msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada wakuu ni app gani inatumika kuedit au kuweka maneno KWENYE picha kama haya

    Wakuu swali langu ni Hilo nataka nijue ni app gani inatumika KUANDIKA maneno juu ya picha hivyo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Maelezo kuhusu Akaunti ya benki ya CRDB

    Aisee naomba unisaidie kama unamjua mfanyakazi yeyote wa CRDB basi naomba nisaidie kumuulza haya maswali. 1. Nikiwa nataka kufungua account mpya ya CRDB naweza kupata card siku hiyo hiyo? 2. Account yangu ya zamani sijaitumia kwa miaka miwili kwa kifupi haipo active lakini mwaka huu mwezi wa 8...
  3. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Wakulima Vijiji vya Hai walalamikia changamoto ya tumbili kuharibu mazao, waomba msaada Serikalini

    Wakulima Katika baadhi ya Vijiji Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro wamedai kupata hasara kubwa kutokana na uharibifu mkubwa uliotokea katika mazao yao baada ya wanyama aina ya Tumbili kuvamia mashamba yao na kula mazao mbalimbali shambani. Baadhi ya mazao ambayo yameshambuliwa ni kwa kiasi...
  4. JamiiForums Tanzania Nifanyeje nimpende mama yangu hii kitu inanitesaa saana msaada

    Wakuu kwema? Kuna jambo limekua likinitafuna kwa miaka mingi saana kuhusu mimi na mama yangu sina hata chembe ya upendo nae ila hela namtumia namsaidia kwa maana ni Maskini samahani kwa kusema hivi. kwa kifupi kabisa mimi nimetoka kwa mama yangu nikiwa na umri wa miaka 3 nakuja kuonana na...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Msaada course outline za MA Linguistics UDSM

    Habarini wataalaam wa Lugha, naombeni mwenye course outline za MA Linguistics UDSM anitumie. Nipate ABCs. Shukrani.
  6. JamiiForums Tanzania Msaada kujisajili X(Twitter)

    Ndugu naomba msaada wa jinsi ya kujisajili kwenye mtandao X(Twitter) kila nikijaribu kujisajili inagoma,asante.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo kwenye tangazo hili

    Habari jamani kuna TANGAZO la kazi chuo kikuu huria Tanzania ( OUT). Sasa kwenye tangazo wamesema barua zote ziwe addressed na anwani yao Na tuombe kupitia ajira portal na imezoeleka ajira zinazo ombwa kwa ajira portal tunaweka address ya UTUMISHI
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kazi ya udereva bodaboda

    Habari wakuu, Mimi ni kijana umri miaka 24 mkazi wa dar mtaa wa external manispa ya ubungo,natafuta KAZI ya udereva boda boda iwe ya mkataba au daywaka ,namba 0785598033, ila leseni sina japo ni mzoefu na natarajia nitakata mwezi ujao
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada, natafuta Ajira. Nina Advanced Diploma ya Uhasibu

    Kama kichwa kinavojieleza natafuta kazi ya kuweza kujikimu, nina diploma ya uhasibu Kwa yeyote anayeweza kunisaidia au kunipa mawazo ya jinsi ya kujikwamua, mitihani ya utumishi nimeshafanya mingi ila sijafanikiwa kupita. Sina uzoefu sana nimefanya internship zile za TAESA ila ni mwepesi...
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi. Nina Certificate ya Laboratory Technician level ll

    Habari wakuu, natafuta kazi ya permanent au temporary. Nina certificate ya laboratory technician level ll, pia nina experience ya miaka 2 ya quality control, quality assurance, lab technician na blending operator pia viwanda vyote vinavyotengeneza vinywaji vya spirit kama konyagi, kvant...
  11. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kwenda ulaya

    Habari wakuu ni matumaini yangu wote ni wazima,Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24,naomba msaada natamani sana kwenda kufanya kazi ulaya, elimu yangu nimeishia four 4,pasport ninayo naomba mwenye connection aniunganishe N.B sihitaji kejeli,mzaha,utani 🙏
  12. JamiiForums Tanzania Kwa wale wajuzi wa Diplomasia, naomba msaada kwenye hili

    Napenda kufahamu tofauti kati ya official state visit na official visit, nimeshangaa kusikia karibu miaka 15 imepita ndiyo Ruto anakuwa kiongozi wa kwanza kutoka Afrika kufanyiwa official state visit huko USA! === 1. Kenyan President William Ruto will become the first African leader in more...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada wa unlock Airtel router (5G smart box)

    Habari wakuu, Wiki chache nyuma nilikuja jukwaani kuomba msaada wa jinsi ku block users amabo wanapata access ya password, Baada ya kuitumia Router ya Airtel kwa kipindi kirefu sasa imeanza kunipa kuchangamoto kadhaa ikiwepo kupungua kwa kasi ya internet nimechoka kuvumilia ikumbukwe nalipia...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kupata gawio langu kutoka Swissport

    Ninaomba msaada wa kuelekezwa kutoka kwa yeyote kutoka Jamiiforums. Mimi ni mwanahisa wa Swissport na bahati mbaya nilipoteza cheti changu muda mrefu uliopita na sijapata gawio langu sasa yapata miaka 8. Nifuate njia gani ili niweze kupata cheti changu na gawio langu kwa miaka hiyo yote...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada Tafadhali

    Kila nikijaribu ku - install app ambazo sio za play store zinakataa na nakutana na huo ujumbe , naomba namna ya kufanya, mf. Snaptube, you tube go nk
  16. JamiiForums Tanzania Kama unachangamoto yeyote katika maisha huu soma huu uzi

    Wakati nasoma chuo nilikuwa ni mtu mwenye mawazo mengi yakinitawala kwa wakati huo kichwa changu kilikuwa ni kama jalala kimejaa matatizo kibao ya kibinafsi,hasa katika mambo ya kigiza I actually sijawahi kuexperience ndoto mbaya kama wakati huo,sikuweza kuexperience maisha magumu zaidi kama...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada, namna ya kufuta course ajira portal

    Naomba kujuzwa namna ya kufuta course ambayo nimesave kwenye mfumo wa ajira portal. Nimeweka level ya education ni diploma na nimesave but nikijaribu kufuta inakataa, lengo niombe kazi kwa kutumia level ya certificate na siyo Diploma. Naomba mnisaidie kama kuna namna ya kufuta.
  18. JamiiForums Tanzania Biashara ndo zinachangamoto hivi aisee? Msaada tafadhari

    Mimi ni mfanya biashara mgeni kwenye nafaka sasa na leo ni siku ya pili kwenye hii biashara yangu. Kasumba niliyokutana nayo wadau ni kwamba kuna mteja alikuja kununua mchele kilo 170 na unga ndogo tatu thamani ya shilling laki tatu na 87. Ile hela kanipa nimehesabu kwa macho yangu imetimia...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Msaada Kwa waliowahi kufanya interview utimishi wa uma Kwa upande wa clinical officers

    Nisaidieni Kwa anaefahamu kwenye ritten wanauliza maswali yapi je ni essay au short answers na oral je wanauliza maswali yapi mwenye uzoefu nisaidieni
  20. JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni msaada, naona msongo wa mawazo una ninyemelea

    Nadhani naingia kwenye msongo wa mawazo, nahitaji neno la faraja kwenu wa TANZANIA wenzangu, ndugu, kaka, dada, mama na baba zangu. Wakuu juzi, niliwashirikisha juu ya dhiki ya njaa Inavyotaka kuniua (mwezi wa nne sasa na kula mlo mmoja tu tena wakati wa usiku). Sasa hapa nimemaliza Kuweka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…