msikiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Video: Msikiti wapigwa chini baada ya handaki la kigaidi kugunduliwa humo

    Badala ya watu kuabudu 'mungu' wao kazi ni maugaidi mpaka kwenye misikiti, karibu kila msikiti una handaki la kigaidi, inabidi ipigwe yote na kufanywa shamba..... The 55th Paratroopers Reserve Brigade soldiers have been fighting in Khan Yunis over the past few weeks. IDF troops dismantled the...
  2. JamiiForums Tanzania Israel wasambaratisha msikiti wa kale

    Ilikua kosa kubwa sana kuua Wayahudi, jamaa wameamua hamna kinachosalia... Damage to al-Omari Mosque in Gaza City from Israel-Hamas war, on December 8, 2023. (Screen capture/X) New footage shows the massive extent of damage to the historic al-Omari Mosque in Gaza City. Palestinian media says...
  3. JamiiForums Tanzania Kamari ya Mpito Msikiti wa Ijumaa Mwanza inavyowatapeli wafanyabiashara

    Kamati ya Mpito inayosimamia Msikiti wa Ijumaa Jijini Mwanza imekuwa ikiwatapeli mamilioni ya fedha wafanyabiashara wa hapa kwa kuwalipisha pesa na kuwapa mikataba ya kupanga vyumba ambavyo tayari vinao wapangaji. Ajabu unakuta chumba kimoja kimelipishwa watu zaidi ya watano na wote wamepewa...
  4. JamiiForums Tanzania Israel wapiga bomu handaki la magaidi lililokua ndani ya msikiti wa Al-Ansar

    Hii misikiti yaani ni balaa sana, sijui kwanini watu wasiabudu miungu yao kwa amani bila kulea chokochoko........... The Israeli military said it launched a "preemptive strike" on an underground compound on the grounds of the Al-Ansar mosque in Jenin on the West Bank. Details: According to the...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Sheikh Rusaganya anasema Makkah kuna msikiti wa Majini, je ni mkweli ama ni muongo?

    Habari wadau. Sheikh Rusaganya anasema Makkah kuna msikiti wa majini. Je, ni mkweli ama muongo? https://m.youtube.com/watch?v=jPi5CicFiyk
  6. JamiiForums Tanzania Pakistan: Wapiga risasi watu wakiabudu ndani ya msikiti

    Hawa kuja kuwaelewa itachukua muda sana, sijui shida huwa nini haswa, mauaji na vita vita. ==== LAHORE, Pakistan (AP) — A pair of gunmen walked into a mosque in Eastern Pakistan on Wednesday and opened fire at the worshippers, killing a member of an outlawed anti-India militant group and...
  7. JamiiForums Tanzania Huu hapa msikiti wa Bikira Maria uliopo Dubai

    Msikiti unaitwa " Maria Mama wa Yesu" na unapatikana Dubai. Wakristu na waislamu huwaga ni wale wale. Ndio maana akina Yericko Nyerere wameona warudi zao kwenye dini za asili za kumuomba Mungu kupitia mababu. As for me, I shall go with my traditional ancestral veneration. Sifuati dini ya...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: DP World kujenga msikiti wa Masjid al jumaa wa Mbeya na kuendelea kusaidia dini ya kiislam nchini Tanzania!

    Kampuni ya DP World ambayo katika Mkataba wa Bandari kati ya Ufalme wa Dubai na Serikali ya Tanzania ndiyo imepewa kuendesha Bandari zote Tanzania Bara (Tanganyika) inatumia faida inayopata katika biashara zake kusaidia misikiti na Waislamu kwa ujumla. Mwaka huu wakati wa mfungo wa Radhamani...
  9. JamiiForums Tanzania Bilionea Mwislamu ashinda kibali cha kugeuza mojawapo ya maeneo maarufu ya London kuwa msikiti

    Trocadero Ilijengwa mwaka 1896, ni mojawapo ya majengo ya burudani maarufu zaidi ya London Tajiri Asif Aziz anajenga msikiti huo wa gorofa tatu ndani ya jengo la Trocadero Msikiti huo ambao utakuja kuitwa 'Piccadilly Prayer Space' utafunguliwa ndani ya miezi kadhaa. Iakini upango huo...
  10. JamiiForums Tanzania Hasira baada ya Quran kuchomwa nje ya msikiti Sweden

    Salwan Momika, anayesemekana kuwa mzaliwa wa Iraq anayeishi Sweden, alichoma moto nakala Quran mbele ya msikiti mkuu wa Stockholm siku ya Jumatano. Mataifa ya Mashariki ya Kati yakiwemo Iraq, Iran, Saudi Arabia na Misri yamekosoa vikali uchomaji huo. Na Uturuki, imesema kuwa ni "kitendo cha...
  11. JamiiForums Tanzania Yanga yasimamisha maandamano msikiti wa Makonde kupisha Adhana

    DAR-ES-SALAAM YANGA AFRICANS YASIMAMISHA MAANDAMANO MSIKITI WA MAKONDE ILIPOTOKA ADHANA Waandamanaji wa Yanga waliokuwa katika maandamano makubwa wakiwa wamebeba kikombe chao cha ubingwa wa Ligi ya Tanzania walichokabidhiwa Mkwakwani Stadium Tanga wakitokea Uwanja wa Julius Nyerere wakielekea...
  12. JamiiForums Tanzania Waislam wa Bara hawajui kibla kiko wapi? Inakuwaje msikiti unaelekezwa Ulaya?

    Kweli nimeamini uislam uko Zanzibar, Pwani na Ujiji. Niko mkoa Fulani huku Bara kuna msikiti unaelekezwa ulaya na si Kibla kama ilivyozoeleka. Ni nadra Sana kukuta kosa kama Hili huko Pwani
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KENYA - KANISA LABADILISHWA KUWA MSIKITI BAADA YA WAFUASI WA KIKRISTO KUSILIMU

    Sisemi mengi video clip ina yote kwa Kiswahili...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge Samizi achangia ujenzi wa msikiti wa ghorofa Kibondo, Waumini wamtaja Rais Samia

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi leo tarehe 07/04/2023 amemtuma Katibu wake Bi. Dorice Nsekela kumwakilisha kwenye msikiti wa Ijumaa na wa wilaya ya Kibondo ambapo alifanikisha kutoa ahadi aliyoahidi ya kuchangia seruji mifuko 50. Pia, Mbunge wa Njombe...
  15. JamiiForums Tanzania Msikiti wa al-Aqsa hautabomolewa maana haukujengwa sehemu lilipokuwa hekalu la mfalme Suleiman bali upo pembeni

    Baada ya kuharibiwa kwa Yerusalemu 70AD, mlima sayuni (mount Zion) haukuweza kufahamika tena ulipo. Ndio maana mwanahistoria Josephus hajaeleweka kuhusu location ya hekalu kwasababu maelezo yake yanapingana na kinachoitwa mlima sayuni leo hii. Hekalu la mfalme Suleiman lazima lijengwe tena...
  16. JamiiForums Tanzania Bomu lalipuka karibu na msikiti na kuua wanne huku wengine wakijeruhiwa kule Afghanistan

    Hawa wagomvi kwenye hii dini sijawahi kuelewa nani hupigana na nani maana wote humpigania na kumtetea "mungu" mmoja.... Kuanzaia Somalia hadi Afghanistan, ni mabomu ya kujilipua kisa wanamtetea "mungu" wao ila wahanga ni hao hao wanao amini kwenye "mungu" huyo huyo.... At least four people have...
  17. JamiiForums Tanzania Zuchu: Ninajenga msikiti Paje

    Msanii Zuchu kutoka Zanzibar amesema anafurahi sana kutimiza moja ya ndoto zake za utotoni kwa kufanikisha kujenga msikiti maeneo ya Paje. ''Msikiti huu utakuwa msaada kwa wakazi wa maeneo hayo maana hutembea umbali mrefu, mashallah ukikamilika nitawakaribisha kuja'', alidai Zuchu.
  18. JamiiForums Tanzania Bomu laripuka kwenye msikiti kule Afghanistan na kuua mkuu wa dini na waumini wengine

    Hawa nao sijawahi kuelewa sababu zao za kulipuana huko Afghanistan wakati wote dini moja.... At least one cleric and several civilians have been reported killed in the city of Herat, despite Taliban claims they have improved security. An explosion rocked the Guzargah mosque in the city of Herat...
  19. JamiiForums Tanzania Kabul: Watu 21 wafariki kwa mlipuko ndani ya Msikiti

    Msemaji wa Polisi kutoka Kabul, Kabul Khalid Zadran amesema watu 21 akiwemo Imamu wa Msikiti wamefariki dunia na wengine 33 kujeruhiwa baada kutokea Mlipuko mkubwa kwenye Msikiti uliokuwa na watu wengi. Ni wiki moja tangu wapiganaji wa Islamic State (IS) kumuua kiongozi wa kidini anayeunga...
  20. JamiiForums Tanzania Nikipata pesa sijengi msikiti/kanisa kwanza kwa sababu hizi

    Mtu akikamata vijisenti utaona anajenga msikiti/kanisa kuuuubwaaa kwao. Jiji la dar lina nyumba za ibada (kanisa/msikiti)karibia kila kona na watu hawajai, ila jiji la dar hospitali zinajaa sana, foleni za maji zinajaa sana, shule zinajaa sana. Mtu anajenga nyumba ya ibada kijijini kisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…