Ndugu yangu mmoja baada ya kukimbiza sana pale Mwanza buhongwa kwa biashara ya mbao. Kaamua kuingia zake dsm kariakoo na biashara mpya Sasa hivi anaenda china, hakusoma aliacha Shule darasa la saba.
Tuseme ukweli kufungua biashara na kuisimamia Kunataka u-smart gani kuliko yule aliyeweza kusoma...
Kulikoni hakuna ushabiki wowote kenye hili dimba la wanawake, sababu?
Naangalia hapa wasichana wanachea mpira safi kabisa, nadhani vitimu vyetu vya Taifa wanaweza kuvifunga magoli mengi tu hasa vya Africa.
Inakuwaje tarehe za mwisho wa mwezi foleni ATM ni kubwa kuliko kawaida, foleni ina almost mita 50 aisee.
Yaani mtu hadi unahairisha kutoa unaenda zako kwa wakala.
Hivi kwa mishahara hii kiduchu tutatoboa kweli.
Tujitahidi kutafuta financial freedom. Mshahara inabidi usitoke pale unapowekewa...
Kampeni kama Kampeni, baada ya kuona mabango nchi nzima hayana impact naona kahamia kwenye boda boda Sasa.
CCM wapo kwenye "Panic Mode" naona maji ya moto sana! Anyway mfadhili wa bodaboda anafahamika tu, yeye atalipwaje na atalipwa na nani Kwa "fadhila" hizo ndio swali la msingi Kwa Sasa.
Harakati za maisha zilinifikisha kijiji kinachoitwa Chiuta huko mkoani Lindi. Kijiji kipo eneo fulani ndani na uwanda wa juu (Makonde plateau) kama unaelekea Tandahimba ukitokea mji wa Mtama (kwa watoto 😆😆😆).
Miaka yangu michache niliyoishi kule nikifanikisha jambo fulani hivi, aisee...
Jina langu naitwa DON YRN. Mwaka 2012 nilihitimu elimu yangu ya kidato cha nne katika mkoa mmoja wapo ndani ya nchi yetu. Matokeo ya mtihani hayakuweza kufikia kiwango cha mimi kuingia kidato cha tano hivyo kulingana na shinikizo na ushauri mbalimbali wa wazazi, ndugu na jamaa niliamua kuangalia...
Mwabukusi amesema watanzania tuna wajibu wa kikatiba wa kulinda rasilimali za nchi hii. Waziri Masauni na Nape waache kutisha watu, na kwamba yupo tayari kupambana nao kisheria, akisema kuwa mkataba ni wa kijambazi, hataruhusu aina hii ya mkataba kufanya kazi nchini.
Mwabukusi ameongeza kuwa...
Habari zenu wapambanaji wenzangu wote ..
Dhumuni la uzi huu nikuwapongeza wote vijana na watu wanzima mnaopambana kwa nguvu zenu wenyewe bila msaada kwa ndugu za marafiki.
Kweli hali ni ngumu sana ila tusikate tamaa maana matunda yapo mbele nayaona kabisa..
Tusikate tamaa tupambane mpaka...
Kama kichwa kinavyosema hapo juu, leo nimejaribu kudownload app ya Azam pesa na kujaribu kucheki gharama zao, kiukweli wana gharama ndogo sana ukilinganisha na MNO wengine, ila shida sasa ni mawakala wao 💔 hawana mawakala kabisa?
Kwanini SSB wasifanye kampeni kubwa ya kupita kila kibanda cha...
Hali ya usafi wa mazingira ilivyo Mkoani Morogoro katika Kata ya Mbuyuni, Mtaa wa Msikiti wa Masai karibu na Muslim University of Morogoro.
Mkandarasi wa usafi anaitwa Kajenjere lakini inadaiwa zaidi ya mwezi hajafika eneo husika kukusanya taka, hivyo kusababisha hali kuwa mbaya hadi taka...
Na hata sisi tuliosoma chuo, hii ndio ulikuwa utaratibu wetu kupata mali yenye maileji ndogo na ukibahatika waweza kupata bikra, watu walikuwa wanawahi kwenda chuo wanazuga eti wanapenda shule kumbe wapo mawindoni kuvizia makontena mapya.
Makontena mapya ni hawa wanaoingia chuoni kwa mara ya...
Hata kama serikali haina dini lakini hapa tulipofika sasa kuna haja ya serikali kuingilia kati. Hapa mtaani kwangu leo hakukaliki kwa sababu ya kelele za maspika ya ibada. NEMC walisema wataweka utaratibu wa kufanya ibada lakini sijui wanakwama wapi mpaka sasa hawajachukua hatua zozote. Hadi...
Marndeleo yasiyo kuwa na mipango ni matumizi mabaya ya pesa!
Kuna jamaa hawamalizi kuchimba mitaro mtaani, kila mwaka wana chimba chimbua hata vya maana havionekani!
Wanatandaza mabomba yasiyotoa maji kila mwaka!
Wananchi maeneo mengi dar hawana huduma bora za maji lakini sahivi kila sehemu...
Hii ni ishara mbaya sana.
siku ya tano leo nakutana na makopo ya kubebea ARV kwenye haka kamtaa ninakoishi.
Yanatupwa tu yani hadi watoto wanayachezea kabisa.
leo ndio nimejua kuna kopo za vidonge 30, 90 hadi 100
Hii nchi kwa maeneo ya mjini kuna rate kubwa ya mambukizi ya UKIMWI.
Kusema ukweli!
Mambo mengine siyo utajiri! Bali ni uthubutu tu!
Baadhi ya nchi duniani walishasahau kama kuna ugonjwa wa malaria!
Yaani wadudu warnezao malaria hivi kweli kama taifa tumeshindwa kuwaondoa?
Zamani kulikuwepo ugonjwa wa kichocho sijui ulipotelea wapi! Lakini sahivi kuna hii kitu...
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) linatarajiwa kufanya ukaguzi wa uzingatiaji na utekelezaji wa Sheria ya Usimamizi wa Maingira (2004) na Kanuni zake.
Mkurugenzi Mkuu wa NEMC, Dkt. Eng. Samuel Gwamaka Mafwenga amesema zoezi hilo linatarajiwa kuanza Mei 28, 2023 na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.