mtaani

  1. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe maneno ya zamani ya Kiswahili cha mtaani ambayo yamepotea hayatumiki tena

    Lugha yoyote hunakshiwa kwa maneno ya kudumu na yale ya muda mfupi. Lugha ya Kiswahili imekuwa na bahati ya kupata maneno mengi ya misimu na baada ya muda hutokomea kusiko julikana. Kupitia uzi huu tukumbushane maneno mbalimbali ambayo yanapotea kwa kasi hivi sasa. Kula jiwe- kukaa kimya...
  2. JamiiForums Tanzania GPA ya 5 - Anazurura mtaani; we are not serious!

    Kwa mtazamo wangu tumechelewa kuwatumia wanafunzi wenye ufaulu wa juu (outstanding) kulisaidia taifa. Hivi inakuwaje mwanafunzi kidato cha sita ana point tatu, Chuo kikuu amepata GPA ya 4.8 au kwa wenzetu wa Arts wanapata hadi GPA 5 naye yupo mtaani hana ajira? Labda niunganishe na wale...
  3. JamiiForums Tanzania Zlatan Ibrahimovic ajiachia mtaani na Ferrari yake ya Sh BILIONI 1.2

    Zlatan Ibrahimovic ameonekana mitaa ya Jiji la Milan akiwa kwenye gari lake aina ya Ferrari SF90 Stradale, ambalo thamani yake inatajwa kuwa ni £400,000. Kiwango hicho cha fedha kwa thamani ya fedha za Tanzania ni zaidi ya Sh bilioni 1.2. Staa huyo wa AC Milan alijinunulia gari hilo kama...
  4. JamiiForums Tanzania Embu tujikumbushe kiswahili cha mtaani cha zamani

    Wazee, embu let's reminisce good old days Kishtobe, gangwe, kulakabonyau, arosto, unenge, ubweche....
  5. JamiiForums Tanzania Maoni: Kutokana na ongezeku kubwa la walimu walioko mtaani, napendependekeze udahili wa idadi ya walimu wanaojiunga kusomea ualimu upunguzwe.

    Habari za wakati wakuu. Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa. Nikienda kwenye mada. Ni maoni yangu kwamba kutokana na ongezeko kubwa la walimu mtaani. Naona iko haja kwa serikali na taasisi za elimu ya juu kupunguza idadi ya wanaodahiliwa kwenda kusomea ualimu. Kwamba idadi ipunguzwe, mfano...
  6. JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Kuna Div 1 ya Darasani vs Div 1 ya Mtaani (akili halisi)

    UCHAMBUZI: KUNA DIV 1 YA DARASANI Vs DIV 1 YA MTAANI (AKILI HALISI). Anaandika Robert Heriel. Matokeo yametoka, nawapongeza waliofaulu vizuri, lakini pia Kwa waliofeli nawapa moyo kuwa wasikate tamaa kwani mtanange bado haujaisha, ndio Kwanza vita ndio imeanza. Kwa tuliomaliza nyuma kidogo...
  7. JamiiForums Tanzania Kusema ukweli mtaani hali ni mbaya, cha kushangaza viongozi hawajali kabisa

    Hali ni mbaya hali ni mbaya kupita maelezo, mitaani hali inazidi kuwa tete vitu havishikiki bei nashangaa imekuaje kumekua na mfumuko wa bei za bidhaa wa ghafla namna hii? yani vitu vimepanda bei kwanzia dawa ya mswaki mpaka vifaa vya kielekroniki na vifaa vya ujenzi, mfumuko wa bei huu...
  8. JamiiForums Tanzania Nawezaje kumtoa pusha wa mtaani bila kutumia Polisi, sitaki dhambi ya kumfanya mtu atoke jela akiwa mzee

    Mtaani kwangu kuna kijana yupo hapa kwa miezi miwili, yupo kwenye rika la miaka 24 hivi, ana frem anauza mahitaji ya nyumbani na vilevi, lakini biashara yake kuu yenye wateja wengi ni Bangi ambayo wanunuzi huvuta hapo hapo ama maeneo ya karibu, eneo sio la barabarani, huwa kuna watu wachche...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Soda za Coca Cola zimeadimika mtaani pia maziwa fresh ya packet

    Hizo bidhaa hazipatikani ama kama zipo ni kwa uchache sana. Kunani? Sambamba na hilo, vitu vimepanda saaaana bei , wachumi mnasemaje?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kwanin watu wanaoitwa jina la utani BIG huwa wanaheshimika sana mtaani?

    Kuna hawa watu ambao wanaitwa jina la utani "BIG" huwa kuna kaheshima fulani wanakuwa nako kwenye jamii. Mfano nimepita mitaa fulani ya survey hapo karibu na Mlimani City, kuna jamaa fulani wanamuita BIG machapati. inasemekana huyu jamaa ndiye bingwa wa kutengeneza chapati tamu jiji zima la Dar...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali acheni kujifanya hamtuoni wahitimu, tupeni ajira, hali ni mbaya mtaani

    hizi siasa za kutuaminisha eti mnakopa ma trioni kwa ajili ya miradi ya maendeleo na kujifanya hamuoni hali zetu sisi tuliozingatia kitabu kama mlivyotuagiza ni uzandiki mtupu. Leo hii tunaonekana kama mizigo kwa wazazi na ndugu nyie mko bize kulumbana kisa uchu wa madaraka, tunakoelekea...
  12. JamiiForums Tanzania Mlio-overspend jana, karibuni tena mtaani

    Kwa wote mlio-kula bata mpaka mkamaliza akiba yote, vipi mnaendeleaje. Hizi sikukuu zipogo na zitaendelea kuwepo zisikufanye uwehuke.
  13. JamiiForums Tanzania Daudi akiwa ana play low key mtaani

  14. JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei kila kitu bei juu, mahindi, mchele na mafuta havishikiki mtaani

    Habari mbaya sana Mtaani kila Kona Rais anasemwa vibaya na mambo yanaenda Kombo, Bei ya Vyakula kama Mahindi na Mchele vimepanda maradufu Ndani ya Awamu ya Samia. Mafuta ya Kula Bei imeongezeka karibia nusu, Diesel imepanda na kusababisha Nauli kuongezeka Vijijini, Nguo na vitu vya kawaida...
  15. JamiiForums Tanzania Koffi hatunaye mtaani

    Wadau wa mandombolo na rhumba. Mzee wa tukunyema ,wa zamani amelaMbwa kichwa miaka 18 huko France. Kesi ya yule dancer mahiri wa zamani sijui ilikuwaje wakatofautiana ndio aliemshtaki.. Miaka miwili Mopao akagoma kutia mguu France.. Wakampa go on akajisahau km wale mabeberu tu wanamlia timming...
  16. JamiiForums Tanzania Story za mtaani kuhusu umafia wa madalali

    Mtaani hakunaga watu wanaheshimika Na kuogopeka kama madalali. Madalali wengi wa mjini Daslamu inasemekana wanakuwaga wanashirikiana Na mtandao wa majambazi katika Ku enforce maagano/ mapatano wanayo ingia Na watu wanao wasaidia kuuza property zao. Kanuni Moja ya mtaani kuhusu madalali ambayo...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa wanachoaminishwa raia huku mtaani ni zaidi ya kansa kwa CCM yetu

    "Magufuli kafa kwa hiyo hali imerejea kama kawaida.Kwani maji mnayaona tena?" "Magufuli kafa umeme mmeona haupo tena.Kwani Kipindi cha Magufuli umeme ulikuwa unakatika hivi?" "Magufuli kafa wazurulaji wameanza tena.Kwani mliwahi kumuona Magufuli akizurula kama huyu?" CCM tujitafakri sana...
  18. JamiiForums Tanzania Asante serikali kwa kuwapanga wamachinga, lakini je umejipanga kukabiliana na uhalifu mpya mtaani?

    Kwanza nampongeza serikali kwa uamuzi iliofanya wa kuweka miji safi na kuona mbele. Ni jambo jema sana ila kwenye kuondoa vibanda pia nimeona hakuna fair kabisa. Baada ya mpango huo je wale watakaorudi mtaani serikali itachukua hatua gani kama uhalifu ukiongezeka? Je imejipanga kukabiliana...
  19. JamiiForums Tanzania Wazoefu wa mambo ya kuchezesha games, mtaani naomba msaada

    Nafikilia kufungua pes game ya mtaani, vitu gani niandae kwa jili ya kuanzia sina mtaji mkubwa, naomba mwenye uzoefu anishauri nitumie nini hasa au pc za ukubwa upi ili niwe na mwanzo wenye uangalau, na PC izo nataka nitafute mtaani, sio shop, coz Huku kwetu wanapenda PES so FIFA
  20. JamiiForums Tanzania Je, huko waliko vyuma vimekaza au vimelegea?

    Habari, Sekeseke la kuwabana wakwepa kodi kwa kutumia task force na kufunga biashara zao lilizua mjadala kila kona kwamba hilo zoezi linawasababishia hao wakwepa kodi ugumu wa maisha na vyuma kukaza hivyo TRA wakaamuliwa kuachana nalo. Sasa TRA wanakusanya kodi kwa kuwabembeleza wakwepa kodi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…