mtaani

  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Alihukumiwa Miaka 30 jela kwa ubakaji miezi mitano iliyopita, leo tupo naye mtaani, hili limekaaje?

    Kuna Kijana mmoja tulimtuhumu kumbaka Mwanangu wa miaka minne tukapeleka malalamiko kwenye vyombo husika vya Kiserikali, Jamhuri ikafungua kesi ya ubakaji katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni. Tumeenda Mahakamani mimi na Mke wangu kwa zaidi ya Mwaka mmoja na nusu, ambapo tulikuwa tukiacha...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Bidhaa zilizo expire zipo Mtaani, imenitokea hii nikiwa Salasala Kwa Mtenga, Dar, najiuliza hata wakibaini wanazipeleka wapi?

    Mamlaka zinazohusika na ubora wa bidhaa nadhani mnajisahau sana, mitaani kuna bidhaa nyingi ambazo kama hazija-expire, basi hazina expire date kabisa au expire date yake haionekani vizuri. Hii ni hatari sana jamani, ni vile baadhi ya Watanzania tuna shida ya kutosoma ukomo wa bidhaa kwenye...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtaani kwetu ukiona Mwanamke anakubali kuwa 'Kijumbe' pale akiombwa na Wadau jua yafuatayo

    1. Wameshamuona hana la kufanya 2. Wameshamuona ni Mbivu 3. Wameshamuona ni mpenda Raha 4. Wameshamuona anaingilika Kiurahisi 5. Wameshamuona ni Mswahili Mswahili 6. Wameshamuona ni mbea mbea Fulani 7. Wameshamuona kuwa HANA AKILI kabisa Je, kwako Wewe huko Mtaani Mwanamke akiombwa kuwa Kijumbe...
  4. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Mlandizi atiwa mbaroni akidaiwa kubaka watoto yatima watano kwa nyakati tofauti

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Stephano Maswala, miaka 35 mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Mlandizi (jina linahifadhiwa) kwa kosa la kubaka watoto watano kwa nyakati tofauti kuanzia mwezi Oktoba 2024 mpaka Januari 2025 waishio kituoni hapo. Muhumiwa huyo alikuwa...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DAR: Bashungwa aingia mtaani kujionea Polisi ilivyoimarisha usalama mkutano wa nishati

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amepita baadhi ya maeno Jiji la Dar es Salaam kujionea namna Jeshi la Polisi na Vyombo vingine vya Usalama wanavyotekeleza majukumu yao wakati Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati ukiendelea katika Kituo cha Kimataifa cha...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nina Timu yangu Mtaani nataka kuichagulia Kauli Mbiu moja kati ya hizi Tatu zifuatazo....

    1. Gusa Achia urudi Bongo 2. Gusa Achia urejee NBC 3. Gusa Achia ule wa Chuya Nitajie moja tu ambayo itapendeza hasa.
  7. Solo Traveller

    JamiiForums Tanzania Unaweza kumshitaki mtu alikugongea mlango kwa Fujo ukiwa ndani?

    Kuna mtu anakusanya takataka Sasa Leo amekuja kwangu ananigongea mlango kwa Fujo sana je naweza kumshitaki?? Ikiwezekana anilipe?? Mana natumia kama fursa ya kupata hela je inawezekana???
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kuhusu suala la ajira alaumiwe Hayati Magufuli kurundika graduates mtaani na hapo hapo akajiita eti ni Rais wa wanyonge

    Angalia waliokuwa shortlisted kusailiwa ni zaidli ya 200,000 wakati wanaotakiwa no 14,00 tu. Nampa heko mama angalau anapunguza kuliko lile jibwa ambalo lilikuwa linawatesha vijana mtaani na kuwafanya machinga. Jk aliweka utaratibu mzuri wa kuajiri kila mwaka lakini lenyewe likaharibu...
  9. Magical power

    JamiiForums Tanzania MAISHA MTAANI NI MAGUMU

    Bro, Maisha mtaani ni magumu. Ukisikia ni magumu unaelewa, moja haikai mbili haisimami. Mbele hauendi, nyuma hakurudiki. Hauoni future.! Ni kama matumaini nayo yamekata tamaa. Unajaribu namna zote za kujikwamua ambazo zinatajwa na kijana wa karne ya 21 lakini wapi.... Unabeti mikeka inachanika...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Samia Mtaani Kwetu Kuwajengea Uwezo Madereva Bajaji Ili Wazitumie Fursa Zinazowahusu

    Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji UVCCM Taifa, Komredi Debora Joseph Tluway Tarehe 28/12/2024 alikutana na madereva bajaji walioko Wilaya ya Mpanda ili kutekeleza dhima ya Program ya "SAMIA MTAANI KWETU" yenye lengo la kukutana na makundi yote ndani ya jamii yetu kwaajili ya kujenga Umoja...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Haya ni makosa watu huyafanya na kuwagharimu kwenye ngumi za Mtaani (Street Fights)

    Pengine unaweza kujiona upo salama kwa kudhani ngumi za mtaani ni kwa wapiga debe, bodaboda, au watu wa tabaka fulani tu. Ukweli ni kwamba, mtu yeyote anaweza kujikuta kwenye hali hii, tulichotofautiana ni viwango tu, Unaweza ukawa unajenga nyumba yako mmepishana kauli na fundi kiasi cha...
  12. Knock life

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke Ukiona una 30s jaribu kutafuta wanaume mtaani kwenu

    30s umri huu Kwa mwanamke anabidi kufocus kutafuta mwanaume kwao huko Mtaani kwao. Sio anadanga huko Mtaani miaka yote na kutoa mimba then anakuja huku ambako afahamiki ili ajipatie dodo kwenye mnazi
  13. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Polisi anafanya kazi mbali na inapoishi familia yake. Askari Mgambo anatumwa kukamata watu wa mtaani kwake. Hii sio sawa hata kidogo....

    Good Morning my dear brothers and sisters out there. MGAMBO WANAOFANYA KAZI SAMBAMBA NA POLISI NJE YA MIJI MIKUBWA (DAR, MWANZA, ARUSHA, MBEYA) (1) Mgambo anakamata watu anaoishi nao mtaa mmoja. Polisi anakamata watu nje ya eneo analoishi yeye pamoja na familia yake. Hii ni nini kama sio...
  14. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli tambi za Santa Lucia zimebadilishwa jina?

    Tambi za Santa Lucia zimeadimika sana kitaa, nikajikuta nauliza kwa wadau wa dukani wakaniambia ni kama zimebadilishwa jina na sasa zinaitwa Olivoila. Yaani ni kama Tigo ilivyobadili jina na kuitwa Yas basi ndio hivyo hivyo kwa Santa Lucia. Je, kuna ukweli kwenye hili?
  15. F

    JamiiForums Tanzania Mtaani na kwenye social media CCM imesahaulika kabisa wiki hii kwenye tasnia ya siasa wakati habari za CHADEMA zikitawala.

    Kwa kweli ukiangalia Jamii Furums, WhattsApp, Instagram, n.k. kati ya post 10 za siasa, 9 ni kuhusu CHADEMA. Ni kama vile CCM imeondoka kabisa kwenye ulingo wa siasa wa Tanzania, na hili jambo linasemwa kuwa linonesha hali halisi ya nguvu za vyama hivi vya siasa hasa CHADEMA ambayo habari zake...
  16. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Ukiwa Huna Hela Kila Kitu Huwa Kinakuwa Kibaya.

    Mtu anapokuwa maskini au kukumbwa na changamoto za kifedha, mara nyingi akili yake huzongwa na mawazo ya matatizo yanayomzunguka, ambayo yanaweza kumfanya aone kila kitu kuwa kibaya. • Hii ni hali ya kisaikolojia inayotokana na msongo wa mawazo, kukata tamaa, au hata kujihisi kama hana thamani...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Kuna sababu ya kufupisha muda wa ajira serikalini ili kuto fursa za ajira kwa wimbi kubwa lililo mtaani?

    Kadri miaka inavyo zidi kwenda kunakuwa na ongezeko kubwa la wimbi la vijana wanao tafuta ajira. % kubwa wengi wanapata ajira wamesha choka miaka ya 35-40.... hapo ana ambuliatu Ela ya kustaafu Hoja ya msingi serikali ungekuja na mpango kupunguza muda wa kuajiriwa ikawa miaka 10, Kama ilivyo...
  18. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Raha ya ushindi wa Simba dhidi ya Bravos, mashabiki waingia mtaani usiku Pemba kusherekea

    Ushindi wa soka raha, hawa ni mashabiki wa Timu ya Simba, wakisheherekea ushindi wa timu yao dhidi ya Bravos do Maquis ya Angola, jana jioni (Novemba 27, 2024). Sherehe hizo zimefanyika katika Mitaa ya Machomanne, Wilaya ya Chake Chake, Pemba. Katika mchezo huo, goli pekee la Jean Charles...
  19. K

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Naweka kumbukumbu sawa: mtaani kwenye Kampeni za Upinzani wahudhuriaji walikuwa 15 tu

    Ikiwa imebaki siku moja kupiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za mitaa tarehe 27.11.2024 ,naweka kumbukumbu sawa Ili usiwepo upotoshaji wakati wa kutangaza washindi. Tukumbuke kuwa: Mtaani ninapoishi watu ni waelewa na wafuatiliaji wazuri wa siasa. Watu wanaamini siasa ni maisha...
  20. Madwari Madwari

    JamiiForums Tanzania Mwamba kaachiwa amerudi mtaani

    Mwamba karudi mitaani
Back
Top Bottom