msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa HESLB na RITA Unatuumiza Maskini – Msaada Unahitajika Haraka

    Ndugu wanajamii, Naitwa Sese, Naandika ujumbe huu nikiwa na maumivu ya moyo na sintofahamu kubwa juu ya hatima ya mtoto mdogo ninayemshughulikia kwa ajili ya mkopo wa elimu ya juu. Katika hatua ya kujaza fomu ya mkopo (HESLB), kwenye kipengele cha preliminary information, ukiweka taarifa za...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa neno “moyo kulipuka”

    Habari husika na mada apo juu naomba kuuliza mtu akisema moyo kulipuka ndio ana maana gani?
  3. JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria,mtuhumiwa wangu nimemfikisha polisi kwa amri ya mahakama ila polisi wanataka kumuachia.

    Wakuu kwema? kuna jamaa nilimpa pikipiki awe analeta hesabu kwa wiki ila siyo mkataba,pikipiki ilikuwa mpya ameendesha kama miezi 6 akadai eti imepotea maana akimpa ndugu yake,yule ndugu yake nae akampa mtu ambaye ndiye anayedai kuipoteza. Tangu mwezi wa kwanza ndo jamaa ananipa taarifa za...
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Nina msongo wa mawazo, maisha hayana maana kwangu, msaada wa mawazo

    Asanteni sanA.
  5. JamiiForums Tanzania Msaada unahitajika wataalamu wa mikopo

    Iko hivi Juzi niliomba Mkopo Kupitia Application ya Ess ya Watumishi Nimezoea kufanya Hivyo na Ninapata Cha ajabu Kipindi hiki Ikachelewa Sana leo naangalia nakupa Mkopo Umekuwa Rejected na FSP kwa sababu eti Nime Written off Mikopo Kutoka JUMO na FiNCA songesha Kiufupi Nina Miaka 2 Sina Laini...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada wa kitabu au notes za veta ufundi simu ziwe pdf

    Naomba kitabu chochote cha ufundi simu haswa smartphone kiwe kwenye mfumo wa pdf
  7. JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kujiondoa kwenye simu iliyounganishwa mtandoni

    Habari. Msaada nawezaje kujiondoa kwenye smartphone niliyounganishwa na mwenza wangu?? Meseji, Voice note zote anazipata kwenye simu yake.Nitajiondoaje Ili asipate taarifa zangu kwenye smartphone yangu? Msaada.
  8. F

    JamiiForums Tanzania Wakuu msaada

    Political science Theology Bachelor Degree in International Relations and Diplomacy Tourism Laws Bachelor of Science in Aquaculture and Aquatic Sciences Logistics and Transport Shipping and Logistics Management Shipping Economics and Logistics Bachelor of Accounting with Information...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ku generate control number

    Tangu saa 8 MCHANA mpaka sasa MUHAS imegoma ku GENERATE control number. Inaonesha hivi; Your Reference Number for payment is : Please Wait..... Msaada WANGU UTATOKA KWA NANI?
  10. B

    JamiiForums Tanzania Anayejua dawa ya jino, leo sijalala

    Wapendwa sijalala naugilia maumivu jino linanitesa hua linauma linaacha nimetumia dawa dawa hapo kati lakini Leo limeniamulia. Kuhusu kutoa nimetoa meno kama ma 5 tokea udogoni Hadi hivi ukubwani pia mwaka Jana nilitoa ma wili kwakupishana miezi nilihisi nitapumzika Sito pata tena shida mwaka...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa taratibu za kuomba kujiunga na vyuo vya Elimu ya juu hapa Tanzania

    Heshima zenu Wasomi wa jukwaa hili. Naomba kuelekezwa hatua kwa hatua za kufuata kwa ajili ya ku apply kujiunga na vyuo vya Elimu ya juu hapa Tanzania,kwani nina mtoto wangu amemaliza kidato Cha sita mwaka huu wa 2025. Naileta kwenu hoja hii ili mnipe maelekezo na njia zinazotumika ku apply...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kanuni za Ulinzi wa Mashahidi zitatumikaje kwenye kesi dhidi ya Lissu?

    Naomba kusaidiwa na wanasheria nguli waliomo humu jf na msaada wenyewe ni kuhusu kanuni za ushahidi zilizokuwa gazetted jana tarehe 17 July 2025. Kanuni hizi zinawezaje kuwa applicable kwenye kesi ya Lissu iliyofunguliwa April 2025 ambayo kimsingi ni nyuma ya kanuni kwa miezi mitatu? Na Kama...
  13. 4

    JamiiForums Tanzania Msaada heslb

    Nashindwa kufanya application ya mkopo shida nini muda huu ni mtandao au ,naombeni mwongozo wenu wakuu
  14. JamiiForums Tanzania Msaada wa kiufundi ktk home theatre ya sony

    Habari wakuu,Nina home theatre ya sony spika 5 nimenunua muda mrefu kidogo tangu 2013 na ilisimama Kwa matumizi Toka 2016 kutokana na changamoto eneo nililokuwa nakaa kukosa umeme Nimekuja kuiwasha imewaka vzr changamoto spika za nyuma surround pamoja na centre haifanyi kazi na hata niikomand...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada kwenye Tuta. Tuisaidie nchi sisi Wazalendo wa kweli

    Kwa hii nchi ilivyo sasa inahitaji moyo wa Kizalendo sana mbele za watu wenye akili kusema wewe ni Mtanzania. Watakuuliza maswali ya kuudhi sana. Kuna watu wananiuliza je nmekuja nchini kwao uhamishoni? Nakimbia kutekwa na kuuawa? Anyway. Kuna watu kadhaa wameniagiza kahawa from Tz wanataka...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu dusupay

    Wakuu habari,niende kwenye mada. Ambae ana uzoefu na hawa DusuPay naomba anishirikishe tafadhali. Je wako vizuri? Pesa zinafika kwa wakati? Na pia je wanaruhusu utengeneze Payment links kama hauna document za biashara? Mbarikiwe.
  17. JamiiForums Tanzania kutokwa na damu isiyokata toka 29/6 mpaka Leo imepungua Kasi Ila inatok kidogo kidogo

    Kwema? Kuna mmoja kati ya watu wangu wa karibu anasumbuliwa na hili hapa tatizo. Naombeni msaada wenu "Tatizo langu natokwa na damu isiyokata toka 29/6 mpka Leo imepungua Kasi Ila inatok kidogo kidogo..kabla sijaingia bridi nilikuwa natokwa na ute wenye harufu nikaend hospital nikapewa dawa...
  18. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima anahitaji msaada wa haraka wa kisaikolojia

    Kila kitu kinajionyesha wazi kua muungwana anapitia msongo wa mawazo wa kiwango kibaya zaidi, na binafsi yangu napendekeza apatiwe usaidizi wa mapema hasa wa kisaikolojia. Na kwa hulka yake ya kujimwambafai na kufurahisha wafuasi wake na public kwa ujumla, anaweza kuadai kwamba yupo fiti...
  19. JamiiForums Tanzania Naombeni dawa ya kudeal na wezi wa Mifugo

    Wakuu habari Nina mashamba yangu huko pwani, nimepanga nikaweke mifugo kama mbuzi, ng'ombe na kondoo Ila sasa kuna ndugu ameniambia huko kuna Mang'ati wanaiba sana mifugo Sasa nipeni Dawa hawa jamaa nita deal nao vipi?
  20. JamiiForums Tanzania Wizara ya Katiba na Sheria Yahudumia 3,000 Msaada wa Kisheria Sabasaba

    Wizara ya Katiba na Sheria Yahudumia 3,000 Msaada wa Kisheria Sabasaba Watu zaidi ya 3,000 wamepatiwa msaada wa kisheria na Wizara ya Katiba na Sheria, ndani ya siku 13 kwenye Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF), Sabasaba, yanayoendelea. Kauli hiyo imetolewa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…