Ukionewa ni sahihi kushika bunduki na kuingia mtaani kuua watu?

Guantanamoh

JF-Expert Member
Jul 18, 2020
1,983
4,170
Niki refer na tukio la juzi la Hamza Bado hili swala haliniingii akilini. Wapo watu wanaomtetea Hamza kwa kusema alionewa. 1. What justifies murder kwa kuwa ulionewa? Haya according to the rumors kaonewa na askari wawili. Who will pay for the blood of the other two ambao hawakuhusika. Wengi mna rely kwenye hearsay tu kwamba alidhulumiwa dhahabu sijui nini. Sasa alisema saa ngapi kwamba alidhulumiwa? It means kuna mtu alimwambia either ndugu au rafiki kuwa amedhulumiwa na lazima adhma yake aliionesha wakati anasimulia. Ina maana kati ya hao ndugu au marafiki wapo waliojua tukio ambalo angeenda kulitenda. Kwa sisi ambao tunasikiliza story za mashuhuda wa siku hiyo hakuna mahala alipotaja madini wala kudhulumiwa. Something is not right. Tusi justify mauaji na sababu za kijinga. The kid amekosea apumzike panapo stahili. Done.

NOTHING JUSTIFIES MURDER❌ Na tukisema hapa kila mtu akamalizie stress zake mitaani tutageuka uwanja wa vita. Let’s take good control of our actions.

NB: nimeattach video ambayo nimeiskiliza. Nataka kujua alichokua analalamika hapa kwamba vijana tupo tutapigana. Alikua anaongelea madini yake?
 
Attachments

  • FullSizeRender.mov
    47 MB

Hamza hakuingja mtaani kuua "watu" hovyo. Alienda Salenda darajani, (sio kituoni) kuua polisi wa pale. Hakwenda Msinbazi, wala Central, Jiulze kapishana na polisi wangapi njiani akawaaacha akafuata specifically wale wa pale kibandani...

Hanza angetaka kuua watu hovyo asingesubiri afike salenda... angejisogeza hapo sokoni Kariakoo na ingekuwa historia...

Sasa nyie mapoliishi punguzeni mathread ya malalamiko, tendeni haki ili kina Hamza wengine wasizaliwe....

NB: Unaweza kututhibitishia pasipo shaka hiyo clip uliyobandika ni ya kweli au ndio ile mliyoitengeneza ili mjisafishe?
 
Subiri atokee hamza mwingine ana hasira na polisi aende kuwafuata eneo arushe risasi ikupate wewe au mtu wako wa karibu. Haya pale ubalozi wa ufaransa pana kituo cha polisi? Mlinzi wa kampuni binafsi anahusika? Nyie watu mnawaza kutumia viungo gani vya mwili? Mimi nauliza what justifies murder? Hata mimi nimeonewa na mengi hata mtu mwengine pia kaonewa na mengi, tukisema wote tuingie vituoni kuua askari patakuwaje? Alafu nani alisema amedhulumiwa mimi nataka ushahidi wa hilo
 
Kiungo nachotunia kuwaza ni ubongo.

Swali jingine?
 
Hamza hakuingja mtaani kuua "watu" hovyo. Alienda Salenda darajani, (sio kituoni) kuua polisi wa pale. Hakwenda Msinbazi, wala Central, Jiulze kapishana na polisi wangapi njiani akawaaacha akafuata specifically wale wa pale kibandani...

Hanza angetaka kuua watu hovyo asingesubiri afike salenda... angejisogeza hapo sokoni Kariakoo na ingekuwa historia...

Sasa nyie mapoliishi punguzeni mathread ya malalamiko, tendeni haki ili kina Hamza wengine wasizaliwe....

NB: Unaweza kututhibitishia pasipo shaka hiyo clip uliyobandika ni ya kweli au ndio ile mliyoitengeneza ili mjisafishe?
Umemaliza......
 
Back
Top Bottom