mtaani

  1. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Magari ya matangazo yasambazwa mtaani kutoa taarifa kwamba watu wasiandamane. Hii imekaaje? Ni uoga au paranoia?

    Polisi ahsante sana kwa kuendelea kutangaza maandamano haya, mnafanya kazi nzuri mnatangaza nchi nzima, nyie jifanyeni kama mnasema hayatakuwepo kumbe ndio mnayatangaza kwa kasi ya ajabu.
  2. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Polisi acheni ujinga Leo mmepita hapa mtaani mnapiga risasi hovyo watu mmechanganyikiwa?

    Wazee huku Arusha polisi wametukuta tunapiga stori wakapiga risasi hovyo wamepiga risasi jamaa yetu mda huu hivi Hawa watu wamechanganyikiwa Au watu wasipige stori tumewafurumusha na mawe endeleeni kuchokoza vijana waliotulia soon mtakipata Cha mtema Kuni itakua sio mawe tena mnatia hasira...
  3. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Energy drink nyingi za Metl huku mtaani zimeexpire halafu wanaandika expired date kihuni kuhalalisha ujinga wao

    Za mchana Hii kampuni kama inaongozwa na mataahira yani expired date kwenye bidhaa yao ya Mo energy huwezi isoma hata utumie darubini au microscope ya umeme. Huu uhuni wanafanya kwa ajiri ya kumkomoa nani? TBS mpo wapi mpaka watu wafe au wapate madhara kwa wakati mmoja ndo mtawachukulia sheria...
  4. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania Mwelekeo Hatari wa Tanzania: Pale Upendeleo wa Ukoo Unapogeuka Njia ya Kuteka Nchi Sauti Inayotoka Mtaani. (NEPOTISM)

    Kuna mambo ambayo taifa linaweza kuyavumilia. Lakini kuna mengine ambayo yakianza, hata ukimya unakuwa dhambi. Na moja ya mambo hayo ni pale nchi inaanza kugeuzwa mradi wa kifamilia. Hapo ndipo wananchi, wadogo kwa wakubwa, wanaanza kujiuliza: "Hivi taifa linaelekea wapi? Na linaongozwa na nani...
  5. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Hawa First year mnaowapokea Kwa utaratibu maalumu wametokea mtaani huko.

    Vyuo vyote Kwa sasa wameandaliwa watu maalumu Kwa ajili ya kuwaookea wanafunzi wanaojiunga mwaka wa kwanza,katika kupokelewa kwao wanaambiwa wasifuate mkumbo,wasiandamane,haya kama hawana ada wanamsajiri WA TU, diabolical. Polisi wanapewa muda wa kuongea na wanagunzi wakiwaChimba mkwara VIjana...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kunatokota sana huku mtaani

    JF Sijui kuhusu mitaa yenu, ila mitaa mingi nliyopita kunatokota sana. Watu wana machungu na hasira sana. Kama wanadhani watu wameanza kusahau, wajue ardhi bado ni ya moto sana. Haki huinua taifa.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Waliokuwa wanaua watu mtaani ni Wanajeshi wa Uganda au Janjaweed wa Zanzibar ?

    Miaka ya nyuma kwenye Uchaguzi kule Zanzibar kulikuwa na kikundi kinaitwa Janjaweed ambacho kilikuwa kinafanya haya haya yaliyofanyika Dar kwenye maandamano. Nafikiri waliamua kutumia style za Zanzibar kushughulika na waandamanaji. Walichosahau ni kuwa population ya Zanzibar ni ndogo kuliko...
  8. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchungaji: Kuna Mwanamke kashinda uchaguzi 98%, kwa hiyo 2% ndio wanaondamana mtaani?

    Tanzania tumekuwa kituko kwakweli, huu ni zaidi ya udikteta. Samia anafanya Mataifa kuishangaa hii nchi, tuweke masuala ya Jinsia pembeni tujadili kwa fikra na matendo ya binadamu anayesimama kwenye majukwaa na kuongelea utu kisha kuua watu kiunyama Ameshinda uchaguzi kwa asilimia 98, hakuna...
  9. PAYE

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanaokota Risasi huko mtaani zilizochukua uhai wa mamia ya Watanzania

    Wananchi wanaokota Risasi huko mtaani zilizochukua uhai wa mamia ya Watanzania
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Sio wajibu wa jeshi kushughulika na vitendo vya kihalifu mtaani, hiyo ni kazi ya polisi.

    Wenye wajibu wa kukemea na kupambana na vitendo vya kihalifu ni polisi na sio jeshi la wananchi. Kazi ya jeshi ni kulinda mipaka ya nchi, katiba na uhuru wa nchi. Vitendo vya kihalifu mitaani havihusiani na usalama wa mipaka ya nchi, katiba na uhuru. Wanaofanya uchaguzi haramu unaopelekea hadi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Orodha ya watoa Taarifa ya CCM na wakusanyaji majina ya Watu mtaani kwako

    Ndugu Mtanzania siku ya leo tutaoa Taarifa za watu waliopita mitaani kufuatilia watu wa CCM na wasio wa CCM kwa ajili ya CCM katika kundi hili baadhi yao wako Tayari kuuona CCM inakuwa madarakani hata kwa Damu yako. Leo hii kwenye uzi huu katika muda fulani, tutaweka majina hili uwakumbushe...
  12. Trainee

    JamiiForums Tanzania Wengine kila siku humu mnajidai kuponda uchaguzi na kuupinga lakini mtaani mmejazana kwenye harakati za kupambania 'kazi za muda'

    Timu maandamano bwana Yaani kimtu kinakomaa mishipa kupondea uchaguzi na kuupinga lakini kwenye foleni ya kuhangaikia kazi za muda za usimamizi na ukarani wa uchaguzi unakakuta tena kapo mstari wa mbele
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la ajali Kemondo - Bukoba lawaingiza Mtaani Bwanku na Jeshi la Polisi kutoa elimu

    Ndani ya kipindi kisichozidi miezi miwili Kata ya Kemondo imeshuhudia ajali 3 za barabarani zilizoua watu watatu, kufuatia matukio haya ya ajali Afisa Tarafa ya Katerero iliyopo Bukoba mkoani Kagera Ndugu Bwanku M Bwanku, Ijumaa Oktoba 3, 2025 ameongozana na Polisi Kata wa Kemondo Afande Huruma...
  14. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Stori Tata Ya Mtaani

    Kuna nyumba moja ya kupanga bwana; kuna hao wakaka wawili wenye umri takribani 25 mpaka 30; ni mapacha wa kufanana kabisa yaani(Identical Twins) na wanafanana kila kitu. Sasa hao wakaka wameanza kuwatatiza watu wakiwemo wapangaji wenzao hadi mwenye nyumba; kwani wana tabia ya kufanya kila...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Hali ni mbaya sana mtaani, siku hizi wadada wengi wa miaka 19-22 tayari ni single mothers

    Habarini, Unakutana na mdada unampenda, mnakua kwenye talking stage labda kwa miezi kadhaa, mnaongea vizuri tu mna click, unapenda tabia yake na muonekano wake, unaanza kusema huyu Mungu akipenda tutaishi kama wapendwa, unaanza ku-imagine future nae. Baada ya muda uhalisia unakupiga na kitu...
  16. Stability

    JamiiForums Tanzania Bora nikusanye mbwa na paka wa mtaani niwalee kuliko kusomesha mdada eti kisa mapenzi na ahadi ya kuoana

  17. ngara23

    JamiiForums Tanzania BoT tupeni majibu sarafu ya Tsh 100 imetoweka mtaani

    Kutoweka Kwa sarafu ya sh 100 kama ilivyo ya sh 50 hii ni hatari kiuchumi Hizi sarafu mnazitoa kwenye mzunguko makusudi ili iweje Kenya Kwa sarafu ya KSH 20 unanunua mkate wa familia vocha n.k ila huku tushasahau BOT tupeni majibu Tsh 50, 100, 200 hazionekano kwenye mzunguko
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mbuzi wa mtaani

    Hawa mbuzi wa Dar tunaoshinda nao Bar na kugombea nao madem wananifikirisha sana,hivi nani aliwahi kumchinja mmoja akakakutana na mauza uza?? Maana kila mtu anasema ni mbuzi mara dawa mara wa albadiri eti ukila lina kukuta jambo,nani aliwahi kukutwa na jambo au mtu wake wa karibu kwa kujaribu...
  19. Mboju

    JamiiForums Tanzania Maisha yamekuwa magumu mtaani

    Wazee kila tunachofanya hakiendi mzunguko wa pesa ni mdogo saizi imefikia wakati kula milo miwili ni shida inabidi mchana mpige pas ndefu ili mle usiku Watoto shule ni taabu tupu kila siku nauli sijui hela ya chakula huku mwenye nyumba anadai kodi kwakweli ni taabu tupu Wazee mwenye mchongo...
  20. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Masikini iwe marufuku kuzaa ili tupunguze omba omba na watoto wa mtaani ''Mtaa hauzai''

    Una kuta mtu hana hata nyumba lakini tayari ana watoto zaidi ya watano na kila mtoto ana mama yake. Ukimfuatilia huyo mtu hana kazi, kula yake tu matatni. Ifike mahali serikali iweke zuio kwa hawa watu, tutapunguza idadi ya watoto wa mtaani ''Mtaa hauzaii''
Back
Top Bottom