EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,713
- 35,525
Salwan Momika, anayesemekana kuwa mzaliwa wa Iraq anayeishi Sweden, alichoma moto nakala Quran mbele ya msikiti mkuu wa Stockholm siku ya Jumatano.
Mataifa ya Mashariki ya Kati yakiwemo Iraq, Iran, Saudi Arabia na Misri yamekosoa vikali uchomaji huo.
Na Uturuki, imesema kuwa ni "kitendo cha kudharau" huku Morocco ikimrudisha nyumbani balozi wake wa nchini Sweeden kufuatia kuchomwa kwa Koran kwenye maandamano mjini Stockholm.
BBC
=====================
Hii inanikumbusha miaka flani msanii wa Ufaransa alichora katuni
Jamaa wakahisi kachorwa "Mo"
Waliwasha moto utafikiri wapo nchini kwao. 😅😅😅😅😅😅 mkiona mnanyanyaswa si mnarudi tu makwenu