Kwa wale wanaonunua cartons za viatu spesho vya kike, msaada wenu.

The Eric

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
4,993
8,077
Habarini za wakati!

Basi niende kwenye ombi langu, ninaomba kujua kuhusu viatu vya spesho vya wanawake na watoto wadogo husani zile simple tu.

Nahitaji kujua bei zake kwa anaye chukua kwa cartons tu ambapo yeye atauza jumla kwa wale wauza reja reja, natamani nijue bei za hivyo viatu na maduka yanayouza cheap kwa dar ingawa nipo mkoani, mwenye taarifa zaidi tafadhali atoe msaada wa bei na wanapo uza cheap.

Lengo langu ni kuuzia wafanyabiashara jumla wao wauze rejareja uhakika wa masoko upo na uhitaji upo.

Msaada huu utasaidia na wengine.

Idea yangu ni kuuza jumla tu hata faida iwe ndogo wakuu.
Pia makava ya simu na vioo ni idea nyingine nataka ninunue kwa madealers niuze jumla pia wateja wapo.

Najua wengi watasema mtaji kwao ni changamoto mi nataka niaze from scratch, yaani hii ngoma nauza jumla nikiwa sina shola, lakini wateja wangu nawasambazia sample wananiambia leta mzigo. Room yangu store yangu, usimuambie mtu sasa hii ni siri nawapa🤪

Screenshot_20220328-181352_Instagram.jpg


Screenshot_20220328-181213_Instagram.jpg
 
Mwenye kufahamu wanapo uza screen protector za simu na macover kwa bei cheap yaani jumla mi nauza na niliowauzia wauze rejareja. Asanteni.
 
Nenda kkoo kwenye maduka ya wachina ulizia duka la Excellent shoes, njoo pm nikupe namba zao, wanauza kwa jumla kuna piece 24 na nyingine piece 48 na za wauzaji wengine wa viatu nitakupa
 
Back
Top Bottom