Msaada: Nahofia nitakuwa single milele

hermanthegreat

Senior Member
Mar 2, 2021
166
500
Nina miaka 20, lakini sijawahi kuwa kwenye mahusiano na msichana yeyote. Siko romantic kabisa.

Sina aibu lakini najikuta nashindwa kutabasamu mara kwa mara na msichana jambo linalopelekea wengi wao waniogope.

Ninatumia njia ya kufanya mazoezi kupunguza hisia za mapenzi, sijisikii vibaya kuwa mpweke, napojitahidi kutongoza msichana najikuta naanza kumshauri badala yake.

Mbali na kuwa vizuri kitaaluma pia niliwahi kuwa head boy (hp) shuleni lakini hiyo haikuwa na msaada wowote kwangu kupata watoto wazuriwazuri, nahofia nitakuwa single milele nifanyeje?
 

Brigadier Isaac

JF-Expert Member
Jan 2, 2021
265
1,000
Hiko kipindi mimi mwenyewe nimewai pitia miaka kama yako afadhari ya wewe mimi nilikuwa kama terminator fulani no feelings
Ubaya sasa wanawake wengi walikuwa wanajiweka target ila nilikuwa naona kama mapenzi usumbufu basi ilikuwa ni mwendo wa kuwatolea nje mpaka marafiki zangu walikuwa wananicheka ila nilikuwa sijali mimi zangu zilikuwa magemu,mazoezi na kusoma vitabu

Kwa hiyo dogo huo muda ni mzuri wa kujifunza mambo mbalimbali kama mpira ,mziki,kuogelea,michezo ya ngumi. Pia, hapo ndio muda mzuri wa kujenga maisha yako ya baadae hayo mapenzi huwa yanakuja baadae kwa sasa achana nayo kabisa

Wewe saivi furahia ujana wako vizuri
 

T14 Armata

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
4,260
2,000
Usipokuwa romantic kama mimi utakuwa ni vigumu kutimiza hata anniversary moja na mpenzi wako. Mimi situmii nguvu wala ushawishi kutongoza, ninaonekana nina jeuri na ubabe ingawa sijioni, siwezi kuwa na multiple relationships na sijui sana kubembeleza. Mimi kutext mtu mara tatu tofauti na asijibu inaweza nifanya nifute namba yake kabisa.

Kwa hali hii siwezi date na mtu muda mrefu. Nafanya kimasihara au fuckmates basi ila mapenzi nishaambiwa siko nayo serious. Natongoza mtu leo kwa sentensi mbili, narudi kwake mwezi ujao. Niko hopeless
 

hermanthegreat

Senior Member
Mar 2, 2021
166
500
Hiko kipindi mimi mwenyewe nimewai pitia miaka kama yako
afadhari ya wewe mimi nilikuwa kama terminator fulani no feelings
Ubaya sasa wanawake wengi walikuwa wanajiweka target ila nilikuwa naona kama mapenzi usumbufu basi ilikuwa ni mwendo wa kuwatolea nje mpaka marafiki zangu walikuwa wananicheka ila nilikuwa sijali mimi zangu zilikuwa magemu,mazoezi na kusoma vitabu

Kwa hiyo dogo huo muda ni mzuri wa kujifunza mambo mbalimbali kama mpira ,mziki,kuogelea,michezo ya ngumi
Pia hapo ndio muda mzuri wa kujenga maisha yako ya baadae hayo mapenzi huwa yanakuja baadae kwa sasa achana nayo kabisa
Wewe saivi furahia ujana wako vizuri
shukrani sana kwa ushauri
 

jerrybanks

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
3,097
2,000
Nina miaka 20, lakini sijawahi kuwa kwenye mahusiano na msichana yeyote. Siko romantic kabisa,

Sina aibu lakini najikuta nashindwa kutabasamu mara kwa mara na msichana jambo linalopelekea wengi wao waniogope.

Ninatumia njia ya kufanya mazoezi kupunguza hisia za mapenzi, sijisikii vibaya kuwa mpweke, napojitahidi kutongoza msichana najikuta naanza kumshauri badala yake.

Mbali na kuwa vizuri kitaaluma pia niliwahi kuwa head boy (hp) shuleni lakini hiyo haikuwa na msaada wowote kwangu kupata watoto wazuriwazuri, nahofia nitakuwa single milele nifanyeje??
punguzo punyeto kijana
 

Jaiter

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
523
1,000
Watu wa aina yako siku mkiyazibukia mapenzi mnakuwa walafi mpaka watu wanajishika midomo... Bora msubiri subiri
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom