mtaani

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Shule ya Msingi Kishangazi (Tanga) ina Mwalimu mmoja, wengine wanashinda tu mtaani

    Mimi ni Mkazi wa Kijiji cha Kishangazi, Kata ya Shaghayu, Wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga. Shule yetu ya Msingi Kishangazi, hapa kijijini ina Mwalimu mmoja tu kuanzia chekechea hadi darasa la saba, hivyo tunaomba serikali iliangalie hili. Walimu wameajiriwa lakini hawataki kuingia shuleni...
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Life hacks: Maarifa mtaani bure, bunifu manufaa lundo

    Usiwe mvivu wa kufungua links za maarifa! Zitakusaidia mengi.. Achana na links za umbea na pilau Tumia bando lako kwa manufaa Kwa kila link nitakayoweka kuna vitu rahisi utajifunza na kuokoa pesa nyingi na muda TikTok - Make Your Day This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to...
  3. zaza1

    JamiiForums Tanzania “Wanaojitolea Wanapendelewa” — Huu Ni Mtazamo wa Akilini Mwake, Sio Uhalisia wa Mtaani

    Kauli ya Naibu Waziri Mhe. Regina Ndege Qwaray kwamba wanaojitolea wanapendelewa huku akisema kujitoa sio kigezo cha ajira, ni kauli inayokera na inayokosa uhalisia. Ukweli ni mmoja: hii ni tafsiri yake binafsi — akili yake — sio hali halisi inayowaumiza maelfu ya vijana. Kama kweli...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya chuo vs uhalisia mtaani

    JFs Members uzima upo? Nisiwachoshe niende Moja kwa Moja kwenye hoja. Safari ya chuo kuelekea mtaani inaanza tu pale graduation inapoisha Hii naongelea experience yangu Nilipongenzwa kwa bashasha kede kede kwenye graduation yangu na kupewa moyo nishatoboa kazi zipo tu Sasa baada ya miezi...
  5. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Tongoza wanawake mtaani

    Achana na wa mtandaoni, simu za sasa zna camera za kisas zinamscrab mtu anakua pisikali Tafuta wa mtaani ni salama kwa afya yako ya mwil na akiliiiii
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kinyozi darasa la 7 anaingiza 30-70k kila siku, tuache kukazania watoto kusoma tu, tuwape na ujuzi wakihitimu degree na wakikosa ajira wawe na PLAN B

    Elimu ni wajibu, si urithi. kumsomesha mtoto hadi ngazi ya shahada ni haki yake ya msingi. Hata hivyo, hilo pekee halitoshi. Ni muhimu pia kumpa nafasi ya kujifunza ujuzi wa ziada, ujuzi wa vitendo na ubunifu utakaomsaidia kujitegemea pale ambapo hana uhakika wa ajira rasmi alizosomea. Kwa...
  7. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kua ushajenga tayari unakaa kwako halafu mtaani una chumba umepanga unalipia kodi?

    Nataka nifanye hii kitu, nina mambo binafsi nataka chumba mtaani niweke dogodogo huko niwe napita kama nyumba ndogo siku mojamoja (NINA SABABU ZANGU ZA MSINGI NISINGEPENDA KUZIWEKA WAZI). Hapa nataka tuu mtu ambae ashawahi kufanya hivi anipe experience yake.
  8. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Usanii wa Serikali na mauti ya Wasomi: Masters yangu imekuwa kitambaa cha deki mtaani

    Manze, inabidi tuchane ukweli mchungu bila kuficha makucha, kwa sababu hii hali is getting out of hand na ni some real-life fuckery. Nimepiga kitabu mpaka nimevuta Masters yangu fresh, nikazama mtaani nikijua nina lock kila kitu, lakini kumbe nimeingizwa mjini na huu mfumo wa kishamba. Hii...
  9. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Mtaani Festival

    Habari Tanzania ! Nawaomba basi wenye mamlaka mturuhusu Vijana na hata wazee waweze kuwa na Party/ Sherehe ya Mtaa yaani wana mitaa tunakusanyika tunapiga cha Pilau safi na kupiga mastori ya hapa na pale ila hii Sherehe iwe ya kitaifa tufanye siku moja kila mtaa. Haya maisha ni kusheherekea...
  10. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Gari la BYD mtaani…

    Kuna BYD Atto 3 (aka BYD Yuan Plus) inaonekana “Dodoma”. Hii full Ev kutoka China ina full range ya 420 hadi 480 km ikiwa full charge. Sawa Wachina.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Polisi ni wengi mtaani lakini leo ni lazima lengo litimie

    Kila baada ya nusu saa gari za polisi zinapita .GEN Z leo hatuna mengi tumewapa muda wa kutosha . Karibuni
  12. JITU BANDIA

    JamiiForums Tanzania Kaa kimasta! Hasira imetamalaki mtaani kwa walioikosa ile fursa!

    Wahenga walisema, vita vya panzi, ni furaha kwa kunguru, ama vita vya kuku ni furaha kwa mwewe alie karibu! Hii ni misemo ya wahenga, Sote tunakumbuka yaliyotokea October 29 hadi dec 2...ile lockdown ya siku takribani 3-4 hivi ilivyogeuzwa fursa! Wagagagigikoko waliigeuza ile kuwa Fursa...
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Waziri wa maji baada kutatua maji yanapotoka unaenda kutembea kuangalia mtaani

    Hii nchi itakuwa na channel ya maajabu huko mbinguni.
  14. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Magari ya matangazo yasambazwa mtaani kutoa taarifa kwamba watu wasiandamane. Hii imekaaje? Ni uoga au paranoia?

    Polisi ahsante sana kwa kuendelea kutangaza maandamano haya, mnafanya kazi nzuri mnatangaza nchi nzima, nyie jifanyeni kama mnasema hayatakuwepo kumbe ndio mnayatangaza kwa kasi ya ajabu.
  15. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Polisi acheni ujinga Leo mmepita hapa mtaani mnapiga risasi hovyo watu mmechanganyikiwa?

    Wazee huku Arusha polisi wametukuta tunapiga stori wakapiga risasi hovyo wamepiga risasi jamaa yetu mda huu hivi Hawa watu wamechanganyikiwa Au watu wasipige stori tumewafurumusha na mawe endeleeni kuchokoza vijana waliotulia soon mtakipata Cha mtema Kuni itakua sio mawe tena mnatia hasira...
  16. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Energy drink nyingi za Metl huku mtaani zimeexpire halafu wanaandika expired date kihuni kuhalalisha ujinga wao

    Za mchana Hii kampuni kama inaongozwa na mataahira yani expired date kwenye bidhaa yao ya Mo energy huwezi isoma hata utumie darubini au microscope ya umeme. Huu uhuni wanafanya kwa ajiri ya kumkomoa nani? TBS mpo wapi mpaka watu wafe au wapate madhara kwa wakati mmoja ndo mtawachukulia sheria...
  17. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania Mwelekeo Hatari wa Tanzania: Pale Upendeleo wa Ukoo Unapogeuka Njia ya Kuteka Nchi Sauti Inayotoka Mtaani. (NEPOTISM)

    Kuna mambo ambayo taifa linaweza kuyavumilia. Lakini kuna mengine ambayo yakianza, hata ukimya unakuwa dhambi. Na moja ya mambo hayo ni pale nchi inaanza kugeuzwa mradi wa kifamilia. Hapo ndipo wananchi, wadogo kwa wakubwa, wanaanza kujiuliza: "Hivi taifa linaelekea wapi? Na linaongozwa na nani...
  18. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Hawa First year mnaowapokea Kwa utaratibu maalumu wametokea mtaani huko.

    Vyuo vyote Kwa sasa wameandaliwa watu maalumu Kwa ajili ya kuwaookea wanafunzi wanaojiunga mwaka wa kwanza,katika kupokelewa kwao wanaambiwa wasifuate mkumbo,wasiandamane,haya kama hawana ada wanamsajiri WA TU, diabolical. Polisi wanapewa muda wa kuongea na wanagunzi wakiwaChimba mkwara VIjana...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Kunatokota sana huku mtaani

    JF Sijui kuhusu mitaa yenu, ila mitaa mingi nliyopita kunatokota sana. Watu wana machungu na hasira sana. Kama wanadhani watu wameanza kusahau, wajue ardhi bado ni ya moto sana. Haki huinua taifa.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Waliokuwa wanaua watu mtaani ni Wanajeshi wa Uganda au Janjaweed wa Zanzibar ?

    Miaka ya nyuma kwenye Uchaguzi kule Zanzibar kulikuwa na kikundi kinaitwa Janjaweed ambacho kilikuwa kinafanya haya haya yaliyofanyika Dar kwenye maandamano. Nafikiri waliamua kutumia style za Zanzibar kushughulika na waandamanaji. Walichosahau ni kuwa population ya Zanzibar ni ndogo kuliko...
Back
Top Bottom