mtaani

  1. D

    JamiiForums Tanzania Nchi imekuwa tamu sana. Mzunguko wa pesa mzuri mno na pesa iko mtaani tofauti na miaka mitano iliyopita. Hivi mama ulikuwa wapi?

    Tumeteseka sana miaka mitano iliyopita mtaani kulikuwa kugumu sana kiasi ambacho pona pona yetu ikawa ni kusaka ajira ambazo zilikuwa hazipo both private and public sectors. Watu kila siku walikuwa wanafunga biashara zao na automatically wafanyakazi wanaondolewa wote. Mfano uchumi super...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mmoja Iran aamua kuwakera Ma-Ayatollah kwa kutembea na nguo zilizopigwa marufuku mtaani

    Mwanamke mmoja wa Irana aliyejulikana kama Ahou Daryaei amezua gumzo Teheran nchini Iran baada ya kutokelezea mtaani akiwa na nguo za beach kupinga ukandamizaji unaofanywa na polisi wa maadili wa nchi hiyo kulazimisha wanawake wavae Hijabu.
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini Atheists wako mtandaoni tu ila mtaani hawaonekani kabisa?

    Huku mtandaoni kuna atheists na agnostics wengi sana ila mtaani katika harakati zangu zote na socialization sijawahi kukutana na atheist hata mmoja! Hii imekaaje? Je Atheists wanaogopa kunyanyapaliwa kama mashoga hivyo kuamua kuishi maisha ya kifichi na usiri mkubwa?
  4. Faana

    JamiiForums Tanzania Bandari College: Je ni sawa script za wanafunzi kutupwa zikawe vifungashio mtaani?

    Swali kwa nia njema tu, je kwanini script za wanafunzi zisirudishwe kwa wenyenazo ziwasaidie kujua makosa yao kwenye mitihani badala ya kuzi discard zinaishia kuwa vifungashio mtaani?
  5. G

    JamiiForums Tanzania Taasisi za kushughulika na bidhaa feki zinakula rushwa au haziwezi kazi? Kuna bidhaa feki nyingi Mtaani na expired zinauzwa kwa uhuru bila hofu

    Yani hakuna kash kash za kukamata wauzaji wa bidhaa feki, viwanda bubu vina operate kwa uhuru. Taasisi za kupambana na bidhaa feki ni kama hazipo, Je ni Rushwa ? Hawawezi kazi ?? Na kuna michezo mipya imeanza bidhaa zilizoharibika zinazotupwa dampo zinarudi mtaani, mchele ulio expire na...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kuhusu swala la ajira utaratibu ulibadilika awamu wa 5 Kulirundikwa watu mtaani sasa mama anahangaika kupunguza angalau hili wimbi la unemplyoment

    Jk alikuwa na utaratibu mzuri sana kila mwaka husika anaajiri walimu au madaktari wote waliohitimu huo mwaka kiasi ambacho kulikuwa kuna scarcity ya watu mtaani na ikapelekea private sector lazima watoe mishahara mikubwa ili kumconnvince mtu asiende serikalini. Sasa lilikuja likaharibu kila...
  7. excel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkuu, huyo mtoto wa mtu unayelala nae kimya kimya siku asipoamka hakuna mtu atakuelewa hapo mtaani

    Mi nakwambia ukweli kabisa Haya mapenzi haram unayofanya kila siku kwa kuwaleta watoto wa watu Geto kwako wanalala na wewe kisha alfajiri unawarejesha kwao... Ipo siku yako nakwambia! Mtoto wa watu akifia geto kwako, hakuna mtu atakuelewa hapo, we waone tu wanakuchekea na kukupa sifa... eti...
  8. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Graduate hawana ajira wako mtaani, ila wako Ok kwa sababu Simba na Yanga zinashinda mechi zao

    Ukiwafuatilia Graduate mtaani utaona kabisa walisharidhika sana na life na kikubwa kwao ni kuona Yanga na Simba zina perform well. Hawana time na kupambania feature yao. Hawana time na kuishinikiza Serikali iwapatie ajira wao kikubwa wanaibana Serikali ihakikishe Yanga na Simba zinafanya...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kampuni za mikopo mtaani zina mapungufu ya kibinadam sawa lakini pia na wateja wao (wakopaji) wengi wahuni tutazame kotekote

    Kampuni za wakopeshaji pesa zilizozagaa mtaani kwa lugha ya pesa chap chap! Baadhi zinafanya vizuri na baadhi zinafanya vibaya! Ifahamike mtandao wa biashara unapoajiri vijana wengi huhitaji weledi wa juu sana kuweza kuwakumbusha Hekima ya biashara! Nitoe mfano hai! Jeshi la polisi lina...
  10. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kasirwa ya Rombo wanazurura tu mtaani kwa sasa

    Hii ni Shule ya Msingi Kasirwa ipo Rombo, kwa sasa asilimia kubwa ya Wanafunzi wanashinda nje ya Madarasa, wanazurura tu nje kwa kuwa madarasa yao yapo kwenye maboresho. Hivi tunajiuliza uongozi wa Shule, Wilaya na Mkoa wa Kilimanjaro ulikuwa wapi muda wote hadi madarasa yanakuwa katika hali...
  11. JEJUTz

    JamiiForums Tanzania Siku nilipowashugulisha raia mtaani kwangu nilipokuwa mtoto

    Hii siku haitokaa niisahau abadan! Ilikuwa ni baada ya kushiba chakula changu cha mchana hapo home,huku nikifanya michezo ya hapa na pale. Ghafla nikakutana na kiberiti cha gesi nikakifuata na kukichukua. Ile zima washa zima washa ikanivutia nikaamua kwenda nacho mtaani. Kulikuwa na open...
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni ushauri upi muafaka kwa kijana huyu graduate wa umri wa miaka 40 mtaani?

    Maana yupo bado anaishi nyumbani kwa wazazi wake. Mwingine yupo tu amekomaa kuishi kwa shemeji yake mjini, wakati chuo kaishamaliza miaka kadhaa ilopita, hana kazi wala biashara, na kakomaa town kubanabana familia za watu. Na mambo yalivyobadilika hususani utovu wa kimaadili kama vile ulawiti...
  13. Magical power

    JamiiForums Tanzania Tupeni ufundi jameni Aya madude Yana tia aibu huku mtaani😂😂

    Tupeni ufundi jameni Aya madude Yana tia aibu huku mtaani😂😂
  14. U

    JamiiForums Tanzania MWONGOZO rasmi wa kiroho wa kufuata mnapokuta maiti ya mtu ameuawa mtaani kwenu na hamjui nani kamuua

    Wadau hamjamboni nyote? Huu ndiyo utaratibu wa kufuata inapotoea mtu ameuawa kwenye maeneo yenu na aliyemuua mtu huyo hajulikani Kumbukumbu la Torati 21:1- 9 1 Aonekanapo mtu ameuawa katika nchi akupayo Bwana, Mungu wako, kuimiliki, amelala kondeni, wala haijulikani ni nani aliyempiga; 2...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa Afya waingia mtaani kufanya jitihada za kudhibiti magonjwa ya kuhara Mkoani Simiyu

    Timu ya Wataalamu wa Afya ngazi ya Wizara, Mkoa, Wilaya na Shirika la Afya Duniani (WHO) imeingia mtaani na kufanya zoezi la upimaji sampuli za maji katika Visima, Mabwawa na Kaya pamoja na utoaji wa Elimu Wilayani Itilima Mkoani Simiyu. Taarifa ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu imesema Elimu...
  16. Julius Husseni

    JamiiForums Tanzania Huku mtaani kuuliza tu nachajiwa elfu mbili dah

    "kijana unatakiwa ufuate utaratibu wa mtaa wetu Kikubwa unaulizia ishu za michongo ya pesa lipia elfu mbili" (Nahisi jamaa alikua anapiga fegi) Nilikua nauliza kama naweza pata fremu mtaa fulani hivi, kiukweli bado hakuna madalali ni unaonana tu na mmiliki lakini jamaa hawakupi connection adi...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei kwa bidha mtaani unatisha, hasa vifaa vya ujenzi

    Baada ya kupita miji na majiji kadha hapa nchini kila nilipojaribu kununua vifaa vya ujenzi nimeshikwa na butwa kuona kalibu kila bidha bei imeongezeka kwa aslimia 30 hadi 50 kwa bei za awali. Baada ya kuuliza wafanyabiashara wawili watatu nimeambiwa hali hiyo wanajua serikali. Sasa niombe...
  18. Librarian 105

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la bidhaa chini ya viwango mtaani, TBS kunani?

    Nitaangazia upande wa chuma pekee: hardware nyingi sana huku Arusha zinauza nondo na bidhaa nyingi za chuma ambazo hazina ubora na kiwango. Pia hazina urefu wa futi 17-17.5 kama zamani. Hii hali imenipa mashaka makubwa juu ya matokeo ya baadae ya tasnia ya ufundi na ujenzi wa uhakika mitaani...
  19. ferucho lamborgini

    JamiiForums Tanzania Serikali inaachia pesa lini kwenye miradi yake? hali ni tete mtaani

    wakuu kwema? Hivi utaratibu wa mwaka mpya wa kiserikali ukoje, wanaachia pesa kwenye miradi yao mwezi gani? Mambo hayaendi kabisa mtaani, pesa hazionekani tutafilisika kwa namna hii
  20. W

    JamiiForums Tanzania Ngumi za mtaani mmepewa uwanja unaanza vipi kuongea maneno, kijana kaambulia aibu kwa kushushiwa kipigo kikali hadharani, usipende kuongea ikikutokea!

    Nimetoka zangu kazini nikaona niende kununua mahitaji kadhaa sokoni. Ghafla nikaona tunaambiwa na vijana jamani mpishe hii njia kidogo iwe wazi kwa muda, nilidhani labda kuna emergency nikasimama. Ghafla wakaingia vijana wawili kumbe ni ugomvi. Moja wao kavaa vizuri tu sikuweza kumdhania...
Back
Top Bottom