Mshahara wa Internship private sectors upoje?

Inategemea na sehem husika. Kuna wengine hawalipi hata senti. Wengine wanatoa posho ya nauli. Kuna sehem wao wanatoa 300,000/- kwa mwezi.

Kila sehem wana taratibu zao, wengine wanachukua miezi mitatu, ikiisha unaweza kuongezewa tena mitatu ila si zaidi ya hapo. Wengine miezi sita n.k
 
Ukweli ni kwamba kampuni nyingi intern hawalipwi,kampuni chache znalipa 150,000,nyingine 300,000 mpaka 450,000 .kamouni nyingine ww ndo utalipa ili ufanye intern kwao
 
shhukrani
 
duhh kwa mda gani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom