msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za viwandani msaada anaejua

    Habari yako, Nakuja hapa kuomba msaada kwa yeyote yule mwenye kujua ni kiwanda kipi ndani ya Dar au pwani kinachopokea kibarua naomba anifahamishe maana natafuta kazi kwenye kiwanda chochote kile kinachopokea kibarua. Life langu kwa Sasa nahemea mipila kwa anaejua msaada Wana jf. Asante sana.
  2. JamiiForums Tanzania Msaada wa Low beam hazina nguvu

    Wadau kwema Mkoko wangu aina ya Raum new model izi za 2007 una shida iyo taja, mwenye kujua shida hii nii solve vipi ..maana ata nikibadilisha bulb bado low beam hazimuliki chini vizuri kwa ule mwanga unaotakiwa Kitu ambacho kimenifanya nitumie high beam ata nikiwa town route za usiku , hii...
  3. JamiiForums Tanzania Simu inaniomba ni sign in google email account ambayo ilikuwemo na haikuwa email yangu bila kuweka hiyo email imegoma kabisa

    WAKUU Natumia TECNO WX3 Jana kuna jamaa yangu kairestore sasa inaniomba ni SIGN IN GOOGLE EMAIL ACCOUNT ambayo ilikuwemo na haikuwa email yangu bila kuweka hiyo email imegoma kabisa kuvuka hii hatua! Wakuu nasolve vipi hili ili kuirejesha katika hali ya kawaida?
  4. JamiiForums Tanzania Msaada wa camera bag

    Hiyo picha inajieleza wakuu Ninatafuta hako kabag original ya hiyo camera ndogo ya canon ixus kama kilivyo mana nimejaribu kuulizia mjini mana niko mkoani watu wa huko wanasema ni model ya zamani kupata original bag ni ngumu. Kama mwenye nacho pm yangu iko wazi. NB:Najua kuna mbadala wa hvyo...
  5. JamiiForums Tanzania Matokeo yangu yamekosewa NACTE, nimehangaika sijapata msaada

    Habari yenu katika ujenzi wa maisha yenu. Nimehitimu chuo 2020 stashahada ya uhandisi majengo katika chuo fulani cha serikali hapa nchini. Tatizo kubwa matokeo yangu yamekosewa katika mfumo wa NACTE na hii imekuwa ni kikwazo nisiweze kuendelea na masomo. JITIHADA NILIZOZIFANYA KWA SUALA HILO...
  6. JamiiForums Tanzania MSAADA TAFADHALI: Homebase TV imekorofishwa

    Anayejua namna ya kutatua tatizo hili nisaidieni. Dogo amejibonyezea remote ghafla tv imekuwa hivyo
  7. JamiiForums Tanzania Ushuru wa kuagiza Magari TRA umepanda 104% HATARI kwa siku 3 tu naomba msaada!

    Ushuru wa kuagiza Magari TRA umepanda 104% HATARI kwa siku 3 tu naomba msaada ! ! ! Nissan Atlas Truck tani 1.5 Pick up ilikuwa inalipiwa ushuru sh 5,662,000= leo Calculator ya TRA sh 13,224,989= (CIF 3,665 USD) Mbaya zaidi tayari nilishalipia gari iko njiani kwa ushuru niliouona na kuuhakiki...
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Gari yangu inachelewa kubadili gia

    Msaada tafadhali gari yangu aisomi speedmeter, haiwaki sehem ya odo pia inachelewa kidogo kubadili gia mafundi wangu na ina wanachem sjui shidanin
  9. JamiiForums Tanzania Msaada wanaJF jinsi ya kuepuka vishawishi

    Habari za asubuhi Tangu nihamie mkoa na ninajishughulisha na kabiashara fulani hivi me sio mkubwa kivile nina kama miaka 41-22. Sasa nimekuwa nikiishi nyumba fulani hivi na kuna mama ana kama 25 amekuwa ni kikwazo kwangu kwani kaolewa na ana mtoto m1 Nimekuwa simwelewi coz me ni wale watu...
  10. JamiiForums Tanzania Wakuu msaada wenu, Facebook wamelock account yangu

    Nilikiwa nashare mfululizo taarifa kwenye magroups ndio likatokea tatizo Hilo, Nimejaribu kufuata process zote kwa kureniew password lakini imegoma kabisa, Nifanuyeje wakuu, ama ndio tayari sitofunguliwa Tena? Pia nimejaribu kifungua açount nyngine mpya nayo wamelock vile vile
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Wakuu: Kwa Nia njema kabisa.

    Ni nini stahiki za hawa watu wawili: 1.) Ameachishwa kazi akiwa na umri wa miaka 56, na ametumikia Serikalini muda wa miaka 36. 2.) Amefukuzwa kazi akiwa na miaka 58, na ametumikia Serikalini miaka 40. Naomba msaada wenu tafadhali.
  12. JamiiForums Tanzania Msaada : Mrisho ni jina la Kiislamu, Kiyahudi, Kikristu au kikabila?

    Nimepata mtoto nataka kukapa hili jina, nilikuwa nataka nijue kwanza asili yake. Hivi hili jina lina asili ya wapi? Maana kuna watu kadhaa nawafahamu wanatumia hili jina, wengine ni waislaam, wengine ni wakristu, wengine ni waha na wengine ni wakwere na wengine ni wahindi nk. Au ndio jina la...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kujaza self form

    Wadau poleni na majukumu. Tangu juzi mfumo wa kujaza online self form kwa wanafunzi wa kidato cha nne mwaka jana 2021 ulipofunguliwa nimejaribu kumjazia kijana wangu ila kuna changamoto naikuta, mara baada ya kumaliza kujaza vipengele vyote nikishafika kile cha mwisho cha C5 Others sioni kile...
  14. JamiiForums Tanzania Mamlaka tazameni barabara ya Banana - Kitunda ili iweze kuwa msaada na si kero kwa wananchi

    Wakuu Salaam, Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika. Barabara tajwa hapo juu amekuwa mwiba mkubwa sana kwa usafiri kwa wakazi wa Ukonga maeneo yanayozunguka Kitunda. Barabara ina hali mbaya sana na inachangia kwa kiasi kikubwa sana kuharibu vyombo vya usafiri vya wakazi wa maeneo hayo...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kuuza nyumba maana baba yangu mzazi anadai mimi sio mtoto wake

    Habarini ndugu zangu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 41 baba yangu baada ya kuuza nyumba yake na kugoma kunipatia na mimi japo pesa kidogo nikaanze maisha na ikanipelekea mimi kwenda polisi na mpaka mahakani na mahakama ikaamua kuwa mimi sina ninacho dai kwenye iyo nyumba ya baba...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa wale wanaonunua cartons za viatu spesho vya kike, msaada wenu.

    Habarini za wakati! Basi niende kwenye ombi langu, ninaomba kujua kuhusu viatu vya spesho vya wanawake na watoto wadogo husani zile simple tu. Nahitaji kujua bei zake kwa anaye chukua kwa cartons tu ambapo yeye atauza jumla kwa wale wauza reja reja, natamani nijue bei za hivyo viatu na maduka...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani wenye kujua maswali ya position ya recovery loan specialist.

    Nimeitwa kwenye interview bank ya access micro finance nikafanye written interview lakini mwenye a,b,c ya maswali naomba anisaidie
  18. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba ufafanuzi wa Kisheria kuhusu jambo hili

    Hbr Wana JF Mimi ni mjasiliamali, najihusisha na ununuzi wa mashamba kisha huwa nakata viwanja. Mwaka 2020 nilipata dili ambalo kiujumla ndio ilikuwa dili yangu ya kwanza kubwa, kuna jamaa yangu aliachiwa Shamba kulisimamia ambalo lina ukubwa zaidi ya heka 3. Jamaa alinijulisha ya kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba kusaidiwa upande wa calculation za Excel

    Wakuu habari . Naomba kusaidiwa upande wa calculation za Excel. Nikiwa nimepanga majina ya wanafunzi, nimeweka marks za kila somo, jumla, wastani, Daraja la ufaulu na , nafasi aliyoshika kila mwanafunzi. Je nikitaka majina yajiapange kulingana na ufaulu wao nafanyaje? Yaani Kama John kwenye...
  20. JamiiForums Tanzania Nina kidonda ambacho kilianza kama kipele kinacho washa sana, baadaye vikaongezeka nakuwa kidonda

    Nina kidonda ambacho kilianza kama kipele kinacho washa sana baade vikaongezeka nakuwa kidonda kinacho toa majimaji hakiumi ila kinawasha, nimeenda hospital last month walinipa dawa dozi ya vidonge 30 ila vimeisha tatizo bado, msaada wenu wana jamii kwa mwenyekuweza kunisaidia plz.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…