Mahmoud Ahmadnejad: Rais aliyekataa mshahara mkubwa na kuendelea kupokea mshahara wa mwalimu na kurudi na kufundisha baada ya miaka 8 ya urais

The unpaid Seller

JF-Expert Member
Oct 27, 2019
1,876
5,443
Mwanaume Aliyeitawala Iran kwa Miaka 8 akiingia kwenye Basi kwenda Kazini kama mwalimu, kazi yake kabla hajawa rais.

Rais wa zamani wa Iran Mahmoud Ahmadinejad, ambaye aliongoza taifa la Iran kwa miaka 8, sasa anafanya kazi kama mwalimu.

Picha ya Ahmadinejad akitumia usafiri wa umma ilionekana kwenye mtandao wa kijamii. Rejea ilitolewa chini ya picha kwamba katika kipindi cha miaka 8 ya uongozi wake Ahmadinejad hakupokea hata mshahara wa rial kutoka kwa bajeti ya serikali, akiishi kwa mshahara wa mwalimu. Wakati wa urais wake, hakuanzisha sheria ya urais wa zamani ili kupokea pensheni kubwa. Alirudi kufundisha tena, na kama unavyoona, anapanda basi kwenda kazini.

Hebu fikiria Rais wa zamani kujiunga na usafiri wa uma, yani kupanda dala dala tena akikosa seat anasimama na wala haoni shida. Na je vipi kwetu Africa tunaweza kupata kiongozi wa namna hii ?! Africa yetu hii kwa kina Mobutu waliojichimbiaga mahandaki yenye azina ya mabillion ya fedha.

(inasemekana Mobutu alikua na hazina na Trillion 8 ndani acha fedha alizojiwekea kwenye mabenki ya nje kama Finland, Malaysia, Canada nk)

Screenshot_20230517-142353_Quora.jpg
 
Mmmh, inafikirisha sana!

Maana vijana wa leo wanamnanga sana Mwalimu JKN kwa maisha yake ya 'kawaida sana' aliyoyaishi akiwa Rais na hata baada ya hapo, na kutowapendelea wanae kwenye nyadhifa.

Haya watukanaji, mmepata mwingine wa kumtukana. This time around ni Muiran Ahmedinejad.
 
Alafu huyu jamaa amesha jaribu kugombea uraisi tena lakini tume ya uchaguzi imekuwa ikimfanyia figisu na kumtema ili asigombee.
Inavyo onekana hata wana siasa ndani ya Iran hawampendi maana wana muona ni hatari kwa masilahi yao.

Na pia kingine ni mtu mwenye msimamo mkali sana dhidi ya Marekani na Israel hivyo wanaofia akirudi Madarakani ana weza kuitumikiza Iran kwenye vita na Israel na Marekani.
Kipindi cha utawala wake kiligongana na kipindi cha utawala wa Obama nchini Marekani kitu ambacho kilichangia kuepusha vita kati ya mataifa hayo mawili, lakini iwapo utawala wake ungegongana na utawala wa Trump wenda Marekani na Iran wangepigana vita.
 
Mwanaume Aliyeitawala Iran kwa Miaka 8 akiingia kwenye Basi kwenda Kazini kama mwalimu, kazi yake kabla hajawa rais.

Rais wa zamani wa Iran Mahmoud Ahmadinejad, ambaye aliongoza taifa la Iran kwa miaka 8, sasa anafanya kazi kama mwalimu.

Picha ya Ahmadinejad akitumia usafiri wa umma ilionekana kwenye mtandao wa kijamii. Rejea ilitolewa chini ya picha kwamba katika kipindi cha miaka 8 ya uongozi wake Ahmadinejad hakupokea hata mshahara wa rial kutoka kwa bajeti ya serikali, akiishi kwa mshahara wa mwalimu. Wakati wa urais wake, hakuanzisha sheria ya urais wa zamani ili kupokea pensheni kubwa. Alirudi kufundisha tena, na kama unavyoona, anapanda basi kwenda kazini.

Hebu fikiria Rais wa zamani kujiunga na usafiri wa uma, yani kupanda dala dala tena akikosa seat anasimama na wala haoni shida. Na je vipi kwetu Africa tunaweza kupata kiongozi wa namna hii ?! Africa yetu hii kwa kina Mobutu waliojichimbiaga mahandaki yenye azina ya mabillion ya fedha.

(inasemekana Mobutu alikua na hazina na Trillion 8 ndani acha fedha alizojiwekea kwenye mabenki ya nje kama Finland, Malaysia, Canada nk)

View attachment 2625170
Unawaona hao wenye suti?
 
katika marais bora wa Iran miaka ya hivi karibuni huyu jamaa ni namba moja. Sishangai kuwa anaishi hivi.
 
Back
Top Bottom