Huu hapa msikiti wa Bikira Maria uliopo Dubai

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,121
27,128
Msikiti unaitwa " Maria Mama wa Yesu" na unapatikana Dubai.

Wakristu na waislamu huwaga ni wale wale.

Ndio maana akina Yericko Nyerere wameona warudi zao kwenye dini za asili za kumuomba Mungu kupitia mababu.

As for me, I shall go with my traditional ancestral veneration.

Sifuati dini ya Mzungu wala ya mwarabu.

1692642908698.jpg
 
Mary-4.jpeg
 

Attachments

  • images (2).jpeg
    images (2).jpeg
    7.6 KB · Views: 3
  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    10 KB · Views: 3
  • Mary-3.jpeg
    Mary-3.jpeg
    34.3 KB · Views: 2
Wazungu na waarabu wanayachora tu mazuzu ya kiafrika yanayo shupaza Shingo kupigania dini za wenyewe.
Kuukataa ukweli bado hauubadili ukweli kuwa uongo ni sawa sawa na mtu akatae hakuna kufa na wakati watu kila siku wanakufa , atheists na polytheist kama wewe mna kitu kimoja in common.

Mna bend reality iweze kufit kile mnachokiamini /kukikubali.
 
Msikiti unaitwa " Maria Mama wa Yesu" na unapatikana Dubai...


Wakristu na waislamu huwaga ni wale wale..

Ndio maana akina Yericko Nyerere wameona warudi zao kwenye dini za asili za kumuomba Mungu kupitia mababu.

As for me,.I shall go with my traditional ancestral veneration.

Sifuati dini ya Mzungu wala ya mwarabu.

View attachment 2724538
Ni umbali gani kutoka msikitini hadi makao makuu ya DPW?
 
mariam sio msikiti tu.hadi surah katika quran anayo.surah ya 19.hakuna cha ajabu
 
Back
Top Bottom