msichana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Juandeglo

    Naongea na msichana au binti

    Upendo sasa hivi katika mahusiano ya kimapenzi, bila kuwa na MUNGU ndani yako hesabu ni maronyaronya. Jione uko sokoni tu unasagulasagula. Tena soko la kikundi morogoro Usijipe uhakika hata robo vinginevyo umeamua kumuishi MUNGU kwa kufata sheria na amri zake. Mambo mengi yamebadilika, nyakati...
  2. Amina68

    SoC01 Manka binti mrembo, Mzaliwa wa Machame na mkazi wa Tandale alivyobahatika kuacha ukahaba mpaka kuwa dereva Ikulu

    Kwa majina naitwa Manka, Mzaliwa wa Moshi Machame, mkazi wa Tandale Dar es salaam. Nilifanikiwa kuanza masomo yangu ya msingi Dar, na kufanikiwa kujiunga masomo ya Sekondari shule wanafunzi wenye vipaji maalumu Tabora Girls, ambapo nilisoma mpaka kidato cha nne, na kufanikiwa pia kuendelea na...
  3. Ethan Cruz

    Mambo ya kuzingati wakati unamnunulia msichana zawadi

    MAMBO YA KUZINGATI WAKATI UNAMNUNULIA MSICHANA ZAWADI 1. Vyema ufahamu aina gani ya zawadi msichana hupendelea. Yaani inafaa ujue interest za msichana wako. 2. Zawadi utakayompatia isiwe chakula au kinywaji atakachokimaliza na isibaki kumbukumbu ya kudumu kuwa uliwahi kumpa zawadi. Jiahidi...
  4. sinza pazuri

    Paula anaweza kuwa msichana mwenye mafanikio mpaka dunia ikashangaa

    Nimeona mitandao ikimbeza sana Supastaa wetu mpya wa kike Tanzania mtoto wa Kajala aitwae Paula. Wengi wanamchukulia Paula kama mtoto wa kike aliyeshindikana na amepoteza uelekeo wa maisha. Wengine sababu ya elimu sababu hakufanya vizuri darasani. Na kuna wanafki wanasema kaanza mapenzi akiwa...
  5. Jstar1

    Msaada: Nimempenda Msichana ambaye hapendi Mwanaume mwenye mtoto. Mimi ninaye mtoto ila hafahamu

    Imepita takribani wiki, nilkutana na msichana mrembo anasajili laini, style ya kuingilia nikasajili laini, nikaomba no. aliniona smart sana maana nilimpgsha story za madini. Ni msichana mrembo sana ana umri wa miaka 19, kamaliza form 4 2019, ila anaonekana n mschana mpambanaji, nljarbu kugusia...
  6. Roving Journalist

    Zanzibar: Msichana wa kazi abakwa na Boss wa Miaka 74, Polisi wadaiwa kupoteza Ushahidi

    MSICHANA WA KAZI KABAKWA NA MZEE WA MIAKA 74 AMBAYE NI BOSS WAKE MKAZI WA BUBU, ZANZIBAR, POLISI WADAIWA KUPOTEZA KESI! Mheshimiwa Rais Hussein Mwinyi aombwa Kuingilia kati sheria ifuate mkondo Bubu, Zanzibar. Mzee Sadalla Juma Sadalla mwenye umri wa miaka 74 mkazi wa Bubu, Zanzibar...
  7. Jembe Jembe

    Arusha: Mtanzania afika kilele cha Mlima mrefu zaidi duniani, Mlima Everest

    Binti wa Kitanzania Rawan Dakik, (20) aliyepanda mlima Everest ambao ni mrefu kuliko yote duniani, ametua nchini na kupokelewa na Naibu Waziri, Wizara ya Maliasili na Utalii, Mary Masanja kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro, (KIA) ambaye amemtangaza kuwa Balozi wa utalii ndani na...
  8. Nangose 1

    Msichana wa kuwa naye kwenye mahusino anatahitajika

    Kama wewe ni msichana mzuri na upo Morogoro Mjini (Municipal) basi njoo PM tuyajenge. Umri usizidi miaka 22, Dini ni yoyote ile Elimu, kama umefika IV na ukajiendelezaendeleza kidogo you derseve, mimi mwenyewe ni damumbichi Niko under 25yrs na Elimu yangu Niko na Bachelor's Degree. Karibu...
  9. thegreat1510

    Msaada: Nahofia nitakuwa single milele

    Nina miaka 20, lakini sijawahi kuwa kwenye mahusiano na msichana yeyote. Siko romantic kabisa. Sina aibu lakini najikuta nashindwa kutabasamu mara kwa mara na msichana jambo linalopelekea wengi wao waniogope. Ninatumia njia ya kufanya mazoezi kupunguza hisia za mapenzi, sijisikii vibaya kuwa...
  10. Kiume3000

    Makosa kwa kijana anapomtumia ujumbe mfupi mwanamke

    Wakati kila siku mara moja au zaidi huwa tunawatext wanawake. Aidha wawe ni wapenzi wetu, tunaowatongoza ama marafiki zetu. Na kila siku huwa tunapatwa na changamoto mbalimbali kutokana na matangamano yetu. So huwa kunakosekana nini? Ifuatayo ni orodha ya mambo 5 makuu ambayo wanaume wengi...
  11. single father

    Sina hamu ya kuendelea na mchakato wa ndoa tena

    Za jioni wakuu, Bila kupoteza muda kama kijana nilipata demu tukaenda sawa na process zote za ndoa ziko tayari bado mwezi mmoja tu ila cha ajabu kila nikimuona saa hivi naona hanivutii kabisa kila siku namtafutia sababu lakini anapangua maskini dada wa watu analia kila Siku sijui nimepatwa na...
  12. MR.NOMA

    Msichana wa 36 anasumbuliwa sana na Maumivu ya Kiuno. Afanye nini?

    Wakuu kwema? Tunaomba msaada wa kitabibu/ ushauri ili huyu mwanamke apone. It's more than 5 years ila saiz hali ndio inazidi kuwa mbaya Zaidi, huyu ni binamu yangu analalamika kuumwa na kiuno na sehem ya chini ya mgongo. Ameenda hospital wanamwambia tatizo hilo limesababishwa na uzazi na kuanza...
  13. adonack

    Naanzaje kumtongoza huyu msichana aliyekuja ofisini kwetu?

    Ndugu zangu tusaidiane swaga apa kidogo. Leo ofisini kuna msichana alikuja, mimi nilitoka ile narudi ndo nikamuona pale. kwa ule uzuri nikashindwa hata kusalimia sasa baada ya yeye kuondoka ikabidi nikaangalie namba yake kwenye daftari la maudhurio niko nayo apa sjui nianzaje.
  14. Redpanther

    Ku-date msichana aliye na umri kuanzia 27 na kuendelea raha sana, chini ya hapo stress mwanzo mwisho

    Habari za wakati huu, watu wangu wa nguvu hapa jukwaani, Jukwaa pendwa sana la MMU. Niwape pole ndugu na jamaa ambao siku yao imewamendea vibaya kwa namna moja au nyingine. Acha niende kwenye mada yangu, kwa sasa nina date mdada mmoja hivi yuko 28 hivi, huyu mdada anajitambua na pia anajua nini...
  15. MR.NOMA

    Msichana alivyonizingua na kuniacha, sielewi kitu

    Wanajanvi kwema? Ninaleta kwenu stori ya kweli ya mkasa uliyonikumba mimi mwenyewe hivi karibuni. Miezi minne iliyopita nilikuwa safarini kutokea Singida Kuja Dar, nikiwa stend Singida nilipanda bas lililotokea Mwanza kuja Dar, bahati nzuri siti ya Jirani kulikuwa na Msichana mwembamba mrembo...
  16. GENTAMYCINE

    Msichana wa Kazi wa Jirani yangu ana tabia hizi je, atakuwa anasumbuliwa na tatizo gani labda?

    Kitu chochote tu akikisikia ama kiwe hakichekeshi au kweli kinachekesha atatumia muda mrefu 'kuchekacheka' huku 'akirembua' Macho yake. Na hata akienda Kuchota Maji Bombani utaona akijifunua funua Nguo yake ( Dela ) huku akijiangalia Matiti yake na Makalio yake ambayo hata hivyo Mwenyezi Mungu...
  17. E

    Wale wadada 'wanaojisikia' sana vyuoni

    .
  18. Antibiotics

    Natafuta msichana wa kuanzisha nae uchumba

    Hello Guys mimi ni Mwanaume miaka 30,naishi Dar,Am serious natafuta mchumba,Awe mkristu,mrefu wa wastani,maji ya kunde au mweupe asilia,Asiwe na mtoto,Elimu kuanzia form four na kuendelea, Awe au asiwe na kazi kwangu sawa tu,kabila lolote kutoka mkoa wowote,awe mcha Mungu na mwenye hofu ya...
  19. Kyawanjubu

    Nimetembea na msichana wangu wa kazi, mke kajua kimenuka

    Habari zenu ndugu zangu, Nimekua nikipata misusuko kwenye mahusiano na mke wangu huyu hii imekua too much, mke wangu alifiwa na baba yake tukaenda msibani, nyumba tukamwachia dada wa kazi, baada ya mazishi mimi nikarudi nyumbani, tumekaa siku tatu siku ya nne nikashindwa uvumilivu kama ile...
  20. tang'ana

    Hivi kuna haja ya kuendelea kuwasiliana na msichana uliyemtongoza akakukataa?

    Wakuu habari zenu, Mfano kuna manzi ulikua unamfeel mbaya halafu ukamweleza hisia zako ye akakuchomolea na haoneshi kukupenda kwa namna yoyote ile ingawa we unajipendekeza kumtafuta mara kwa mara. Je kuna haja ya kuendeleza mawasliano na yeye au solution ni kumpotezea tu?
Back
Top Bottom