Gambo umejionea mwenyewe .
Lema yupo na Access ya Canada
Familia yake inaishi na watoto wanasoma ulaya .
Ulimfanyia Figisu
Akakosa ubunge
Ukaharibu reputation yake
But now it is ur time to reap ur karmic debt .
Pole Sana , What you sow you shall reap.
Hii ndo universe utamfanyia MTU ubaya...
Degree imekua nyepesi sana kuipata aseee!!!
Toka lini kitu kinachopatikana kirahisi kiwe na thamani?
Ushauri: Kabla ya kupoteza muda wako kwenda kusoma degree hebu jitafakari kwanza.
Game imechenji, chawa wanapata kuliko wenye degree zao(sihamasishi uchawa)
Tazama hiyo video hapo chini...
act
babalevo
ccm
chadema
chawa
chuo kikuu
diamond
elimu
kusoma
mafwele
mtaani
mwanachuo
mwijaku
mzumbe
nyege
rais
samia
simba
singeli
tanzania
udsm
umoja
veta
vijana
wassira
wazalendo
yanga
zanzibar
Pesa ni sabuni ya roho , nazani bada ya MUNGU, familia pesa zinafuata, kwa akili zangu na experience yangu mtaani hali ya maisha mtaani ni ngumu sana no money here, nimekumbuka miaka ya 2010 -2015 ukiwa na Dili ya pesa nyingi unawapigia wanao wawili wakuwekee fedha unafanya Dili unawarudishia...
Wakuu nimeshuhudia miaka mingi ya uchaguzi miezi kama hìi kunakuwa na shamra shamra za uchaguzi! Mwaka huu kulikoni au kwa sababu mshindi alishapatikana???
Leo Juni 17, 2025 miili ya wale wanandoa ambao inadaiwa walikutwa wamechinjwa chumbani kwao Juni 12, 2025, inaagwa muda huu katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bonyokwa, Ilala Dar es Salaam.
Wanandoa hao, Antony Ngaboli (46) na mkewe, Anna Amiri (39) ambapo mwanaume inaelezwa alikuwa...
Wananchi katika Kila taifa wanalipa kodi nyingi kwa njia mbalimbali, hata yule anaenunua kibanio cha nguo na kijiko kimoja cha mafuta ya kupikia amelipa kodi. Kila muuzaji wa kitu chochote ni wakala wa TRA, anakusanya Kodi kutoka kwa wananchi wote na kuzipeleka serikalini. Na Kuna watu wanalipa...
Eti wakuu, Jenga picha upo kijiweni saa 12 jioni baada ya kutoka kazini, mnapiga story mbili tatu, mara ghafla linatokea tukio la uhalifu, mtu mmoja anapigwa risasi barabarani/mtaani.
Ila baada ya kumtazama vizuri mnagundua kuwa huyo mtu anatiririka damu nyingi sana lakini hajafa. Sasa hapa...
Kila sehemu Jina lake linatajwa kama shujaa kwa uthubutu wake wa kuweza kukemea utekwaji hadharani.
Pia watu wanapongeza jinsi alivyoweza kuwatoroka Polisi pale Baraza la Maaskofu Kurasini na pale kanisani kwake Ubungo
Gwajima Mmoja ana mbinu zaidi ya askari buku. Gwajima hakika ni Master of...
Wanawake wa siku hizi bado mnaendelea kunishangaza sana aisee nashindwa kuwaelewa inakuaje kabisa mwanamke bila haya au hiyana unanisimamisha mimi na kunitongoza? Aisee kwanza nilibaki nimeduwaa sana aisee na nikabaki kinywa wazi kwa mshangao aisee
Wanawake wa siku hizi wanapataje ujasiri wa...
Hapa ni Jumba Namba Nne - Michenzani usawa wa geti na RahaLeo Studio kuna karo (chemba) kutoka katika nyumba za hapo zinatoa kinyesi na maji yake ambayo yanasambaa mtaani na wala Wananchi hawajali lolote.
Jambo hilo baya kwa afya linaweka hatarini afya za Wakazi wa hapo ikiwemo kuwa hatarini...
ASILI ni mafumbo.
Ikiwa wanakuonea sana nanguvu za kupigana nao huwezi.
Mwanao mtaani imekua yeye ndio kama mpira wa kuchezea!
Usijari solution yake ni! (KIKUNTI)
Wale watu wa kigoma wanaelewa vizuri sana hii nizaidi ya kupigana nawatu10 nawote waamue kukimbia sana baada ya kutambua kwamba...
Salaam,
Najua zamani, failure wa kidato Cha nne walikubaliwa kuingia upolisi na majeshi sababu ya uchache wa wasomi. Sasa mambo yamebadilika.
Yaani vigezo vya kuajiriwa upolisi kama, mbio, urefu, afya timamu viongezwe na kuweka kigezo Cha Elimu ya diploma au Degree Ili kupunguza tatizo la...
Listen up vijana! Msisoteseke bure mitaani mkijiona kama dunia imewageuka – it's time to wake up and boss up. I’m here to open your minds na siyo kwa dharau au kujifanya najua, but kwa sababu I feel your pain. Najua hali ya nchi ilivyo, najua pressure iko juu, but trust me, kuna njia ya kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.