Ndugu wana jukwaa napenda kueleza kwa ufupi sana kusikitishwa kwangu na mfumo mbovu wa secretariat ya ajira yaani Ajira Portal.
Ajira Portal wameweka utaratibu kwamba ili u qualify kuomba kazi ni lazima walau profile yako ya Ajira Portal, wenyewe wanaita dashboard ifikishe walau 70% na ili...
Habari za muda huu wakuu ,
Msaada jinsi ya kuset USSD zifanye kazi maana kila nikijaribu kuingia kwenye menu inaonyesha ussd code running alafu baada ya muda inaandika connection failed or mmi invalid
Mathematical Riddle ; Fumbo la Hisabati
Marafiki watatu, Gwajima, Wambura na CCM walienda hotelini kwa Tulia, wakalipia room shs.30/= , ambapo kila mtu alichangia shs.10/=.
Baadae Tulia akagundua kwamba gharama ya chumba ilikuwa shs.25/= tu, hivyo akamkabidhi mlinzi Mafwela shs.5/= ili...
Naomba mnisaidie nina matatizo nimeacha chuo sina ada nyumbani hali ngumu hata nauli wameshindwa kunipa nakaa kwa rafiki, mguu wangu mbovu
Naweza kazi zote za mikono kupika kufua. kazi za stationary pia naweza nimewahi pia kuuza duka na kazi zote ambazo haziitaji kutembea sana maana ni mlemavu...
Habari, ahsante kwa kufungua uzi huu. Kuna uzi nautafuta niliusoma mwaka jana mwishoni, simkumbuki muandishi wala kichwa cha Habari.
Uzi ulikuwa unahusu mishe ya jamaa fulani kupokea wageni kutoka nje (foreigners), kuwapeleka kwenye hotel fulani sambamba na kuplay kama mwenyeji wao kisha yeye...
Habar wakuu naomba mnichambulie juu ya hii renal function na urine,,Sasa ktk urine Kuna protein 1+,ila ktk maabala binafsi siku nyuma urine haikuonekana shida naambatanisha na majibu ya sehemu zote tatu
Habari za jioni wana magari,, naombeni mnipe experience kwa wale walio wahi kuendesha Toyota fortuner,, stability yake ikoje ikiwa kwenye speed 100 na kuendelea,,
Kwasababu sasa nchi ishakuwa na inequality, watu wachache wanakandamiza wengi, katiba mbovu, ufisadi wa kuwanufaisha watu wachache wa CCM, Kutumia dola kuumiza raia, utawala wa kiimla, kujiweka madarakani, hii Tanzania sasa imekuwa ni nchi ya kikundi cha watu wachache. Na kwasababu wameshikilia...
Jamani kama Kuna IT anaweza mambo ya mifumo vizuri,naomba msaada Kuna web nataka nianzishe sijui pakuanzia naomba anicheki Dm nitajieza vizuri, na Kwa upana zaidi Asante.
Nakumba Mzee jomo kenyata aliwa kusema sisi ni maiti,kilikuwa ni kipindi cha utawala wa Nyerere,
Ni kauli katika makuzi yangu nilikuwa siipendi hata kuisikia,baada ya kupata ufahamu akili na uwezo wa kuchambua mambo nikaona kama kuna ka ukweli vile
Lakini mwaka huu nimejiridhisha na kujikubali...
Habari zenu wadau,
Nimejaribu kulima pilipili za mwendokasi, japo nilizichelewesha kwenye kitalu lakini nimezipanda zikashika vizuri zikakutana na kiangazi zikala jua la kutosha la Dar then ilipokuja mvua ziaanza kutoa pilipili kiasi lakini kipindi chote sijaiweka dawa wala mbolea zaidi ya...
Nimesikitika baada ya kusoma thread ya member humu anayeitwa Marry Diana jinsi anavyoilalamikia jamii forum na member wake kwamba watu wengi humu ni wabaya kusema ukweli nimeumia sana hivi unakuaje mwwnamke mzuri na brain woman wanamkosea hivyo? Ila ninachomuambia huyu member Marry Diana ya...
Habari zenu ndugu zangu nahitaji kujua, Hivi mkojo uliokaa zaidi ya masaa manne haufai kutumia kupima mimba? Maana mchumba angu amenipa kwa chupa nikapime, sasa kipimo kinasoma hivyo ndugu zangu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.