Mkuu nimeweka details naomba nielekez iweze kujaaOngeza nyama kwenye details zako.
Jaza refaree naMkuu nimeweka details naomba nielekez iweze kujaa
Kuweka picha na certificates kunaongeza sana asilimia..jaribu kufanya hivyo
bonyeza declaration halafu kubali masharti huwa inaongeza asilimia takribani 20
Mkuu work experience nimejaza na training pamoja na proffesional xijajua tatizo ni niniJaza refaree na
Deceleration
Kwenye Working experience na training and professional ndio kuna maksi
Mkuu work experience nimejaza na training pamoja na proffesional xijajua tatizo ni nini
Check wenzio
Wakiweka hivi ina maanixha nn