msikiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Baba anatoa nyumba yake ya Kariakoo wakfu iwe mali ya msikiti, huku watoto wake wamepinga hawana urithi, why Watu weusi hatujui Generational wealth

    je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ? video inaonesha mzee mwenye umri wa miaka 97 akiitoa nyumba yake ya kuishi yenye ardhi yenye thamani...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kosa la Imamu halisababishi msikiti ufungwe

    Hayo yamesemwa na muumini wa kanisa la ufufuko na uzima. Je unadhani yupo sahihi ama hayuko sahihi?? Imamu akikosea utafunga msikiti ama utamwadhibu Imamu? Dominika njema
  3. M

    JamiiForums Tanzania Shekhe wetu leo katika swala ya Idil Adh Ha amezungumzia Amani amani tu, akasema msiniulize swala la haki

    Leo kuna Shekhe wetu mmoja alisimama kutusulimiana ktk swala ya idil adh ha na kutwambia kwamba umechaguzi umekaribia na ameagizwa aje kutwambia swala la amani, kaongea mengi kuhusu umuhimu wa amani, amani amani amani, mwisho akasema msiniulize swala la haki, hapo msikiti mzima wakacheka...
  4. ommytk

    JamiiForums Tanzania Serikali ya mkoa Dar es salaam mtusaidie kuhusu watu wanaombaomba hapa maeneo ya cheif pride, na msikiti wa sunni

    Kuna wimbi kubwa la wamama wanakuja mjini kuomba wakiwa na nguvu zao wala si wahitaji kwa maana wana uwezo kufanya kazi haya maeneo niliyotaja wamefanya kama vijiwe vyao yaaani wanasumbua sana Wageni na sio tu kuomba wanapora kabisa wanakuwa na watoto wadogo yaaninwamama wazima wana maisha yao...
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ujue msikiti uliojengwa na majini

    Unaweza kudhani labda hii ni Historia ya Kutunga! Lahasha hii ni Historia ya kweli kabisa kutoka Kwa Wakazi Katika Visiwa Vya Comoro #ngazija Msikiti Huu Uliopewa Jina #shiounda Ulijengwa na viumbe wasio Onekana na Binadamu yaani "Majini" Msikiti Huu ulianza kujijenga wenyewe Kuanzia Hatua...
  6. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Mama Samia akishirikiana na Ubalozi wa Qatar amejenga msikiti Coco Beach

    MamaSamia2025 anaupiga mwingi. Tayari katujengea msikiti wa kisiasa Coco Beach. Tayari Kawe Beach nyuma ya Kikwete kwenye soko la samaki kunajengwa msikiti. Feri soko la kimataifa la samaki panajengwa msikiti. Mama endelea hivyo hivyo
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Sala ya Iddi kitoka Msikiti Mkuu wa Bakwata, Kinondoni DSM: Mgeni Rasmi Baraza la Iddi ni Rais Samia, JK, Salma, Mchengerwa Ndani!. Eid Mubarak!

    Wanabodi Nafuatilia live ya Swala ya Idd El Fitri kupitia TBC live!, kutokea kwenye Msikiti Mkuu wa Bakwata, Msikiti wa Mfalme Mohammed wa 6 wa Morocco, Kinondoni jijini Dar es Salaam. Karibuni https://www.youtube.com/live/c2Ad4IXVKUU?si=OMJZtMBCkCXGDagu Nimemuona Rais Samia amehudhuria ibada...
  8. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Ilikuwakuwaje ukajikuta unaabudu katika hilo kanisa au msikiti?

    Moja KWA moja, binafsi nilijikuta KWA sababu walionilea walikuwa wanasali humo (SDA). Yaani dini ya kurithishwa. Lakini katika ukubwa na kujitambua nilikaa upya kutathmini na kuanza kukagua upya ninachokiamini nikilinganisha na imani nyingine na kuamini upya kabisa katika imani hii. MENGI...
  9. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuna msikiti ndani ya hospital ya rufaa ya Tanga( Bombo)

    Wakuu hivi kwanini kuna msikiti ndani ya hospital ya rufaa mkoa wa Tanga(Bombo) na kwanini ulijengwa ila by the way nimpongeze aliyetoa wazo la ujenzi wa huo msikiti Allah ambariki uislamu ni dini ya haki.
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Video: Kipindi cha Mfungo Majini yanafunga, yanaenda kuhiji na kutoa Sadaka. Yanakuwa Msikitini Mecca

    Kuna majini ambayo hufunga nayo kipindi hiki na wataalamu wanasema hata takwimu za Ajali hupungua sana na vifo vya ghafla kipindi hiki. Majini mengi yanakuwa kwenye mfungo na pia yanatubu kwa mola wao allah. Ukienda Mecca kuna msikiti upo ambao yanahudhuria ibada yakiwa huko kuhiji. Na pia huwa...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Harmonize kumalizia ujenzi wa Msikiti ulioanzishwa na Diamond mtwara mwaka 2018 na kuuita 'Masjid Naseeb'

    Msanii wa Bongo Fleva, Harmonize, ametangaza kuwa atamalizia ujenzi wa msikiti ambao Diamond Platnumz aliuanzisha kijijini kwao Mtwara mwaka 2018. Kupitia Insta Story yake, Harmonize amesema kuwa msikiti huo ulianzishwa baada ya wao wawili kujadili umuhimu wa kusaidia jamii na kuwekeza mbele za...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia ameahidi kujenga Msikiti wa Kisasa Vigwaza/Migude wenye hadhi ya Rais. Sheikh Walid ampigia debe urais 2025

    Rais Samia ameahidi kujenga msikiti wa kisasa wenye hadhi ya Rais katika Kitongoji cha Migude, Kijiji cha Milo, Kata ya Vigwaza Wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani. Hayo yamesemwa na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Sheikh Walid Alhad Omary wakati alipotembelea msikiti huo ambao hali yake...
  13. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi wa RITA waibua ufisadi wa zaidi ya shilingi Bilioni 2 katika Msikiti wa MANYEMA, Kariakoo

    Taasisi ya Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) imebaini ubadhirifu mkubwa wa mali na fedha zinazozidi Shilingi bilioni 2 katika Msikiti wa Manyema uliopo Kariakoo, Dar es Salaam. Matokeo haya yamepatikana kupitia ukaguzi wa kina wa mali na mapato ya msikiti huo, kama ilivyotangazwa na Mkurugenzi...
  14. innocentmark

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Misikiti mingi inakodisha Frame za biashara na kulaza Magari katika maeneo yao ya msikiti?

    Hivi niseme kutafuta vyanzo vya mapato katika msikiti na kwanini ni wao tu mbona Makanisa katoliki hakunaga utaratibu huu? Na wale wazee wanakuwepo pale Kkoo na bango la msaada wa ujenzi Msikiti huwa ni kweli au imani anakaa juan kuanzia asubuhi hadi jion au ni imani imemtuma?
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wajasiriamali wanaofanya biashara pembezoni mwa msikiti wa Mtoro Kariakoo watimuliwa

    Wajasiriamali wanaofanya biashara pembezoni mwa msikiti wa Mtoro wameitaka serikali kuingilia kati mgogoro unaoendelea kati yao na uongozi wa msikiti huo ambapo umewataka wafanyabiashara kuondoka eneo la barabara ambalo wanafanyia biashara kabla na baada ya matengenezo ya barabara. Akizungumza...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mavunde Aahidi Kushirikiana na Waislamu Majengo Kukamilisha Ujenzi wa Msikiti

    MBUNGE MAVUNDE AAHIDI KUSHIRIKIANA NA WAISLAMU MAJENGO KUKAMILISHA UJENZI WA MSIKITI ▪️Achangia saruji tani 10 ▪️Awapongeza waumini kwa kujitolea ujenzi wa msikiti ▪️Aahidi kutafuta wadau wa kukamilisha ujenzi 📍Dodoma Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde amewaahidi waumini wa...
  17. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Mke wa GSM amemzawadia mume wake bonge la msikiti na private jet

    Tutafute pesa aisee dunia haina huruma kwa mtu masikini hii yaani daa na tuangalie familia tunazo oa aisee wewe unaenda kuoa familia ya mwanamke ambaye kwao ni mkombozi wa familia kwamba siku wakiishiwa chakula au ada simu moja kwako unafikiri utatoboa hapo? Familia ya mkeo kutwa wakipishana...
  18. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Misikitini waanza kutumia mafuta ya Upako, Sheikh aonekana akinywesha watu mafuta katika ibada

    Sheikh huyu amekuwa akitumia mafuta ya upako na kuwanywesha watu wenye matatizo mbalimbali waliohudhuria swala msikitini.
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wayahudi wangekuwa na roho mbaya na itikadi za kitapeli tapeli huo msikiti wa Al-Aqsa ungekuwa ushaharibia muda mrefu

    Wayahudi wenyewe wanaamini hapo ulipojengwa msikiti wa al aqsa ndipo solomon alipojenga hekalu la kuabudu. Ndio maana wamejitengea kasehemu kao maeneo hayo ambapo wanafanya ibada na hija. Sasa niambie kama ingekuwa ni wale ndugu zetu wengine unafikiri hekalu wangeliacha hivi hivi...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Video: Masjid Maamur, Msikiti unaohudhuriwa zaidi na matajiri wa nchi (Waarabu na Wahindi), Gari zinazopaki zinaduwaza

    Hakuna Toyota za wajapenga, Ni vyuma classic vya ulaya kama Ferrari, G wagon, Posrche, Bentley, Lamborgini, n.k.
Back
Top Bottom