, tunashauri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…