mtaani

  1. kyagata

    JamiiForums Tanzania Mtaani kwako unafahamika kwa jina gani?

    Mimi mtaani kwangu jina langu maarufu ni Big,wengine wanapenda kuniita Natorius. Wewe je?
  2. Bueno

    JamiiForums Tanzania Wastaafu huku mtaani wanalalamika mpaka leo ni Bilabila. Nini Kimetokea?

    Kwa wanaoelewa nini kimetokea maana Wastaafu mpaka leo 26.07.2025 kila wakichungulia vibubu vyao hawaoni kitu wakati kuanzia tarehe 20 vibubu vinakua tayari vimeshajaa. Nini kimetokea huko Hazina?
  3. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma leo naona ni vicheko tu huku mtaani, kuna siri gani?

    Naombeni mnijuze, mimi ni bodaboda hapa kazuramimba. Mji leo umechangamka, NMB pamefurika, baa zimechangamka. Leo ukipaki kijiweni dakika mbili tu mteja huyu hapa!! Leo kuna siri gani huko?
  4. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Kuna dogo kashinda Millioni 58 kwa kubeti. Mnashauri nini?

    Kuna dogo huku mtaani kampiga meridian bet milion 58 halafu dogo tu miaka 29 Nimejionea kwa macho yangu betting inalipa. Hapa anatuomba ushauri ma broo wake asijui tumpe ushauri gani Wanajukwaa najua vichwa vyenu vina IQ huyu dogo awekeze kwenye nini hii pesa kabla hajaanza starehe maana...
  5. Diwani

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CCM msijilize. Hamna gharama mnazolipa huku mtaani

    Hivi karibuni kuna vijana (kwa akili zao timamu) wameaumua kuunga mkono Chama cha Mapinduzi. Wakiwa wanaonyesha support kwa Serikali na chama kwenye mitandao ya kijamii, wamepokea kejeri, matusi na lawama kwa vijana wengi sana; sasa jambo hili limewafanya wahisi vijana wao wanaona wajinga...
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna namna fulani hivi nyakati hizi za kisasa u-kidume umekuwa bedazzled hata dogo uliemuona leo mtaani kesho unamuona ananyanyua vidole mitandaoni.

    Acha kuvaa vipensi vifupi vinavyobana mapaja na makalio. Acha kuwa motivated sana mambo ya kwenye tv. Hakikisha kufuatilia majarida na story books anazosoma mtoto wako mdogo. Mwanaume akimbilii kukaa na wadada kwenye hadhara. Mwanaume hapendi vya bure bure na offer za kila mara
  7. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Polepole kwa lugha yetu huku mtaani

    Uchambuzi wa hotuba ya mheshimiwa Polepole kwa lugha inayoweza kueleweka huku uswahilini kirahisi. Kwa ufupi, Polepole amelalamika kuwa utaratibu wa familia wa kula pilau pamoja kwenye sinia moja kwa ustaarabu na maadili umeharibiwa; ameshutumu utaratibu wa zamu na ratiba za wapishi kupuuzwa na...
  8. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mtaani na biashara ya sokoni ipi ni bora ?

    Hivi kufanya biashara mtaani na sokoni au sehemu ya senta yenye vibanda vingi ipi ndio sehemu nzuri zaidi? ?!!
  9. Knock life

    JamiiForums Tanzania GE2025 Pole sana Mrisho Gambo, nadhani umeona mwenyewe unachopanda ndicho utakachovuna. Karibu mtaani

    Gambo umejionea mwenyewe . Lema yupo na Access ya Canada Familia yake inaishi na watoto wanasoma ulaya . Ulimfanyia Figisu Akakosa ubunge Ukaharibu reputation yake But now it is ur time to reap ur karmic debt . Pole Sana , What you sow you shall reap. Hii ndo universe utamfanyia MTU ubaya...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Tupeni utofauti wa Toyota Rush na Terios kid

    Leo nimeitwa mama na wananchi wa JamiiForus Wale maEXPERT wa magari ebu tupeni utofauti wa Toyota Rush na Terios kid
  11. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Ukipata jitu kama hili yani unapotea mtaani unakuwa mtu wa kutafutwa kama umepotea.🤤

    Acheni wakuu , penzi la tipwa tipwa ni bbnkubwa
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Madereva wa mtandaoni wafanya maandamano kuitangaza huduma mpya ya Posta iitwayo SWIFPACK

    📍DSM📍 🗓️26 Juni, 2025 📌MATUKIO KATIKA VIDEO YA MADEREVA WA SWIFPACK WAKIKIWASHA MTAANI. #swifpack Smoothride and Delivery
  13. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vyuma ( Baiskeli) vya Rais Samia zikiwa mtaani Wapiga kura wanafurahia, ni mwendo wa Mitano tena

    Wakuu, Hapo vipi kwa wananchi, mnadhani hawatoi mitano tena kwa Mama? hali ndo hii sasa uko mtaani
  14. W

    JamiiForums Tanzania USB cable zipi za kuchajia simu ni nzuri kwenye maduka ya mtaani ?

    nahitaji kwenda kununua usb type c cable ya kuchaji simu, naombeni ushauri wenu
  15. Barakoa 001

    JamiiForums Tanzania Kwenda VETA ni jau, lakini DEGREES ARE USELESS.

    Degree imekua nyepesi sana kuipata aseee!!! Toka lini kitu kinachopatikana kirahisi kiwe na thamani? Ushauri: Kabla ya kupoteza muda wako kwenda kusoma degree hebu jitafakari kwanza. Game imechenji, chawa wanapata kuliko wenye degree zao(sihamasishi uchawa) Tazama hiyo video hapo chini...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Pesa zimeenda wapi mtaani au wengi hatujui kuzitega

    Pesa ni sabuni ya roho , nazani bada ya MUNGU, familia pesa zinafuata, kwa akili zangu na experience yangu mtaani hali ya maisha mtaani ni ngumu sana no money here, nimekumbuka miaka ya 2010 -2015 ukiwa na Dili ya pesa nyingi unawapigia wanao wawili wakuwekee fedha unafanya Dili unawarudishia...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Hakuna Shamra shamra za uchaguzi mwaka huu hapa mtaani kama miaka mingine kulikoni

    Wakuu nimeshuhudia miaka mingi ya uchaguzi miezi kama hìi kunakuwa na shamra shamra za uchaguzi! Mwaka huu kulikoni au kwa sababu mshindi alishapatikana???
  18. A

    JamiiForums Tanzania Wanandoa waliouawa kwa kuchinjwa waagwa kwenye makazi yao Bonyokwa, difenda ikikatiza mtaani

    Leo Juni 17, 2025 miili ya wale wanandoa ambao inadaiwa walikutwa wamechinjwa chumbani kwao Juni 12, 2025, inaagwa muda huu katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bonyokwa, Ilala Dar es Salaam. Wanandoa hao, Antony Ngaboli (46) na mkewe, Anna Amiri (39) ambapo mwanaume inaelezwa alikuwa...
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wananchi jifunzeni kuishi na serikali yenu kwa akili, usisifu umeme ambao haupatikani mtaani kwenu,

    Wananchi katika Kila taifa wanalipa kodi nyingi kwa njia mbalimbali, hata yule anaenunua kibanio cha nguo na kijiko kimoja cha mafuta ya kupikia amelipa kodi. Kila muuzaji wa kitu chochote ni wakala wa TRA, anakusanya Kodi kutoka kwa wananchi wote na kuzipeleka serikalini. Na Kuna watu wanalipa...
  20. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Nani ana akili kuliko mwenzake? Huyu anayeiunga mkono ccm yenye nguvu madarakani au yule anayeishabikia Chadema yenye nguvu mtaani.

    Dj tupe mziki mzuri kutoka Studio...
Back
Top Bottom