Habari wana jamvi ,
Nina toyota crown nimekuwa nikiitumia kwa mda mrefu ,
Leo katika kuwasha gari asubuhi ,ghafla nakuta gauge /mshare wa mafuta haufanyi kazi vizuri ,yaani unashuka na kupanda mafuta yapo robo tatu tanki.
Vile vile odometer yaani kilometa za gari hazitembei kabisa ,yaani...