Si sahihi kufikiri eti komandoo akiwa mtaani ni kama raia wa kawaida

kagoshima

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
2,172
2,000
Wastaafu wa jeshi hasa makomandoo wanapumzishwa tu kwa muujibu wa sheria lakini bado ni reserve army. Inchi ikiingia vitani wanaitwa wote na ukumbuke wanastaafu bado vijana, wenye nguvu na ujuzi wa kutosha.

Kwahiyo siye raia tunaposikitika kwanini makomandoo wapiganaji wa nchi yetu tena wengine wamepata madhara wakilitumikia taifa wanyanyaswe hivyo na hawa polisi Tanzania yasitolewe majibu mepesi mepesi.

Ni uenda wazimu kufikiri commandos mwenye ujuzi kama wote, vifaru, mizinga, mabomu, fighter jets, nt akiwa huku mtaani basi nisawa sawa na machinga . Reference ya kesi ya 1981 ku justify unyanyasaji walofanyiwa hawa vijana pia ni uenda wazimu.

Nani asiyejua records za polis kubambikia watu makesi. Nani asiyejua maovu ya jeshi la polis kufanya kazi kinyume na taratibu? Juu ya yote nani asiyejua Magu alikua anaendesha inchi bila kujali utu na haki za watu.
 
Dr Akili

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
4,264
2,000
Kwa hiyo kwa akili yako, wakijihusisha na ugaidi au ujambazi polisi iwaache hivyo hivyo? Hicho ndicho mlimshauri vip-mwenye kiti wenu awaajiri watu hao kumlinda (VIP Mbowe Protection Squad)?

Kwa taarifa yenu, hakuna aliye juu ya sheria katika nchi hii. Ukijihusisha na uharifu, jeshi la polisi litakushughulikia hata kama wewe una cheo cha ukomandoo au uenyekiti wa chadema.

Halafu kesi iko mahakamani, ni contempt of court (kosa la jinai) kuiongelea hata kama ni kwenye mitandao.
 
MKANDAHARI

JF-Expert Member
Apr 7, 2011
4,508

Ni wapi muandishi kataja hayo uliyoyaandika hapa? Ukiitwa wewe ni mpumbavu, hayawani, popoma au kalme kenge utakasirika?
 
Dr Akili

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
4,264
2,000
Ni wapi muandishi kataja hayo uliyoyaandika hapa? Ukiitwa wewe ni mpumbavu, hayawani, popoma au kalme kenge utakasirika?
Kama hujaelewa kuwa mwandishi alikuwa anaongelea makomando Adamoo na wenzake walivyokamatwa na jeshi la polisi huko Arusha mwezi August 2020 (na ?kuchomwa bisibisi ili waseme walichokifuata huko Hai), basi kapime akili yako hospitalini ili uweze kutibiwa.
 
kiduni

JF-Expert Member
Jun 26, 2015
348
500
ishu hapa ni uelewa tu wa mambo.

reserved army haina maana mpaka kwa waliofukuzwa kwa utovu wa nidhamu au kuzeeka na kuumia.

polisi wanajua wanachokifanya kuliko mihemko ya watu wengi inavyowaagiza.
Sawa poti
 
babylata

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
3,603
2,000
Tatizo Mabeyo kuingiza jeshi kwenye siasa yeye inajengewa na Magu bonge la house pale karibu na beach mlalakuwa amejisahau katika historia ya ma CDF huyu Katia fora kwa sababu yeye ndio mmoja wa watu wanaoingia baraza la usalama wa taifa alikuwa anayafahamu haya na akaendelea kubariki hope anafuraha tele
 
MKANDAHARI

JF-Expert Member
Apr 7, 2011
4,508
2,000
Kama hujaelewa kuwa mwandishi alikuwa anaongelea makomando Adamoo na wenzake walivyokamatwa na jeshi la polisi huko Arusha mwezi August 2020 (na ?kuchomwa bisibisi ili waseme walichokifuata huko Hai), basi kapime akili yako hospitalini ili uweze kutibiwa.
Jibu swali Acha kumlisha maneno ambayo hajasema. Ukiambiwa uthibitishe kuwa alimaanisha kuwa ni kina Adamoo utaweza?
 
Mr Devil

JF-Expert Member
Jul 7, 2019
4,913
2,000
Tatizo Mabeyo kuingiza jeshi kwenye siasa yeye inajengewa na Magu bonus la mouse pale karibu na beach mlalakuwa unajisahau katika historia ya ma CDF huyu Katie fora kwa sababu yeye ndio mmoja wa watu wananiambia baraza la usalama wa taifa alikuwa haya tunaendelea akubariki hope anafuraha tele
Nazani hata wewe uwezi kuelewa ulicho kiandika
 
Isanga family

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
9,271
2,000
Kama Hamza alikua Raia tuu kafanya vile hao jamaa ni kuwaomba iwepo Tume ya upatanishi ili kuweka mambo sawa msijidanganye kwa kosa mlilofanya kwa kuwabambikia kesi...
 
REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
3,179
2,000
Miye nawaA tu makomando watatu hata kama aaskari walikuwa na silaha za moto walishindwaje wamudu huo ukomando wao vipi nawaza naona huo ukomando wa kudesa siyo wavitendo
 
Ikitotanzila

JF-Expert Member
Sep 22, 2020
964
1,000
Kwa hiyo kwa akili yako, wakijihusisha na ugaidi au ujambazi polisi iwaache hivyo hivyo? Hicho ndicho mlimshauri vip-mwenye kiti wenu awaajiri watu hao kumlinda (VIP Mbowe Protection Squad)?

Kwa taarifa yenu, hakuna aliye juu ya sheria katika nchi hii. Ukijihusisha na uharifu, jeshi la polisi litakushughulikia hata kama wewe una cheo cha ukomandoo au uenyekiti wa chadema.

Halafu kesi iko mahakamani, ni contempt of court (kosa la jinai) kuiongelea hata kama ni kwenye mitandao.
Mbona jpm alikuwa juu ya sheria na wote tukaufyata. Alizima mikutano ya siasa ambayo ipo kisheria. Alikuwa kila kitu anavunja atakavyo. Hivyo usiseme hakuna aliyejuu ya sheria huo ni uongo labda huijui tanzania vizuri.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom