msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wapi hapa tanzania naweza Pata betrii la simu ya xiaomi redmi note 3

    Wakuu wa jukwaa hili naombeni msaada wapi hapa tanzania naweza Pata betrii la simu ya xiaomi redmi note 3. Msaada tafadhali wapendwa.
  2. PS4 Kuwaka kwa sekunde na kuzima msaada wa kiufundi

    Habari wanajukwaa, Nina mashine yangu ya PS4 FAT, Kuna siku ilizima ghafla, Tangu izime inashindwa kuwaka ukibonyeza inatoa tu mwanga wa blue kwa sekunde kadhaa then inazima haimalizi kuwaka. Nimejaribu kutafuta solution Google Bado hazijanisaidia kwa Mwenye ujuzi wa Jambo hili au aliyewahi...
  3. H

    Msaada: Theories on the origin of the earth

    Habari wakuu...poleni na kazi nlikuwa naomba mnipe mwanga kidogo kuhusu hizi theories on the origin of the earth nebular theories protoplanet theory encounter theory big bang theory fission theory accretion theory gas cloud theory stellar collision theory
  4. H

    Msaada: Natafuta kibarua au kazi yeyote ile halali

    Habari ndugu zangu. Mimi ni kijana wa kiume Elimu: Bachelor of science in mathematics and statistics. Ninatafuta kazi au kibarua chochote kile halali, hata kuwa msaidizi kwenye shughuli yeyote ile halali. Hata kazi za kuanzia jioni mpaka usiku sana nafanya. Ninaweza kufanya masuala yahusiyo...
  5. F

    Nahitaji kuhama fani kutoka uhasibu na kuhamia fani nyingine, mwaka wa masomo ujao. Hatua ipi nifanye?

    Habari za wakati huu, Mimi ni Mwanafunzi wa Chuo kikuu, mwaka wa kwanza katika fani ya uhasibu. Naomba msaada katika mambo yafuatayo: 1.Nahitaji kuhama fani kutoka uhasibu na kuhamia fani nyingine, mwaka wa masomo ujao. Hatua ipi nifanye? 2.Nina mkopo kutoka HESLB, nitaweza vipi kubaki kuwa...
  6. TANESCO wapata hitilafu katika mfumo wa kununua umeme wa LUKU

    TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA MANUNUZI YA LUKU KWA BAADHI YA WATEJA Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawaomba radhi wateja wake kutokana na hitilafu iliyotokea kwenye mfumo wa manunuzi ya umeme wa LUKU siku ya Jumatatu, Mei 17, 2021 na kusababisha baadhi ya wateja kushindwa kununua...
  7. Kusaidia wenye uhitaji ni baraka

    Nilikutana na mama mmoja ana real estate, nyumba zake hazipungui 20. Nilikua na hamu ya kufahamu alianzaje. Aliniekeza kuwa alipata ajira yake ya kwanza akiwa na miaka 26. Kazi ilikua nzuri na hakua na maisha ya anasa. Alinunua kiwanja na kujenga nyumba ya nyuma kuanzia. Ilkua na vyumba...
  8. R

    Msaada ku-upgrade Android 7 to Android 8 Tecno

    Habari wakuu. Nina simu ya Tecno POP1 ina Android 7. Naomba muongozo namna ya kwenda Android 8. Natanguliza shukrani za dhati.
  9. Msaada: Baadhi ya App za simu yangu hazifunguki

    Salaam wakuu, Straight to the point, simu yangu imeanza behavior Moja ya ajabu sana. Baadhi ya apps hazifunguki (zinazotumia internet access), kwa mfano uc browser turbo ilikua my favorite browser kwa fast downloading lakini saivi yaan hamna access kabisa mpaka nimeidownload dolphin ndio...
  10. Napata kizunguzungu kila nikiamka kutoka sehemu niliyokaa

    Hivi kupatwa na kizunguzungu wakati wa kuamka kutoka ulipokuwa umekaaa hii inasababishwa na nini? Na kiafya shida ni nini na nini madhara yake.
  11. Naombeni msaada ili niweze kupata platform itakayonipa nafasi ya kunisajilia uwezo na kipaji changu cha kuimba

    Habari wakuu, Naomba niende Moja kwa Moja kwenye mada husika Wakuu naombeni msaada ili niweze kupata platform itakayonipa nafasi ya kunisajilia uwezo na kipaji changu cha kuimba ili kutengeneza nafasi ya kuweza kupata udhamini Pia kwa mwenye connection na wadau wa muziki nahitaji msaada wake...
  12. Naomba msaada wa kitaalam viungo vyangu vya mwili vinakosa nguvu

    Habari zenu wakuu, Naomba msaada wa kidaktari, mimi mwana Jf mwenzenu ninatatizo la kiafya linalonipelekea kuhisi kwamba mwili wangu hauko timilifu kiutendaji, yaani mfumo wa fahamu unafanyakazi chini ya kiwango. Ni hivi nimezaliwa nikiwa mzima wa afya sina tatizo lolote, ila baada ya kufikia...
  13. U

    Msaada wa kuuza hisa zangu!

    Naomba mwenye ujuzi wa taratibu za kufuata ili niuze hisa zangu naomba mwongozo!Mwaka 2013 nilinunua hisa za benki ya Mwalimu.Hadi leo hakuna kinachoendelea nimeishiwa kupewa tu risiti.Kila nikiuliza nakutana na "uswahili"uliosheheni na majibu yasiyoeleweka!Naombeni utaratibu wa kuuza hisa hizo...
  14. Chunusi zinasumbua sana msaada wenu wakuu

    Nimetumia dawa za aina nyingi na hizi tube zinapungua kidogo zen zinarudi sasa hivi ndio zimeongezeka msaada wenu hapo wakuu tiba ipi ni nzuri.
  15. Amesoma kombi ya HGE, kozi zipi anaweza kusoma katika level ya university?

    Hamjambo wana JamiiForum? Naombeni mnijuze, mtoto wangu kamaliza form six wiki hii iliyoisha. Amesoma kombi ya HGE, hivi ni kozi zipi anaweza kusoma katika level ya university? Natanguliza shukurani kwenu.
  16. China yaipatia Tanzania msaada wa TSh. Bilioni 35

    Serikali ya China imeipatia Tanzania msaada wa Sh35.37 bilioni zitakazotumika katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo iliyokubaliwa na kuridhiwa na mataifa hayo mawili. Hayo yameelezwa leo Jumatano Mei 12, 2021 na Katibu mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Emmanuel Tutuba wakati...
  17. Msaada wa wipe data/factory reset

    Msaada wa kurestore simu imejiweka pin Mara nyingi sasa inanipa 24 hours ndio niweze weka pin na mi nahitaji kutumia muda huu nisema ni flash kila kitu kitajifuta msaada wenu nitumie njia gani niweze weka pin bila kufuta vitu kwenye simu
  18. N

    Msaada wa kutengenza Website

    Msaada wa kutengenezewa webiste. Kwa anayejua aje inbox anipe gharama yake tufanye kaz
  19. M

    Changamoto ya OTEAS: Kwenye machaguo ya shule tuna attach barua gani? Baadhi ya haifungui TAMISEMI

    Habari wakuu, naomba kwa anayeweza kujua hili tatizo anisaidie. Nataka kufanya application ya hizi nafasi za ualimu zilizotangazwa, nakutana na changamoto moja, kila nikijaribu Ku log in naaambiwa unauthorized user, nikafili nakosea password. Nikataka kubadili password ikashindikana, coz ili...
  20. D

    Msaada: Naomba kufahamishwa zilipo ofisi za TBC kwa hapa mjini kati

    Naomba msaada kwa anaejua ofisi ya TBC hapa city centre wapo wapi? Zamani walikua Zanaki Street, ila naambiwa wamehama ila sijui wapi, nataka kutoa tangazo, please. Sitaki kejeli na mapovu. Ka huna jibu kaa kimya.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…