Msaada: Gharama ya kukodi boti kwa ajili ya birthday party hapo mjini Darisalama

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,482
20,426
Wakuu msaada kuna hela nilikuwa nimetunza kwa ajili ya kununua kiwanja lakini baada ya kufanya tathmini ya kina nikaona nitakuwa nimwfanya kitu Cha kitoto hasa ikizingatiwa hapa duniani tunapita tu, sisi hapa duniani ni wasafiri.
Msaada nataka kujua Gharama ya kukodi boti hapo mjini kwa ajili ya Bata Kama wanavyofanya watoto wa mjini.
Vp na gharama ya totoz mbili tatu zakunisindikiza, zile ambazo unakuta zimejiachia nguo za ufukweni wakikata mauno , wakiwa wanarukaruka, pia nitahitaji huduma ya Picha professional. Boti liwe kubwa na jeupe. Vinywaji nitamchangia mshikaji wangu huwa anapiga hizo mambo.
 
go to the water. em gugo hiyo kitu
 
Hivi kusherehekea Birthday yako ukiacha sababu/faida za kiroho (kama zipo), nini faida yake kwenye Dunia yetu ya kuona ni kuamini?
 
Wakuu msaada kuna hela nilikuwa nimetunza kwa ajili ya kununua kiwanja lakini baada ya kufanya tathmini ya kina nikaona nitakuwa nimwfanya kitu Cha kitoto hasa ikizingatiwa hapa duniani tunapita tu, sisi hapa duniani ni wasafiri.
Msaada nataka kujua Gharama ya kukodi boti hapo mjini kwa ajili ya Bata Kama wanavyofanya watoto wa mjini.
Vp na gharama ya totoz mbili tatu zakunisindikiza, zile ambazo unakuta zimejiachia nguo za ufukweni wakikata mauno , wakiwa wanarukaruka, pia nitahitaji huduma ya Picha professional. Boti liwe kubwa na jeupe. Vinywaji nitamchangia mshikaji wangu huwa anapiga hizo mambo.
Nipo tayari kuchangia nusu ya gharama ili iwe bonge la party. Tena tuwaalike wale warembo walio shusha story zao za kuliwa kimasikhara waje waburudike nasi
 
Wakuu msaada kuna hela nilikuwa nimetunza kwa ajili ya kununua kiwanja lakini baada ya kufanya tathmini ya kina nikaona nitakuwa nimwfanya kitu Cha kitoto hasa ikizingatiwa hapa duniani tunapita tu, sisi hapa duniani ni wasafiri.
Msaada nataka kujua Gharama ya kukodi boti hapo mjini kwa ajili ya Bata Kama wanavyofanya watoto wa mjini.
Vp na gharama ya totoz mbili tatu zakunisindikiza, zile ambazo unakuta zimejiachia nguo za ufukweni wakikata mauno , wakiwa wanarukaruka, pia nitahitaji huduma ya Picha professional. Boti liwe kubwa na jeupe. Vinywaji nitamchangia mshikaji wangu huwa anapiga hizo mambo.
Hahahaaa na mm nakuunga mkono mdau kula maisha..watu walisema dunia mapito au dunia njia tunapita tu sasa kama dunia njia kwann ujenge nyumba njiani...ww kula maishaa
 
Mkuu gharama ni hizi hapa Zanzibar
Day Charter – Tumbatu Island: $1,000.00 up to 10 pax, add $25/person if more than 10 pax.

Full Day Charter – Mnemba Island: $1,800.00 up to 10 pax, add $25/person if more than 10 pax.

Nungwi Bay Sunset Cruise: $100.00 per person (minimum 5 pax)

Sunset Dinner Cruise: $200.00 per person (minimum 4 pax)

SPECIAL! 24hr Overnight Yacht Cruise – Mnemba Island: $2,000.00 (Max 8 pax

Luxury Yachts Tanzania & Zanzibar Transfers

Stone Town – Nungwi/Kendwa: $2,500.00 (maximum 12 pax)

Stone Town – Dar Es Salaam: $3,500.00 (maximum 12 pax)

Dar Es Salaam – Nungwi/Kendwa: $3,500.00 (maximum 12 pax)
 
!!?!!?!?!!!????!???😇😇😇😇
 
Back
Top Bottom