msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania msaada tafadhali naomba yeyote mwenye autocard app na cracks zake, im really in need

    Msaada tafadhali; yeyote anayeweza kunisaidia app ya Autocard, na cracks zake, the current one.
  2. JamiiForums Tanzania msaada tafadhali naomba yeyote mwenye autocard app na cracks zake, im really in need

    Msaada tafadhali; yeyote anayeweza kunisaidia app ya Autocard, na cracks zake, the current one.
  3. JamiiForums Tanzania Video ya Watanzania waliotekwa Malawi yavuja, waomba msaada

    Hii ni video ya Madereva waliotekwa na kufichwa sehemu kusiko julikana huko malawi Iko hivi Madereva wa malori wa Malawi (sio wa Tanzania) wana mgomo wa kutaka kuongezewa mishahara. Katika hali hiyo, hayatakiwi malori yaonekane yakipita barabarani. Kwa hivyo wameteka malori yanayopita yote...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada wako tafadhali kuhusu Modem k3772-z

    Kama kichwa cha habari kinavyosema naomba msaada wa..... hebu ngoja nitoe kwanza maelezo ili mjue nahitaji nini. Hapo mwanzo nilikuwa naitumia modem tajwa hapo juu lkn sijui nilikosea wapi ile setup ikaondoka nasasa hivi haipo mwanzoni nilikuwa nikichomeka modem kwa mara ya kwanza inajiinstall...
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina elimu ya kidato cha sita, nina uwezo wa kutumia computer vyema

    Habari zenu ? Matumaini yangu nyote ni wazima wa afya mimi ni kijana wa kiume wa miaka 25,elimu yangu ni kidato cha sita nina uwezo wa kutumia computer vizuri sana na nishafanya kazi za research kama research assistance na mashirika kama MDH na NACP. Nipo hapa wakuu kuomba msaada wa kazi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Habari wakubwa,mm ni kijana niliehitimu kidato cha sita kuna kozi ya bachelor of science in economics policy and planning(EPP) ninaomba ushauri wa mbinu,mawazo kuhusu kozi hii.na kazi gani anazoweza fanya kijana anaesomea kozi hii???
  7. JamiiForums Tanzania Msaada wa kubypass samsung galaxy a12 nitalipia huduma

    Habari wanajukwaa kama kichwa cha habari kinavyojieleza nina samsung yangu galaxy A12 ime hard setiwa nahitaji msaada wa kutolewa pass nitalipia huduma
  8. JamiiForums Tanzania TANZIA Mtanzania afariki Ufaransa, msaada unahitajika ili ndugu wapate taarifa

  9. JamiiForums Tanzania Msaada kwa wataalam wa Safari za Dubai

    Habari wakuu, Naplan kwenda Dubai December, tuko watu 3. Naitaji msaada wa watu ambao wanauzoefu na safari za Dubai Napenda kujua ishu za nauli, Visa, Malazi na kwenda kule kwenye jangwa. Kwa yeyote ambae anajua hizi mambo please naomba msaada wa information zote.
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina Shahada ya Water Resources

    Natumai nyote ni wazima wa afya.pole kwa wasio vyema kiafya. Nina muda nimejiunga hapa JF, ila sijawahi ku post chochote. Nime hitimu chuo kikuu mwaka 2019, lakini hadi sasa nipo nasota tu mtaani, nina degree ya water resources Engineering, naomba kama mtu yoyote anaweza nisaidia kupata sehemu...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania kupokea dozi milioni 2 za chanjo aina ya Sinopharm

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Tanzania inatarajia kupokea Dozi Milioni 2 za Sinopharm kutoka Nchini China. Kwenye chanjo hiyo, mtu atapokea dozi mbili tofauti na Johnson & Johnson ambayo inachomwa mara moja Akizungumza kutoka Mkoani Singida, Msigwa ameeleza kuwa idadi ya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Uturuki

    .
  13. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hospitali zinazotoa Chanjo ya Pfizer au Mordena

    Habari ya majukumu wapendwa. Ninaomba kujua kama kuna hospital inayotoa chanjo ya Pfizer au Mordena kwa Tanzania hapa.
  14. C

    JamiiForums Tanzania Toyota fielder Msaada

    Ambae ameimiliki hii gari ,utumiaji Mafuta,Spea, comfortability yake,utulivu barabarani nk, M-barikiwe saana
  15. K

    JamiiForums Tanzania Namba za simu za wake wa watuhumiwa wa Ugaidi zinatafutwa, watoto wao wanahitaji msaada kwenda shule

    Nilikuwa nafuatilia huko Ulaya kuhusu namna wanafamilia wa watuhumiwa na hata wafungwa wanavyosaidiwa kuepusha adhabu ya makosa ya wazazi kwenda kuwaumiza watoto wasio na hatia. Mara nyingi watoto wa watuhumiwa hupatiwa michango ambapo husaidiwa kuendelea na masomo na kufarijiwa maana...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mwanangu anasumbuliwa na mafua yasiyotoka njia za puani (ana mwezi mmoja tu)

    Habari ndugu wapendwa katika imani! natumai mmeamka salama na mpo kwenye majukumu ya kila siku. naomba nielekee kwanye hoja au maombi ya kimawazo, ushauri au tiba kwa aliyekutwa na hili tatizo na kufanikiwa kulimaliza kwa namna yoyote. Mtoto wangu tatizo la kufura kwa mafua yasiyoka puani...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada kwenye hili la Window 11

    Habari za muda huu. Baada ya pc health check kundolewa kutokana na mapungufu siku za nyuma hatimaye microsoft wame irudisha tena huku bado siku kadhaa tu ili window 11 itoke rasmi tarehe 2
  18. K

    JamiiForums Tanzania Msaada viza ya Dubai (UAE)

    Wakuu habarini? Kwa waliowahi kwenda Dubai from Tanzania utaratibu wa visa uko vipi? embassy wamesema hawatoi ila diplomatic visa pekee, sasa naweza kukata mwenyewe online? Au lazima nitumie travel agencies? waiting time? processing time? Naombeni mnijuze
  19. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayejua hii mahakama ya usuluhishi;

    ndugu wa na jukwaa mimi nilikuwa mtumishi wa kampuni ya bia tanzania tbl miaka ya nyuma tulikuwa na madai yetu tukafungua kesi mahakama kuu ya Tanzania. kampuni ikaweka pingamizi kuwa kabla ya kwenda mahakamani tuanzia kwa msuluhishi tukapelekwa mahakama ya usuluhishi tukapewa jaji mstaafu...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada: Aina za sub meter (Unit counter)

    Naomba kujua aina za sub meter na bei zake. Nilimuuliza jamaa mmoja hivi, akadai kuna submeter aina moja tu inayohesabu tu na haina button Ktk kugoogle naambiwa zipo za button Je, hizo za button zinapatikana, na wapi naweza kupata? Na bei yake ikoje?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…