msongo wa mawazo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Wakuu depression inanimaliza

    Kwema ndugu zangu, Niende moja kwa moja kwenye mada, nimekuwa napitia hali ngumu ya maisha Niko stressed sana, jobless mpaka naona mtaani nadhalilika mbele ya ndugu jamaa na marafiki. Najitahidi ku fight back ila sio rahisi. Muwe na mchana mwema.
  2. Gwappo Mwakatobe

    JamiiForums Tanzania Uponyaji wa Msongo wa Mawazo na Upweke au Kukata Tamaa

    Natoa ushauri kwa mtu yeyote aliye katika hali ya kupitia machungu (bitterness), kutelekezwa au kukataliwa (rejection), msongo wa mawazo (stress) au mfadhaiko/upweke (depression), aanze kufanya au kufikiria lolote lililo zuri, lolote lililo safi, lolote lenye haki, lolote lenye staha, lolote...
  3. aliyetegwa

    JamiiForums Tanzania Sijui alipatwa na nini kilichopelekea kujiua!

    Habari wakuu, Iko hivi alikuwa ni kijana nadhifu, mchangamfu na kikubwa mwenye uwezo mkubwa darasani. Baada ya harakati za masomo alimaliza shahada yake ya kwanza 2014. Kwa kipindi cha karibia miaka nane hakupata kazi ila alichakarika haswa kwa kufungua genge na kuhudumia familia kwa kazi hiyo...
  4. Innocent Ngaoh

    JamiiForums Tanzania SoC02 Sababu saba (07) za kwanini unapaswa kukabiliana na msongo wa mawazo kwenye maisha yako

    Msongo wa mawazo ni hali ya kuwa na mawazo mengi kichwani kwa lugha rahisi ni mawazo ambayo yamerudhikana kwenye akili na kufanya uone unashindwa kuamua au kufanya maamuzi nini ufanye kutokana na changamoto, vikwazo, magumu na matatizo ambayo unapitia kwenye maisha ya kila siku. Inawezekana una...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Msongo wa mawazo, Mwanajeshi Mrusi auwa maafisa wa FSB kule Kherson, kisa ulevi

    Hali inazidi kuwa balaa, Kherson kunawaka moto, Warusi wameingiwa na msongo wa mawazo hawajui wanachopigania kwenye nchi ya watu, huyu kalewa mipombe na kufanya yake kwa wenzake...... A Russian soldier shot dead two FSB officers in occupied Kherson after he was caught swigging alcohol while in...
  6. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Teknolojia msongo wa mawazo

    Kwa Dunia ya sasa, vijana ndio binadamu walio kwenye hatari kubwa ya kupotea kuliko wazee. Kutokana na ukuaji wa teknolojia, vijana wengi wamejikita kwenye kuigiza maisha mtandaoni huku hali halisi ikionesha maisha magumu na wengi wao kutojua suluhisho ni nini. Mfano, mitandao mingi ya kijamii...
  7. Etwege

    JamiiForums Tanzania Nyumba za kupanga ni mateso, zasababisha udumavu wa akili na msongo wa mawazo

    Kama unaishi nyumba za kupanga zenye masharti lukuki hii inakuhusu sana, wataalamu wa afya ya akili na wanasaikolojia wameonya kuwa masharti hayo ni moja ya kichocheo cha mtu kukumbwa na magonjwa ya afya ya akili ikiwemo sonona. Takwimu za magonjwa ya afya ya akili kwa mwaka jana kutoka Wizara...
  8. BigTall

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Wanawake wakikumbatiwa wanapunguza msongo wa mawazo

    Utafiti uliofanywa hivi karibuni umebaini kuwa kumkumbatia mtu kunaweza kuchangia kupunguza msogo wa mawazo kwa Wanawake. Wanawake 76 waliofanyiwa utafiti wa kisayansi na Kituo cha PLOS One wameonesha kuwa wanapowakumbatia wenza wao au watu wanaowapenda pindi wanapokuwa na msongo wa mawazo...
  9. Replica

    JamiiForums Tanzania Afande Sele: Spika aombe Mirembe wapeleke mabasi yao Bungeni wachukue vichaa wao, waliopo Milembe wana msongo wa mawazo

    Mwanamuziki mkongwe wa bongo wa muziki wa kizazi kipya maarufu kama Afande Sele amemuomba spika wa Bunge, Tulia Ackson awaombe hospitali ya Mirembe iliyopo mjini Dodoma wapeleke usafiri bungeni na kuchukua watu wao akidai waliopo Mirembe ni wazima ila wana msongo wa mawazo wa maisha magumu...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mshauri: Msongo wa mawazo husababisha mtu kunenepa

    Mshauri wa Rasilimali watu Mosses Raymond amezungumzia upande wa pili wa msongo wa mawazo kitaalamu kwa kusema huwa inasaidia kuleta mabadiliko katika maisha ya mtu binafsi na inaweza kumfanya anenepa. Mosses amesema wengine wakipata msongo wa mawazo hunenepa na kupata nuru kwa sababu hupenda...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Nadhani naweza nkapata msongo wa mawazo utakaonipeleka pabaya

    Nimeweka sana juhudi kwenye kujijengea maisha lakini nguvu zote hazijafua dafu. Muda huu nimelala apa kitandani ila usingizi sipati kwa maana nipo kwa baba wakati ilinipasa niwe nafanya harakati za kuoa kwa umri wangu. Nimetafuta sana mtu wa kunifadhili mtaji nifanye biashara ninayoifaham vyema...
  12. nyboma

    JamiiForums Tanzania Wanawake mjitahidi sana pale mnapotofoutiana na wanaume zenu huko kwenye ndoa msikutane na sisi wanaume

    Hii kitu ni mbaya sana kwa wanawake, kwa ufupi nimegundua ndoa nyingi zina mifarakano mikubwa na wenza wengi wanaishi ili siku zisonge tu. Hisia na kujaliana kwa wenza wengi hakupo tena, wanaume wengi pia hawajali kuhusu kujua ratiba za wake zao zipo vipi. Mwisho kabisa niwaase wana ndoa kama...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania UNICEF: Mtu 1 kati ya 5 duniani (umri wa miaka 15 - 24) hupata Msongo wa Mawazo

    Shirika la UNICEF limesema Mtu 1 kati ya 5 wenye umri wa miaka 15 - 24 duniani husema ana Msongo wa Mawazo. Siku ya Afya ya Akili Duniani huadhimishwa Oktoba 10 kila mwaka. Imeelezwa, kila mwaka Vijana wapatao 45,800 hupoteza maisha kwa kujiua, sababu ambayo imetajwa kuwa ya 5 kwa vifo vya...
  14. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 Madhara yanayotokana na msongo wa mawazo (sonona). Je, tunajali?

    Kwa kipindi cha miaka ya hivi karibuni kumekuwa na matukio ya watu kuchukua maamuzi magumu ya kujitoa uhai. Vilevile kumekua na ongezeko la watu kuishi mtindo wa maisha usiofaa ambao huweza kuleta madhara kwenye maisha yao na jamii inayowazunguka, mfano tabia ya ukahaba, matumizi ya pombe...
  15. Replica

    JamiiForums Tanzania Mwananchi: Hamza alikuwa na msongo wa mawazo kwa kupoteza milioni 400

    Naona gazeti la Mwananchi wanasema Hamza alipata msongo wa mawazo baada ya kuwekeza milioni 400 Mbeya na kutofika malengo aliyokusudia, jana pia imesambaa video ikionyesha Hamza lengo lilikuwa ugaidi. Polisi wangejitokeza basi kutupa muelekeo wa tukio, naamini sababu ya Hamza kufanya...
  16. Replica

    JamiiForums Tanzania Suleiman Kova: Mtu anayekuwa katika msongo wa mawazo anaweza kufanya kama Askofu Gwajima, hajiamini na haamini wengine

    Suleiman Kova, kamanda wa polisi aliyewahi kutamba kwa kuzuia uhalifu akiwa RPC kwenye mikoa mbalimbali ameongelea hoja ya Gwajima kuomba mabadiliko ya mic na kiti. Amesema kwa uzoefu wake ndani ya Jeshi la Polisi na kuhoji watuhumiwa huwa ni suala la saikolojia kwa mtu mwenye msongo wa mawazo...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Mwanafunzi Ajinyonga kwa msongo wa Mawazo

    Mwananfunzi wa kidato cha nne Shule ya Sekondari Cyril Chami, Yasinta Mathew (17) amefariki dunia baada ya kujinyonga kwa kile kilichodaiwa kuwa na msongo wa mawazo Kamanda Maigwa amesema tukio hilo lilitokea Agosti 16, 2021 maeneo ya Mweka kata ya Kibosho Mashariki ambapo mwanafunzi huyo...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kuchapa watoto hovyo ni tabia za watu maskini wenye msongo wa mawazo

    Habari!. Watoto wa matajiri hufanikiwa zaidi kwakuwa ni watoto wanaokua kwa furaha. Wazazi wao ni marafiki zao. Mtoto hahitaji majumba ya ghorofa, hahitaji magari ili afurahi. Anahitaji kupendwa na kupewa vizawadi vidogovidogo kabisa. Uswahili watoto wanadundwa sana , wanakaripiwa sana na...
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Zijue athari 8 zisababishwazo na msongo wa mawazo

    ATHARI 8 ZISABABISHWAZO NA MSONGO WA MAWAZO Msongo wa mawazo unajulikana kama sehemu ya maisha ya kawaida. Mwili wako unaweza kuitikia hali hii kiakili na kimwili. Hata hivyo msongo wa mawazo unaweza kusababisha athari mbaya kwako.zifuatazo ni athari mbaya za msongo wa mawazo.(8). 1. Uharibu...
  20. F

    JamiiForums Tanzania SoC01 Natamani ningejua haya mapema ili kuepuka msongo katika mahusiano

    Utangulizi Katika karne ya sasa, watu wengi wamekumbwa na misongo ya mawazo kutokana na hali tofauti tofauti wanazokutana nazo katika mahusiano. Baadhi ya watu wamepoteza maisha kutokana na kushindwa kudhibiti kiasi cha msongo. Wengine wapepoteza ndoto zao, familiya, kazi, masomo na hata...
Back
Top Bottom