Familia moja katika kaunti ya Kisii imeitaka serikali kuwasaidia kurudisha mwili wa binti yao kwa mazishi baada ya kufariki Saudi Arabia.
Naomi Barongo alifariki miezi miwili iliyopita katika hali isiyoeleweka baada ya kwenda Saudi Arabia mwaka 2021 kutafuta kazi.
Jamaa zake wamekuwa...
Msichana Afa Maji Akiogelea Kwenye Swimming Pool Huku Akijirekodi Live Kwenye Facebook
Hellen Wendy raia wa Kenya na nesi kwa taaluma aliyekua akiishi nchini Canada amefariki dunia jana kwenye swimming pool akiogolea uku akiwa live kupitia ukurasa wake wa Facebook.
Taarifa za awali zimedai...
Nimetranslate kama ilivyo, kama itakua wrong mtanisahihisha.
Msichana mdogo kutoka "State of Tiarat" Ya Algeria huvutia watu kupitia mitandao ya kijamii, kwa sababu ya uzuri wa sifa zake za kipekee, macho yanayong'aa na nywele zake ndefu nyeupe nyeupe, kana kwamba ni mhusika wa hadithi za...
Kujua kutasababisha kuokoa mda utakaosaidia katika kulijenga taifa.
Utakuta umewekeza zaidi ya miezi miwili kwa mtoto wa mtu, mwisho wa siku ni kutokujibiwa text, kublokiwa, na kadhalika. Unakuwa umepoteza mda wako bure.
Utajuaje hapa napoteza mda na huyu msichana ajavutiwa nami. Ukute men ni...
Ebu tuache kubuni vitu visivyokuwepo, ivi ni kweli kabisa huyu mdada mzuri kiasi hiki anaishi?. Basi kama ni kweli maisha anayopitia niyakero sana maana kila hatua mbili Gari zitagongana kila mtu akijitahidi kuweka dau lakuchukua rasilimali isiyohamishika.
Dah [emoji22], hii dunia inanipita...
Wadau kwema embu naomba mliwahi ku date na wadada toka nje ya bara la Africa hasa wazungu karibu ku share ni kituko gani au kadhia unayokutana nayo au ulikutana nayo kwa mara ya kwanza.
Kuna jamaa mmoja alikuwa ana date na mzungu, basi siku mmoja akatutolea siri akidai wadada wa kizungu...
Tunakutana na watu wengi, tunatamani kujiusisha nao kingono. Mara kadhaa tunasikia mtu na mtu wamenasana au baada ya kula mzigo sehemu alifariki au kawa kichaa na kadhalika.
Maana kiuhalisia kunawengine walifungwa maagano wakiwa wadogo ata wao hawajijui Ila ukiingia tu imekula kwako.
Je...
Kijana anayefahamika kwa jina Benard Mkolwe mkazi wa kata ya Madilu, wilaya ya Ludewa mkoani Njombe, amepigwa na kuvunjwa mikono na miguu baada ya kukutwa na msichana Sara Mgohole anayedaiwa kukutana naye nyumbani kwao kwa lengo la tendo la ndoa ikiwa ni siku ya kwanza tangu waanze mahusiano...
Yes he broke your heart.
Naam yawezekana aliuchubua moyo wako ,mithili ya mchinjaji anayetayarisha nyama kwa ajili ya walaji wenye uchu.
Na yawezekana kwa sababu umeonesha kila dalili ya mfadhaiko na malalamiko chungu nzima juu ya kile unachokiita ufedhuli kama sio unyama wake dhidi yako.
Yes...
HUKUMU YA MZEE SADALLA JUMA SADALLA (74) ALIYEMBAKA MSICHANA WA KAZI ZANZIBAR,ITASOMWA SIKU YA JUMATATU 21 MACHI 2022 KATIKA MAHAKAMA UA VUGA,UNGUJA.
Mzee Sadalla Juma Sadalla (74)mkazi wa Bububu,Unguja anayeshitakiwa kwa kosa la kumbaka mshichana wake kazi (jina limeifadhiwa) atarajiwa...
Wakuu heshima kwenu,
Bila kupoteza muda niwe straight. Nipo kwenye mahusiano na msichana ambaye kimsingi ana maadili, mzuri wa sura na maumbile yake, tabia zake, anajua mapishi, ana akili kwa ufupi ana sifa zote za wife material.
Sasa huyu binti hivi karibuni amepata sana bahati za watu ambao...
Natafuta mdada wa kazi za ndani,
Mshahara- 60,000
Sehemu-kinondoni
Dini - yeyote
Aina ya familia atakayofanyia kazi ina Baba , mama na Mtoto wa miaka 4.
Atakayekuwa tayaru nicheck Dm
Update “nmeshapata”
Naombeni tuzungumzie jinsi gani utamtambua mwanamke anaekupenda ila anashindwa kusema!!
Participation kubwa itoke kwa wadada na wanawake, tunaomba mtiririke!!! Na kwa wanaume mnaofahamu situation hii kazi ni kwenu!
Sitaki matusi! Au kuambiwa " shule zinafunguliwa lini". Kama huna cha kujibu, basi!
Kuna binti nimeanza kumpenda najitahidi nisimpende tatizo hisia zishalalanae mbele, kwa yule wa kwanza tulieachana alinichezesha muvi la kihindi huyu sasa sijui itakuwaje.
Sina mengi ila tuombeane tu mambo yaende safi maana mpaka hivi sasa naona nina degree ya kuumizwa moyo wangu nao unazidi...
Mimi DJ. DON NALIMISON Ni Mwanamuziki hivyo lazima nioe Mwanamuziki. Mimi Ni producer wa Muziki hivyo lazima nioe producer ili mipango yangu ikae sawa. Mke wa kufanana naye katika makubaliano.
Kama wote ni wasanii mtaishi na kuelewana na kuendana kitabia maana mko field moja. Mimi Sina mtoto...
Salaam!
Utenzi huu unabeba dhima ya neno "Ukatili" ambalo limekuwa likitajwa sana, lakini watu wengi wameshindwa hasa kuelewa neno hilo lina maana gani. Shairi hili lipo katika mtindo wa masimulizi kuhusu matukio ya ukatili yanayotokea ndani ya familia, ambapo mabinti yatima mapacha waliokuwa...
Msichana wa kwa ajili aje auze Duka la makasha ya simu na charger nk.
Awe anaishi kwao umbali wa kutembea tu karibu na pale PALM VILLAGE Mikocheni A ili mambo ya nauli yasiwepo.
Malipo kwa mwezi ni shs.100,000/- (laki moja Tu) kwa kuanzia.
contact 0628501029
Asanteni.
Wewe:Oya!
Yeye:Niambie!
Wewe:Mzima?
Yeye:Mimi mzima wewe je
Wewe: Niko poa
Yeye:Okay
KUNA JAMAA MWINGINE YUKO ONLINE ANA-CHAT NA MSICHANA HUYO HUYO KWA STYLE HII:
Jamaa:Mambo mrembo wewe
Msichana:poa mzima wewe?
Jamaa:Mimi Niko poa kabisa halafu kila nikipata nafasi ya kuchat na wewe...
Mwanafunzi wa chuo kikuu huko Senegal yuko amejipata mashakani baada ya kuvalia kama mwanamke ili kumfanyia mpenzi wake mtihani wa somo la Kiingereza.
Picha za Khadim Mboup akiwa amevalia nguo za wanawake zimesambazwakatika mitandao ya kijamii na katika vyombo vya habari nchiniSenegal...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.