msongo wa mawazo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Msongo wa mawazo huweza kusababisha Mtu kuota mvi mapema

    Kulingana na utafiti mpya wa Chuo Kikuu cha Columbia uliochapishwa katika jarida la eLife: wakati chanzo cha mafadhaiko kinapoondolewa, nywele zinaweza kurudi kwenye rangi yake ya kawaida. Kwa miongo kadhaa tumejaribu kuelewa husiano uliopo kati ya msongo wa mawazo na kuota kwa mvi, na huu ndio...
  2. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Fanya zoezi hili la kupumua litakalokuondoa kwenye msongo wa aina yoyote ile

    Rafiki yangu mpendwa, Miaka elfu 5 iliyopita, binadamu aliyekuwa porini akiwinda au kukusanya chakula, aliposikia kishindo alianza kukimbia mara moja. Hakusubiri aone kishindo hicho ni cha nini, hatua ya kwanza ilikuwa kukimbia ili kuokoa uhai. Wakati mwingine kishindo kilikuwa ni cha hatari...
  3. Unyayo

    JamiiForums Tanzania Depression inaniathiri, nakaribia kujiua

    Thread closed!
  4. Kifaru86

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kuepuka stress na msongo wa mawazo katika mahusiano yako?

    Mahusiano ni kama sanaa kuna wakati mahusiano yanaweza kukupa stress na msongo wa mawazo kiasi kwamba ukajutia kwanini umeingia katika mahusiano huyo mwanamke au mwanaume maana kuna time unaona kabisa what you Give is diffrent from what you receive hali hukupelekea kuwa na stress na mambo...
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Msongo wa Mawazo Baada ya Kujifungua

    Msongo wa mawazo ni jambo la kawaida linalowapata angalau mwanamke (wamama wapya) mmoja kati ya nane. Dalili zake ni pamoja na kusikia mchovu, kulia, mwenye shahuku, mnyonge na mabadiliko ya kula na kulala hasa wiki ya tano za kwanza baada ya kujifungua. Wakati mwingine kuwa na huzuni, kushindwa...
  6. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Kuepuka maumivu na msongo wa mawazo baada ya kuachwa na mwenza fanya yafuatayo

    1.Hatua ya kwanza piga moyo konde kukubali matokeo kila lenye mwanzo Lina mwisho huyo sio wako tena. 2.hatua ya pili futa kumbukumbu zote kuhusu yeye ikiwemo namba za simu picha Meseji n.k ili kuepuka mazingira ya kumfatilia. 2.hatua ya tatu epuka kusimulia watu wako wa karibu kama umeachwa we...
  7. ZING SOKONI

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii siku hizi imekuwa chanzo kikubwa cha stress na msongo wa mawazo kwa vijana

    Wakuu habari zenu, leo kidogo tuzungumzie kuhusu hili la mitandao ya kijamii. Siku hizi maisha yamegeuka sana, ni ngumu sana kudeal na stress na msongo wa mawazo hasa pale unapokuwa unapitia kipindi kigumu katika maisha. ~Umeachana na mpenzi wako uliyempenda sana, kesho unamuona facebook...
Back
Top Bottom