Kumwomba msamaha mpenzi wako mliepishana sana umri ni ngumu sana, wengine mnawezaje?

MFALME WETU

JF-Expert Member
Feb 1, 2021
3,498
8,700
Imagine mwanaume unapishana na mpenzi wako kwa zaidi ya miaka mitano af eti ukae kumwomba msamaha zaidi ya lisaa lakini haelewi 😀 aisee

Huyu nishambembeleza mpaka nmechoka kisa nilimwambia leo tutameet ila sijatokea ndo kamind siku nzima wakati kazaliwa 2004.!! think i should just swallow my pride..
Screenshot_20241029-202739~2.png

Wengine mnawezaje? Especially nyie masponsa
 
Ulipatwa na nini hukutokea sehemu mliyokubaliana? Inawezekana lilikuwa jambo genuine kabisa limekufanya usifike.... Hukukumbuka hata kumjulisha kuwa hutaweza kufika!? Je ni mara yako ya kwanza kutokutokea mnapokubaliana? Ukifanyiwa wewe hivi ulivyofanya haina shida hata kidogo? Maana yawezekana yeye pia aliacha mambo ya msingi akaenda mlikokubaliana halafu hujatokea.
 
Imagine mwanaume una pishanana mpenzi wako zaidi ya miaka mitano af eti ukae kumwomba msamaha zaidi ya lisaa lakini haelewi 😀 aisee

Huyu nishambembeleza mpaka nmechoka kisa nilimwambia leo tutameet ila sijatokea ndo kamind siku nzima wakati kazaliwa 2004.!! think i should just swallow my pride..
View attachment 3138570

Wengine mnawezaje? Especially nyie masponsa
Soma comment #3 kafunga mada.

Halafu mtu mwenyewe unajikuuuuza!

Unamzidi umri wakati kitandani anakuliza?

Kuvuliana nguo ndipo adabu zote za 'shikamoo' hufutwa.

Ukitaka uheshimiwe, ficha uchi wako usiuexpose kwa mtu unayemzidi umri kama unaitaka adabu kutoka kwake.

Mkivuliana nguo kama mnapishana umri, maana yake mmoja kajishusha na mmoja kajikweza, mko sawa.

Ni ngumu mno kulazimisha adabu kutoka kwa mwanamke unayemlala.

Sana sana atakuigizia adabu wakati anakuchezea kende zako huku anakung'ong'a.
 
Imagine mwanaume unapishana na mpenzi wako kwa zaidi ya miaka mitano af eti ukae kumwomba msamaha zaidi ya lisaa lakini haelewi 😀 aisee

Huyu nishambembeleza mpaka nmechoka kisa nilimwambia leo tutameet ila sijatokea ndo kamind siku nzima wakati kazaliwa 2004.!! think i should just swallow my pride..
View attachment 3138570

Wengine mnawezaje? Especially nyie masponsa
Ukiweza kukidate na binti aliyezaliwa kuanzia mwaka 2000 na tukamaliza mwaka mzima broo you can rule the world 🤣sijui mnanielewa vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom