Shikamoo wakubwa pole na majukumu na mihangaiko mimi ni mgeni naomb mnipokee .
Shukrani nyingi ziende kwa mwanzilishi wa JamiiForums kutokana na kuazisha jukwaa hili kupitia jukwaa hili nimejifunza mambo mengi mazuri pia shukrani kwa kaka Mshana jr kwa kutoa elimu mbalimbal kifupi nimejifunza mengi sana mazuri