Zacht
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 1,009
- 2,197
Trocadero Ilijengwa mwaka 1896, ni mojawapo ya majengo ya burudani maarufu zaidi ya London
Tajiri Asif Aziz anajenga msikiti huo wa gorofa tatu ndani ya jengo la Trocadero
Msikiti huo ambao utakuja kuitwa 'Piccadilly Prayer Space' utafunguliwa ndani ya miezi kadhaa.
Iakini upango huo umepata Wakosoaji kadhaa ndani na nje ya uislamu wamehoji ikiwa inafaa kujengwa msikiti katika eneo lililojaa baa za kuwenyea pombe, night clubs, na kumbi za mashoga ambazo zote haziendani na Uislamu na zinachukuliwa kama ni dhambi.
Bw Aziz mzaliwa wa Malawi, ambaye anamiliki utajili wa zaidi ya Pauni 2 bilioni na alinunua Trocadero kwa zaidi ya pauni milioni 220 mwaka 2005, anaanzisha msikiti huo kupitia ufadhiri wake wa Aziz Foundation.
Aziz Foundation ilisema msikiti huo utahudumia Waislamu wanaofanya kazi katika eneo hilo, pamoja na wale wanaotembelea London kama watalii
Msikiti huo takuwa na uwezo wa kubeba watu 390
Mapendekezo ya hapo awali yalikuwa kujenga msikiti wenye uwezo wa kubeba watu 1,000 lakini uliondolewa mnamo 2020 kufuatia upinzani kutoka kwa wakazi wa eneo hilo lakini Pia na vikundi vya Watu wenye mrengo wa kulia.