msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zero Competition

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kwa anayefahamu

    Kuna kampuni moja ilikuaga na ofisi Ubungo mawasiliano ila baadae walihamia Tegeta, shughuli yao ilikua ni kukopesha pesa kwa dhamana ya bidhaa za kielektroniki kama TV, Radio, Fridge au Simu. Nilisikia walihamia Tegeta ila kwa bahati mbaya kwasasa sina mawasiliano yao, yoyote ambae anawafahamu...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Hi kitu ni ya kweli msaada wakuu gwec investment

    Kwa yeyote mwenye uwelewa na gwec investment vio kwamba hii project yao ni ya kwel ama ni utapeli
  3. smigo_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki yangu ameingia kwenye mahusiano na mwanamke wangu. Moyo wangu unauma sijui nifanye nini?

    Habari za muda huu, Naitwa Jacob nina miaka 24, nipo chuo, naomba msaada wako kwa jambo nilopitia. Kwa sasa nimeingia mwaka wa pili, mwishoni mwa mwaka jana nilipata mpenzi ambae ni first year, anasomea diploma ya pharmacy anaitwa Kyrie (18 years). Nilimtongoza akanikubalia basi tukawa...
  4. COLTAN

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nashindwa kuingia kwenye Akaunti yangu ya Instagram

    Habarini. Naomba Msaada Nilingia Akaunti ya Instagram nambiwa hivi.
  5. Kusini pride

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo wakuu

    Hivi mabroo huku jukwaani naombeni mnipe msaada kwa sababu jamii forum ni kisima cha maarifa hivi mwanamke anakuambia mimi nipo tayari au muda wake sahihi wa kufunga ndoa ni mwishoni mwa mwaka kama mwezi wa kumi anamaanisha nini? Kwamba yeye mwanamke ndiyo anapanga kuolewa mwezi wa kumi na...
  6. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Msaada Naomba Data recovery

    Wakuu Naomba mwenye software ya kurejesha data ( Data recovery software) Windows 10 64 bit Natanguliza shukrani kwenu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wenyeji wa Dar msaada wenu

    Nauli ni kiasi gani na ni kituo gani nishuke zilipo ofisi za boti za Azam nikitokea kituo cha mabasi cha Magufuli au kwa bodaboda ni kiasi gani kutoka stand ya Magufuli mpaka zilipo Hizo ofisi. NB: Mimi ni mgeni Dar es salaam na naelekea Zanzibar. Kwasasa nipo kwenye Basi.
  8. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Umeathirika na betting? Huu hapa msaada

    Utegemezi wa Kamari ya Michezo Kamari ya michezo ni kitu ambacho kinapaswa kubaki kuwa uzoefu wa kufurahisha badala ya kuathiri maisha yako kwa njia kubwa. B Media imedhamiria kusaidia mamlaka zinazosaidia watu kupigana na uraibu wa kamari ya michezo. Katika ukurasa huu, utapata taarifa...
  9. Toga

    JamiiForums Tanzania Msaada nimeisahau password ya kuingia ajira portal

    Wadau naomba maelekezo nimeisahau password ya kuingia ajira portal maelekezo tafadhali
  10. U

    JamiiForums Tanzania Rais Biden aidhinisha msaada wa kijeshi kwa Israel wenye thamani ya Dola billion 8, yapo makombora hatari na droni za kisasa na mabomu mazito

    Wadau hamjamboni nyote? Rais Biden amebakiwa wiki 2 tu kabla ya kukabidhi madaraka kwa Rais Trump Ameamua kuidhinisha msaada wa Mwisho Kwa taifa takatifu kabla ya kuondoka Mungu ibariki Israel Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Biden administration prepping $8 billion arms package...
  11. Msaga_sumu

    JamiiForums Tanzania Msaada wenye ujuzi na hapa

    Jamani mabibi na mabwana habari, kuna mwalimu mmoja tulimfanyia applications zile za ualimu kwenye stationery yetu, lakini walivotoa majina ya usaili ile mara ya kwanza akasema akumbuki login information tukapambana nayo tukaweza login, sahivi tena hakumbuki tukijaribu weka email na kutap...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nina leseni Class D, natafuta kazi Morogoro

    Jamani Naomba Msaada Ndugu Zangu Nna Leseni Cras D Naitja Kazi Ya Uderevar Nipo Mkoani Morogoro Wilayani Mvomero Namba Yangu 0674443530/0622909927
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wema unaofanya ukiwa Arusha kamwe hautafunika uovu uliofanya ukiwa Dar es Salaam!

    Huyu bwana ni wazi anasumbuliwa sana na uovu aliofanya Dar es Salaam, ambao ulitia ndani kuteka na kuua watu. Sasa hili linamchanganya sana kiakili, na huenda anapata ndoto na maono yanayomvuruga kichwa kutokana na damu alizomwaga moja kwa moja au kuratibu mipango ya damu hizo kumwaga...
  14. Liyambange

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hivi UTT Amis wanafungua ofisi zao Jumamosi?

    Msaada kama kunamtu anajua kama utt amis wanafungua ofisi zao jumamosi
  15. Liyambange

    JamiiForums Tanzania Msaada Hivi UTT amis wanafungua ofisi zao jumamosi?

    Hivi ofisi zao wanafanya kazi mpaka jumamosi?
  16. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani, hivi mwaka mpya unaanza kuchakaa lini?

    Natafakari tu hapo Bado tuko kwenye mwaka mpya, ni lini hasa huu mwaka mpya unaanza kuchakaa? Baada ya kulipa ada? Siku ya kuzaliwa CCM? Siku ya wajinga (1/4/2025) May Mosi? Embu wajuzi mtuambie?
  17. Hammer11

    JamiiForums Tanzania Kwa wajuzi wa sheria tafadhali msaada

    Ni hivi mimi ni mtanzania kabisa sasa niko kenya huku na nimebahatika kupata pikipiki sasa nautaji kuja nayoo home Tanzania 🇹🇿 Je utaratibu ukoje au niuze nije na pesa tuu heri ya mwaka mpya 2025 members wote
  18. kibori nangai

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini Lissu analalama kila mara, kwanini usisubiri uchaguzi ushinde au ushindwe?

    Ndugu wana Jamvi ! Mimi nimevuka salama kabisa Please wale wafuasi wa Lissu na kama Lisu upo himu mwenyewe Jibu hilo swalii. Kwanini kila siku umekuwa unalalama kuhusu uchaguzi unayogombea. Mboye nayeye anagombea kama wewe Na wanotoa ushind ni wajumbe Sasa kwanini unakuwa na wasiwasi kila...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Habari za muda huu ndugu zangu, Kwa majina naitwa Leilah binti wa miaka 23 jinsia mwanamke. Lengo la kuandikia ujumbe huu ni kuomba msaada wenu wakubwa. Nina u1hitaji wa ajira yoyote ile nitafanya (am strong enough)nitafanya kwa uamanifu na heshima ya hali ya juu Kuhusu elimu pia nimesoma hadi...
  20. Frustration

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo, mwenyekiti wa kijiji na halmashauri yake yatakiwa polisi kwa kosa la kwenda kuhoji wafugaji.

    Nimehamishia jukwa la siasa
Back
Top Bottom