Msaada: Facebook account locked

Njaa

JF-Expert Member
Dec 6, 2009
1,013
391
Wanajamvi naomba msaada:

Nahisi kuna mtu alijaribu ku-login kwenye account mara kwa mara kwa kutumia wrong password.....! Matokeo yake facebook waka-lock account yangu. Sasa ili niweze ku-unlock account hii ni lazima nipokee code kupitia simu ambayo niliiweka kwenye account ya facebook, bahati mbaya ni kwamba hiyo namba sina tena na haipo hewani anyway. Facebook hawataki verification kupitia email, wanataka simu tu ambayo kwa sasa haipo.

Kwenye email naendelea kupata notification kwa wingi, sitaki kuamini kuwa nimpoteza account yangu jumla...

Ujumbe upo hivi:
Your account has been locked, We saw unusual activity on your account. This may mean that someone has used your account without your knowledge.

Please help

Mi acount yangu imefungiwa Kira nikajaribu kufungua inagoma nafanyaje ili niweze kutoa rock
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom