msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nahitaji sehemu wanayouza nguo za ndani kwa bei ya jumla Kanda ya Ziwa

    Nahitaji kuanzisha duka la nguo za ndani Nahitaji msaada sehemu wanapouza jumla Mwanza, Kahama na Kanda ya Ziwa kiujumla
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nina degree ya Biotechnology and Lab Science. Nataka mwakani nijaribu kuapply Clinical Medicine. Je, watanikubalia?

    WanajamiiForums naomba kuuliza Nahitaji msaada pia Nina degree ya Biotechnology and Lab Science, nimesomea SUA nimegraduate tokea 2021 Nipo mtaan kazi sijapata lakini ndoto yangu ni kuwa Daktari. Nataka mwakani nijaribu kuapply CLINICAL MEDICINE. Je, watanikubalia maana kidato cha nne...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kutengeneza Audio Cover kwenye PC

    Msaada wakuu. Nina wav. kadhaa nahitaji kuzitengenezea Cover Audio kwa lengo la kuzipakia YouTube baada ya kukamilisha matayarisho Nimetoka kununua PC, sielewi chochote na sijawahi fanya hii kitu. Naombeni maujuzi wakuu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kufika Meatu (Simiyu)

    Wadau, Naomba muongozo, nataka kwenda Meatu Dc, mkoa wa Simiyu kuangalia fursa ya mifugo. Mabasi gani nipande kutokea Dar to Meatu na ni masaa mangapi yanachukua? Pia kijiji gani kuna mnada mkubwa wa mifugo? Asanteni.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Msaada kubadiki castom domain name ya bloger

    Msaada kubadiki castom domain name ya bloger nimehost free site katika infinity free hosting. Nikiplace inanigomea msaada
  6. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kukata rukaa Bodi ya Mikopo 2023

    Naomba kuuliza je page ya kusaini ya kuapeal inatakiwa kusainiwa na muhusika bila ushibitisho wa mamlaka flani ka mahakama, mwenyekiti au mtendaji. Msaada tafadhali
  7. JamiiForums Tanzania Msaada wakuu, kuna mtu anaweza kuniangalizia namba ya NIDA?

    Habari zenu, nimekwama nahitaji kuangalia namba ya NIDA ya binti yangu, ila nikiingia kwenye wrbsite ya NIDA naingiza taarifa vzur inagoma! Mwenye uwezo wa kunisaidia wakuu🙏
  8. JamiiForums Tanzania Msaada mtoto ameweka BBE machoni

    Naomba msaada huduma ya kwanza ni ipi. Mtoto mwenye umri wa miaka 6 ameweka BBE machoni pale, sasa kabla hajapelekwa hospital amesafishwa kwa maji macho yake. Je, wana JF kuna kitu Kingine cha kufanya? Msaada tafadhali
  9. JamiiForums Tanzania Msaada: Familia inahangaika namna gani watawasadia watoto wawili wa nje wa marehemu

    Habari wa JF, Kuna msiba wa ndugu mmoja jirani hapa. Sasa siku ya msiba walikuja watoto 2 wana umri wa miaka 5 na mama yao wanafanana sana na watoto mapacha wa kiume aliyozaa na mkewe wake ambao wana umri wa miaka 6. Ina maana jamaa alizaa nje watoto wamefanana na Baba yao ukiwaona ni kama...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Amekosa mkopo Chuo Kikuu, anahitahi angalau 50% tu

    Alisoma: Primary: English Medium. O level: private. A. Level: government Occupation: 1. Baba: mkulima. 2. Mama: mama wa nyumbani. Dogo ndio anashughulika na appeal yake now. Anataka ata least apewe hata mkopo wa asilimia hamsini tu. Je, kuna namna anaweza kusaidiwa katika hilo? Afanye...
  11. JamiiForums Tanzania Wataalam msaada please

    Nimewasha computer yangu yangu ni desktop aina ya dell Lakini inaniletea ujumbe huu shida Nini hapa wadau na nasolve aje ? Maana kisukari kishapanda hapa
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Dereva Bodaboda tulionunua ardhi Boko Mnemela tumetapeliwa, tunaomba msaada wa Serikali Kuu

    Mimi ni dereva Bodaboda napatikana Kata ya Mbezi Msumi hapahapa Dar es Salaam, tulijichanga tukanunua eneo la ardhi katika Kijiji kinaitwa Zumba kipo Boko Mnemela, Kibaha Mkoani Pwani, yaliyotukuta ni makubwa. Tulichofanya tulioneshwa eneo lenye ukubwa wa ekari 10, tukiwa Bodaboda 50...
  13. JamiiForums Tanzania Jela miaka 20 kwa kukutwa na bangi

    #HABARI Mkazi wa Kisiwa cha Maisome wilayani Sengerema mkoani Mwanza, Maisala Ramadhani (25) ameangua kilio mahakamani baada ya kuhukumiwa jela miaka 20 baada kukiri kosa la kukutwa na dawa za kulenya aina ya bangi nyumbani kwake. Hukumu hiyo ya kesi ya jinai namba 121/2023, imetolewa na Hakimu...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada voxy engine 1az fse inakula mafuta balaa. 1 litre per 3km

    Naombeni msaada. Nimenunua Voxy first generation engine ya 1az fse wengine wanaiita D4. Inakula mafuta balaa. 1 litre kwa 3km. Na kwenye mlima haina nguvu kabisa hada ukiwa na watu. labda uwashushe ndio uendelee na ni mwinuko mdogo tu. Nimejaribu kuuliza mafundi mbalimbali sijapata jibu...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Akisoma HGL anaweza soma Bachelor ya IT?

    Wakuu msaada wenu unahitajika. Kuna ndugu yangu amesoma masomo ya Arts O Level lakini hesabu yupo vizuri. Huyu ndugu yangu anataka akimaliza form six asome bachelor ya IT. Sasa anachohitaji kujua ni je ni combi gani anatakiwa lazima asome form 5 & 6 ili iwe rahisi kwa yeye kuapali bachelor ya...
  16. JamiiForums Tanzania Warranty ya simu refubrished ina msaada kwa mnunuzi endapo muuza simu akikataa kuitimiza pale simu itakapohitaji warranty?

    Habarini wakuu wa tech Tanzania, Kulingana na nilivyouliza swali hapo juu kwa yule mwenye uzoefu aliyekwisha wahi kukutana na kadhia kama hiyo.
  17. JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji vifaa vya mazoezi vya mtumba (Dumbbells)

    Wakuu habari. Nipo jijini Dar nilikuwa nahitaji dumb bells used au za mtumba au hata zile wanazotengeneza mtaani. Mpaka nakuja kuuliza humu ina maana sina pa kuanzia na naamini ntapata msaada humu. Uchumi kidogo umebana siwezi kununua vipya kwahiyo yoyote anaeweza nisaidie chimbo la dumb...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada: Njia ya kufungua account ya forex bila ya kitambulisho cha mpiga kura

    Wakuu, nahitaji kufungua account ya forex ambayo nitakuwa na uwezo waku withdraw. Nina taarifa zote ila sina tu hicho kitambulisho, kwahiyo naomba mnipe njia kama ina wezekana na kwa wazoefu mnisaidie experience zenu katika biashara hii.
  19. A

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenda Austria.

    Habari wakuu, Nina mpango wa kwenda Vienna-austria Kisha nielekee United kingdom.naomba kupewa miongozo kwa sababu Ni Mara yangu ya kwanza na ninaenda kibiashara zaidi na sjawahi kusafiri nje ya nchi kabisa japo Nina passport toka 2021 . Naomba kupewa miongozo ifuatayo tafadhali. 1.Ni kampuni...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wasaidie kupatikana kwa Mateka

    Wanaukumbi. Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wawasaidie kupatikana kwa Mateka, naona mambo yamekuwa magumu leo mwezi sasa walisema wanaenda Gaza kuifuta Hamas na kurudi nyumbani na mateka. “I say to the residents of the Gaza Strip! Those who can contribute to the...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…