msongo wa mawazo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Luhaga mpina alicheza kama Pele hasa bunge linavyoipakata Serikali

    Wengi watadhani mpambanaji Mpina kuwa hajui kanuni za bunge ila kitendo cha kuchomokea kwa jamii ilikuwa turufu bora kabisa kwake maana nature ya bunge linavyopakatana na mhimili mmojawapo hatuko salama sana . Kama angesubiri spana za huyu supika angepunguzwa nguvu na tusingejua in first hand...
  2. machiaveli

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli kuhusu hili wakuu?

    Habari zenu wakuu? Eti kwamba mwanaume ukiwa na msongo wa mawazo (stress) unapaswa kulia machozi kwamba inasaidia kukutuliza na kukuepusha magonjwa ya afya ya akili? Iko hivi ndani ya miaka mitatu hii Kuanzia 2021 nilipata changamoto mbalimbali kubwa kwa vipindi vifupi vifupi Mama wa watoto...
  3. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Msongo wa Mawazo na Unyogovu baada ya mjamzito kujifungua

    Ni wakati sasa serikali inatakiwa kuwaangalia wanawake wajawazito nakutoa elimu ya magonjwa ya afya ya akili kwa wajawazito lakini kwa jamii nzima kuelewa hili janga kwasababu jamii yetu pia haina elimu ya utambuzi kuhusiana na hili zamani lilijulikana kama swala la kawaida tu mwanamke kuparta...
  4. I LOVE YOU DUCE

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni msaada, naona msongo wa mawazo una ninyemelea

    Nadhani naingia kwenye msongo wa mawazo, nahitaji neno la faraja kwenu wa TANZANIA wenzangu, ndugu, kaka, dada, mama na baba zangu. Wakuu juzi, niliwashirikisha juu ya dhiki ya njaa Inavyotaka kuniua (mwezi wa nne sasa na kula mlo mmoja tu tena wakati wa usiku). Sasa hapa nimemaliza Kuweka...
  5. Meneja CoLtd

    JamiiForums Tanzania KWELI Msongo wa mawazo husababisha uwaraza

    Hivi karibuni kumezuka sintofahamu kwamba msongo wa mawazo husababisha matatizo ya kupungukiwa na nywele (uwaraza), je ni kweli?
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Ukiwa mkweli kabisa kutoka moyoni, How are you? Unaendeleje na hali?

    Wana MMU, Wengi tukisalimiana unaambiwa good moorning, unajibu tu kukamilisha salamu. Unaulizwa unaendeaje na hali unajibu fasta tu salama wakati ukweli ni kwamba unakaribia ku give up, maisha yako yameshikiliwa na ki uzi chembamba tu kiasi kwamba upepo ukipiga kidogo tu umekwenda. Wengine...
  7. haszu

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii inaweza fanya mtu ukawa na msongo wa mawazo.

    Wakati nawaza mshahara upaongezeka kidogo japo ufike laki 9 au milini 1, nakutana na post mtu anasema ukiwa na mshahara wa milion 1.5 hutoboi, 🙌🙌 Wakati naitafita miaka 35, sojawahi miliki gari chombo cha moto, kuna jamaa anasema kaagiza gari yake ya kwanza akiwa na miaka 22. Kuna jamaa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Mwendokasi wengi wana msongo wa mawazo. Waziri kaa na hawa watu uwasikilize itapunguza kuharibu magari

    JPM alipoona Mwendokasi Madereva wanadai maslahi alikwenda kuchukua vijana serikalini na JKT akawapa kazi za ulinzi, kukata tiketi,ufundi na udereva. Walioletwa kwa sababu wanawekwa bila sifa wameendelea kujifunza kazi taratibu lakini wakiwa na msongo mkubwa wa mawazo kuhusu lini watapata...
  9. KikulachoChako

    JamiiForums Tanzania Msongo wa mawazo unaoletwa na misukumo ya fikra kwenye jamii zinazotuzunguka

    Habari za mida hii ndugu jamaa na marafiki. Sote tunaishi kwenye jamii...jamii ambayo imejaa watu wenye mitazamo, maoni na utashi tofauti tofauti. Katika ya jamii hiyo ambayo tupo kunazaliwa viwango vya kimaisha na vigezo mbali mbali kwa mitazamo yao na kufanywa kuwa ndio vipimo na matarajio...
  10. X

    JamiiForums Tanzania UZI MAALUMU: Wanawake wote ambao wana msongo wa mawazo kwa sababu ya kutoolewa mkutane hapa

    Najua wengi wenu mlikuwa mna ndoto za kuolewa na wanaume wenye mali, matajiri na handsome men. Lakini sasa huenda mmeishia kuwa single maza na umri umesonga mmekuwa wasimbe (27+) au mishangazi Kumekuwa na ongezeko la single maza wenye 30+ humu jf wanaotafuta waume kwenye love connect huu ni...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Kazi 8 zinazoongoza kwa kuchochea Msongo wa Mawazo

    Kazi zenye msongo wa mawazo zinaweza kutofautiana kulingana na mazingira ya kazi, utamaduni na hali ya uchumi katika maeneo tofauti barani Afrika. Hata hivyo, kuna kazi kadhaa ambazo zinaweza kuwa na uwezekano mkubwa wa kusababisha msongo wa mawazo kutokana na shinikizo la kazi au mazingira...
  12. GoJeVa

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tiba ya msongo wa mawazo

    TIBA YA MSONGO WA MAWAZO. Utangulizi. Msongo wa mawazo ni hali ya mtu kuzongwa na mawazo hasi ambayo mara nyingi hupelekea matokeo mabaya Kwa muhusika hasa pale asiposaidiwa au asipojisaidia kutoka kwenye changamoto hiyo. Tatizo hili limekuwa ni jambo mtambuka Kwa kizazi chetu, na hii...
  13. Rayz

    JamiiForums Tanzania Ufanye nini kuondoa msongo wa mawazo kwa matendo uliyotendewa na mzazi wako?

    Salaam wakuu! Ilishawahi tokea hali ya kupelekwa polisi na mzazi wako na ukakaa lupango zaidi ya wiki ukiwa mtoto let say wa miaka kama 12 hivi, ulifanyaje ili kuondokana na mawazo mabaya kwa mzazi wako, na nini kifanyike kuondoa msongo kwa mtu aliyepitia hali kama hiyo?
  14. J

    JamiiForums Tanzania Afya ya Akili: Ni vitu gani unajifanyia kama ishara ya kujijali, kujithamini na kujipenda?

    Kujijali (Self-Care) kuna maana tofauti kwa kila Mtu, na wote tuna namna yetu ya kujijali ili kupunguza Msongo wa Mawazo (Stress) na kulinda Afya ya Akili Kwa wengine, kujionesha Upendo ni kwa kujinunulia kitu kipya, kusafiri au kutembelea sehemu mpya, kutenga muda wa kupumzika au kufanya...
  15. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Taifa linaangamia: Afya zetu za akili ni jukumu letu sote

    UTANGULIZI Uchungu wa kumpoteza mtu unayempenda, kazi unayoipenda au kitu unachokipenda kinaweza kuleta athari kubwa zisizoelezeka. Changamoto hazikwepeki maishani na wahenga walisema shida tumeumbiwa binadamu. Lakini ni jinsi gani tunaweza kuzikabili hizi changamoto wakati zinapotukuta? Kila...
  16. jastertz

    JamiiForums Tanzania Kwanini vizazi vya kati ya mwaka 1980 na 2000 wanajulikana kama Kizazi cha Msongo wa Mawazo?

    Ni mambo gani ambayo yamechangia hilo? Kwanza kabisa, hebu tuanze kwa kufafanua zaidi tatizo kubwa katika msongo wa mawazo. Hii inajidhihirisha kama dalili fulani, ambazo tunaweza kuangazia kama unapokuwa na msongo wa mawazo sehemu kubwa ya siku, kupungua kwa shauku katika shughuli ambazo hapo...
  17. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Msongo wa mawazo huongeza nafasi ya kupatwa na kifo cha Ghafla kwa 43%

    Mtu mwenye Msongo wa Mawazo huwa na 43% zaidi ya kupatwa na Kifo cha Ghafla kuliko mtu asiye na tatizo hili Pia, huongeza nafasi ya kuugua Magonjwa sugu, kujiingiza kwenye tabia hatarishi kama unywaji wa Pombe uliopindukia, uvutaji wa Sigara na Matumizi ya Dawa za kulevya. Wanawake wajawazito...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Wanaume watatu wenye msongo wa mawazo Tanzania kwa sasa

    Hawa wote chazo Cha stress zao kinafana. Haji na Mkewe Harmonise na Mkewe (mchumba) Mwaka na Mkewe #Ishini nao kwa akili.
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Maana ya Msongo wa Mawazo (Sonona) na jinsi ya kukabiliana nao

    Maana ya Msongo wa Mawazo (Sonona) Msongo wa mawazo ni mfadhaiko wa akili anaoupata mtu kutokana na shida, taabu, dhiki, matatizo au changamoto zinazomkabili katika maisha ya kila siku. Mtu hupata msongo wa mawazo pale anaposhindwa au kukosa namna ya kukabiliana na jambo linalomsumbua...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Kusikiliza muziki kunapunguza msongo wa mawazo

    Utafiti wa Chuo Kikuu cha Vienna umeonesha kuwa mziki unaweza kumrudisha mtu katika hali ya furaha au kawaida pindi anaposikiliza muziki mzuri au wenye kusisitiza furaha wakati wa msongo wa mawazo. Utafiti huo ulifanyika wakati watu wengi walipotakiwa kukaa ndani kutokana na maambukizi ya...
Back
Top Bottom