msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Brandon Ingram

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa wenye uzoefu wa practical interview serikalini

    Wakuu mwenye uzoefu wa practical interview Serikalini anipe mwanga huwa inakuaje natanguliza shukrani
  2. Mkenye Mkuu

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ushiriki wa mikutano ya vijana mitandaoni.

    Msaada kwa wana JF kw anayeweza kuwa anajua site ambazo naweza ku'join na nikashiriki mikutano ya moja kwa moja ya vijana mtandaoni ili niweze kupata ujuzi na maarifa kidogo naomba anisaidie, nitashukuru sana. Naomba kuwasilisha.
  3. kaisar19

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada

    Habari zenu wana jf. Mimi ni kijana wa kitanzania ndugu yenu wa damu. Mzaliwa wa mkoa kigoma kwa sasa naishi dar. Nimemkimbia mke na watoto wangu wawili nilio wazaa mwenyewe, kutokana na ugumu wa maisha ya nyumbani. Kwa sasa wanaishi nyumbani kwa kaka yangu mkubwa, najua wanakula lakini ni...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Wapalestina sio watu wakuwapa msaada makazi ndio maana waarabu wenzao waligoma

    Wenye imani na kuwaonea uchungu wapalestina nendeni mkawachukue ila siku mtajikuta nyie ndio mkipigwa viboko. Hawa watu bora tu mataifa yawatambue waachiwe taifa lao ila sio kwenda kwenye mataifa mengine.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Msaada nasumbuliwa na maumivu ya shingo

    Habari za wakati huu wana Jf, Jamani kama miez miwili iliyopita nilikuwa nasumbuliwa na maumivu ya kichwa na macho kuvuta, misuli ya shingo kuuma nikaenda hospital nikaambiwa nina shida ya macho (Myopia) nikashauriwa tiba yake ni miwani. Baada ya vipimo nikaambiwa natakiwa kuvaa miwani yenye...
  6. Mkenye Mkuu

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa watafsiri wa ndoto za usingizini

    Kwa mara kadhaa zisizopungua tatu na zikiachana kwa muda wa zaidi ya mwaka mmoja nimekuwa nikipata ndoto mbaya sana zinazopelekea kukosa usingizi hadi asubuhi. Kuna muda huwa nawaza huenda huwa najisahau kusali pale ninapopitiwa na usingizi lakini pia kuna muda huwa nafikiri namna ya kulala pia...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mpenzi wa ana tatizo la kukojoa usingizini, ipi tiba yake?

    Jamani mwanamke wangu nayetegemea kumuoa ana matatizo ya kukojoa kitandani na alishindwa kunambia hadi baadae alipoamua kufanya hivyo. Naombeni msaada wa jinsi ya kumsaidia ili tuendelee na maisha lakini pia awe huru hata kutembea na kulala kwa ndugu.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Msaada gharama za kuanza clinic

    Gharama za kuanza clinic kwa mjamzito ni sh ngapi kwa dar na nkienda bila mwenza ntapokelewa? NB mwenza wangu alienda Congo hajrudi huu mwezi wa 5😭
  9. Acehood

    JamiiForums Tanzania Msaada wa link ya Patch 2025/26 ya Pes 2017 yenyewe ipo updated. (Isak-liverpool, Donarruma - man city)

    Naomba msaada wa website gani naweza kupata hii patch. Nimeitafuta sana lakini napata ambazo haziko updated.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Kati ya Yesu na Muhamad nani ni msaada kwa Waafrika?

    Iwapo kuna makundi mawili makubwa ya wafia dini wa Yesu na wa Muhamad je ni kundi lipi ambalo liko sahihi na linapata msaada zaidi ya lingine kutoka kwa kiongozi wao? Na kwanini kuwe na makundi mawili kwa wafia dini wa kiafrika wakati Mungu ni mmoja tu? Je makundi ambayo hawako kundi la Yesu...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu bank ya CRDB

    Habari zenu ndugu zanguni, Ninaomba msaada wa uzoefu wenu 🙏. Kwa wale waliowahi kuchukua mkopo wa mshahara kupitia CRDB Bank, benki hutumia mfumo gani wa riba kwenye marejesho yao? Je, ni ule wa flat rate (unakata kiasi sawa kila mwezi bila kujali salio), Au ni ule wa reducing balance (ambapo...
  12. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Wanasheria msaada tutani, Mh Lissu Jumatatu atafutiwa kesi na KUKAMATWA Tena na kufikishwa mahakama ya kisutu je ITAKUWA sawa?

    Wanasheria msaada tutani, Jumatatu Mh Tundu Lissu atamchepuka Nassoron katuga kwa kumgalagaza kama shakibu mume wa zari alivyolaruliwa ulingoni, ushindi wake UTAKUWA WA kishindo Swali ni kuwa ataachiwa na KUKAMATWA Tena na kufikishwa kisutu je anawezaje ponaje mtego huu? Msaada wazee najua...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa fikra Kwa wachumi

    Hivi kama una mkopo bank, na hiyo bank ikafilisika. Ni Nini hatima ya mkopo uliokuwa nao?
  14. Barantogwa

    JamiiForums Tanzania Watalamu wa madini naomba msaada wenu

    Jamani habari za Jumapili. Kuna rafiki yangu yupo Morogoro, siku kazaa zilizopita alinitumia picha hiyo hapo chini👇, Akiniomba nimsaidie kuulizia kuwa hayo ni madini Gani na thamani yake ikoje sokoni? Mimi Sina ujuzi juu ya madini na Vito, kwa mwenye uelewa naomba msaada wenu.
  15. mngamala

    JamiiForums Tanzania Msaada Biashara ya Internet

    Naomba kuuliza kama Kuna watalaamu wenye idea na hii biashara mana napenda Sana.
  16. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Nadhani Huyu Dogo Anaitaji Msaada Zaidi Kuliko Kubezwa

    Wadau kwema, Wiki hii kumeibuka video ya kijana mdogo maarufu kwa jina la Kunku (Mtu wa kazi), ambaye ametrend mitandaoni baada ya kukutwa akiiba mbao zilizokuwa zikitumika kutengenezea mabango ya moja ya wagombea urais kuelekea uchaguzi wa Oktoba 2025. Kijana huyu, akiwa na sura ya uchovu na...
  17. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Nafikiri member kyagata kama hafanyagi makusudi basi anahitaji msaada wa sexual therapist

    Huyu jamaa makala yake ni ngono mwanzo mwisho, had post unakuta ya saa mbili saa tatu asubuhi yeye ni sex tu.
  18. Stability

    JamiiForums Tanzania Wakuu najikuta kucheka cheka tu, msaada tafadhari

    😂😂😂😂
  19. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka unahitajika: nahitaji mahali pa kufikia Dar

    Habari wakuu! Mm ni kijana mwenzenu Mtanzania halisi.Nimekuwa na changamoto ya kiafya muda mrefu kidogo .Kwa sasa niko kanda ya ziwa natakiwa kuja dar this month kwa ajili ya matibabu.Kwa bahati mbaya sina sehemu ya kufikia huko,nahitaji nipate ata kama kuna jumba ( pagale) ambalo linahitaji mtu...
  20. mkokamoto

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhari: Tiktok inamfundisha shemeji yangu ushoga

    Habarini wana jukwaa!!! Tujikumbushe tu oktoba hakuna uchaguzi utayeyuka shwaaa🤓 Nina shemeji yangu wa miaka ishirini ambaye yuko chuo cha uuguzi likizo hii yupo kwangu Anapenda mitandao ya kijamii balaa hasa hii ya kuitwa Tiktok, toka likizo ianze dogo kawa mtu wa kuingia live...
Back
Top Bottom